Je, Protase Rugambwa ndiye Kardinali ajaye Tanzania?

Ilikuwa ni utashi tu wa Papa ambao uliopelekea Laurian Rugambwa na Polycarp Pengo kuchaguliwa kuhudumu katika nafasi hii ya ushauri ndani ya Kanisa Katoliki. Hakuna kigezo chochote cha kipekee kinachotumika katika kumchagua kadinali ama zaidi ya mmoja kuhudumu katika nchi moja.

Kutokana na taarifa zilizopo katika "Wikipedia" na "Encyclopedia" ya kanisa hilii zinaonyesha wajibu mkubwa wa kadinali ni kumshauri Papa katika kuongoza Kanisa lote katika eneo atakalopangiwa. Kwa kawaida hupangiwa uongozi wa idara mbalimbali ndani ya kanisa.

Wapo makardinali wanaoishi makao makuu Vatikani au katika maeneo mingine ya jiji la Roma. Lakini pia wapo wengine wengi wanaishi katika nchi mbalimbali, wakiongoza majimbo kama maaskofu waandanizi.

Hata hivyo hii haina maana ya kuwa wao ndiyo wakuu wa maaskofu wengine wa nchi walipopangiwa au kwamba wana mamlaka yoyote juu ya Kanisa katika nchi walipopangiwa kuhudumu.
 
Pamoja na uzoefu wake lakini nadhani hatoweza kuwa Kardinali kwa sababu ofisi ya Vatikan inaweza kuogopa kuonyesha hali ya upendeleo kwenye ukoo wa Rugambwa, kumbuka Kardinali wa kwanza Tanzania alikuwa ni kwenye ukoo huo, Laurean Rugambwa.
Sio majina kufanana tu mkuu?
 
Sidhani kama kama anaweza kuwa kadinali, pia kadinali mara nyingi hutoka kwenye majimbo makuu yenye ushawishi hapa kwetu walao dar es laam ama mwanza Arusha Dodoma .
Nina uhakika Jimbo kuu katoriki Tabora linaushawishi kuliko Majimbo makuu ya Mwanza, Arusha na Dodoma kulingana na historia yake.
Lakini pia kiti cha ukadnali hapa Tanzania sidhani kama tunaweza kupata tena hivi karibuni baada ya kadinali pengo.
Upo sawa mkuu.
 
Rev. Ruwai'chi siyo Kardinali bali ni Askofu Mkuu Mwandamizi wadhifa fanani na Rev. Protase Rugambwa.

Kardinali pekee wa Kanisa Katoliki-Tanzania ni Rev. Kardinali Polycarp Pengo.
 
Hivi kumbe Askofu Rugambwa yupo! Mimi nimekua nikisikia jina tu nikidhani alishafariki zamani, kumbe mwamba alikuwa zake mambele.

Halafu Askofu Paul Ruzoka kahamia wapi?
Kulikua na Rugambwa askofu pia cardinal,huyu alishafariki kitambo na ndio huyu ambaye wengi tulikua tunamfahamu na kumsikia.
 
Ruwaich kawa lini kadinali mkuu?
 
Rev. Ruwai'chi siyo Kardinali bali ni Askofu Mkuu Mwandamizi wadhifa fanani na Rev. Protase Rugambwa.

Kardinali pekee wa Kanisa Katoliki-Tanzania ni Rev. Kardinali Polycarp Pengo.

Ruwaich kawa lini kadinali mkuu?
Dah! kweli nipo misinformed. Shukran kwa kunisahihisha wakuu.
 
Wanaweza wote Ruwaichi na Rugambwa wakawa makardinali pia wanaweza wote wasiwe makardinali na pia inawezekana baada ya Pengo kusiwe na kardinali hapa Tanzania.
Kardinali sio cheo cha Kiongozi wa kanisa katika nchi na sio lazima awepo katika nchi.
 
No papa hawezi hamisha maaskofu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]ujue askofu ni cheo tuu cha kawaida.. Kardinali ndio papa anateua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shabiki wa Yanga!!!!?? Acha unazi kwenye Imani
 
Vitu Kama Hivi vinakera sana

Siasa kila sehemu
 
Why??
 
Usichanganye na Kardinali wa kwanza Rugambwa rip na huyu, ni majina tuu.
Hana undugu na Cardinal Laurian Rugambwa
Historia yake hii hapa kama lugha hii inapanda:

Protase Rugambwa was born in 1960 at Bunena, in the diocese of Bukoba. He had an elder brother, Paulo Kishumba (1957-2021).[1] After his primary and secondary schools in various seminaries and Minor Katoke Itaga, Rugambwa studied philosophy at Kibosho Senior Seminary and theology at St. Charles Lwanga Segerea Senior Seminary.

He was ordained priest on 2 September 1990 in Dar-es-Salaam by John Paul II during his pastoral visit to Tanzania, and incardiated the diocese of Rulenge.

After ordination he had the following activities:

1990-1991: Parish Vicar in the parish of Mabira

1991-1994: Teacher in the Minor Seminary of Katoke, in charge of the Liturgy and Diocesan Chaplain of the hospital Biharamulo

1994-1998: Studies for a doctorate in pastoral theology at the Pontifical Lateran University in Rome (promotion)

1998-1999: Trainer of the spiritual year's seminarians, Director of Vocations in the Diocese of Rulenge, Executive Secretary of the Department of Pastoral Care

2000-2002: Vicar General of the diocese of Rulenge and Moderator of Personnel

2002-2008: Official of the Congregation for the Evangelization of Peoples.

On 18 January 2008, Pope Benedict XVI appointed Rugambwa Bishop of the Diocese of Kigoma, Tanzania.[2] He received his episcopal consecration on 13 April.

On 26 June 2012, Benedict appointed him adjunct secretary of the Congregation for the Evangelization of Peoples and concurrently president of the Pontifical Mission Societies, replacing Archbishop Piergiuseppe Vacchelli, who had reached the retirement age. He was at the same time appointed Archbishop
 
Amevurunda huko Roma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…