Tusichoelewa ni kuwa watu wakale walikuwa werevu zaidi kuliko waliofuatia,
1.walichonga milima na kufanya makazi ( sisi tuna homeless kila nchi)
2.Mkulima alikuwa anapanda matunda na anapiga hesabu kujua siku ya kuvuna, na hakosei ( sisi majobless hadi wasomi)
N.k

kwenye kuchonga milima inaonyesha wazi walikua na uwezo kwenye art kutuzidi lakini pia bado hatujui waliwezaje kuchoka milima na sanamu kubwa kiasi cha kushangaza na je walitumia mbinu na vifaa gani kufanya ambavyo sisi bado hatujui ? na kwanini sisi hatujui mbinu walizotumia ingawa wao waliishibkabla yetu at tecnolojiabyao ilipotea ?
moja ya uchongaji wao wa mawe inaonyesha wazi kua walikua na vifaa ambavyo sisi tume vi-underate,
kutokana na uelewa wa sasa kifaa gani cha kale kinaweza kukata jiwe namna hii ? inaonyesha walikua na vifaa advanced kuliko tunavyo imagine