Thecoder
JF-Expert Member
- Aug 10, 2015
- 1,590
- 4,244
Yeah mamlaka ziliamua kuwapa upeo watu wa kale na wakafanya mambo mengi makubwa ila nadhani kuna pahala walimessup 😅😅Itakuwa ni mamlaka yenye nguvu kuliko sisi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeah mamlaka ziliamua kuwapa upeo watu wa kale na wakafanya mambo mengi makubwa ila nadhani kuna pahala walimessup 😅😅Itakuwa ni mamlaka yenye nguvu kuliko sisi
majukwaa tuu alafu yale yana vyumba ndani kwaajili ya shughuli mnali mbali hadi kuna undergroundYal
Zilikuwa zinatumika kama majukwaa kwenye mikutano ya kisiasa
Wapi hapoila nadhani kuna pahala walimessup 😅😅
We unaonaje mimi na wewe tukaungane tukajenga mapyramid yetu mawili matatumajukwaa tuu alafu yale yana vyumba ndani kwaajili ya shughuli mnali mbali hadi kuna underground
hadi kuna sehemu ya kuganyia mummification
kwa ndani ni complex sana
watakuja kusema yalijengwa na alliensWe unaonaje mimi na wewe tukaungane tukajenga mapyramid yetu mawili matatu
Hapana tutaweka na Uthibitisho kabisa kuwa tumejenga sisiwatakuja kusema yalijengwa na alliens
🤣🤣🤣Bora zipo misri zingekuwa bongo ungesikia ni juhudi za mama sa100
Sasa tani 80 mzee hakuna winchi walizibebaje!hizo tofari jiulize hata kama hao watu wazamani walikuwa zaidi ya mwanamalundi wajipange kumi hawawezi nyanyua!Maswali ni mengi!ndio ila hizi theory za kiimani zinabaki kama hadithi tuu kama pia wanavyosema imejengwa na aliens
🤣Bora zipo misri zingekuwa bongo ungesikia ni juhudi za mama sa100
happ ndo maswali yalipo walitumia nini kubeba pyramid imetumia hayo matofali zaidi ya milioni 2.3 yakiwa yana uzito unao range kuazia tani 2 hadi tani 80Sasa tani 80 mzee hakuna winchi walizibebaje!hizo tofari jiulize hata kama hao watu wazamani walikuwa zaidi ya mwanamalundi wajipange kumi hawawezi nyanyua!Maswali ni mengi!
HahahahaBora zipo misri zingekuwa bongo ungesikia ni juhudi za mama sa100
Huwa napenda kusoma tafit za hiz pyramid
Hizo tofari ni kubwa sana aiseee,yaan hapo binadamu anaonekana kama sisimizi lakin tofar linaonekana vzurView attachment 3250645
Huu ni mlango wa kuingilia ndani ya pyramid kuu
Wajenzi ni waisraelTofauti na wamisri ?
waisraelinwamefikaje huko au ndo kwenye bible walivyokua utumwani kabla ya kuokolewa na musaWajenzi ni waisrael