Je Pyramids zilikua na kazi gani ?

Je Pyramids zilikua na kazi gani ?

Nyie ndio mnaharibu historia kwa kuingiza mambo yenu yasio na uhakika, hao waisrael una ushahidi wowote waliwai kuwepo utumwan misri? Ushahidi wa kisayansi? Kihistoria? Basi hata mabaki+DNA hamna sasa mnalipi la kuthibitisha.

Anyway hayo majengo yalijengwa maelfu ya miaka kabla hata hizo dini zenu za mchongo hazijaundwa, namaanisha, kwa mujibu wa stories za biblia inaonesha dunia imekuwepo kwa miaka si zaidi ya 7000, wakati huo matukio halisi yanaprove kuwa jamii zilishakuwepo zaidi ya maelfu na mamilioni ya miaka.

Na hili liwafikie wale wanaodai kuna aliens sijui takataka gani zilikuja kutoka space zikagawa maarifa kwa wanadamu jambo ambalo si sahihi, maana hao aliens hawapo na hata ushahidi wa uwepo wao haupo zaidi zaidi stories za kutungwa na hao wazungu wanaojaribu kuuficha ukweli kwamba, kabla ya utumwa Afrika ndio ilikuwa sehemu pekee iliyostraarabika na kuendelea kwa kila aina ya technolojia ambazo baadhi waliiba na kudai wamegundua wao, na zile walizoshindwa kuiba wanasingizia aliens, badala ya kukubali na kuuthibitisha ukuu wa akili ya mtu mweusi kabla ya anguko lake kiakili, mpaka kiroho.

Pyramids na baadhi ya technology za zamani, hazikuja kwa bahati mbaya bali zilijengwa na watu na watu wenyewe ni black ambao Leo wanadharaulika kwamba hawana mchango wowote katika dunia, kumbe siri ni kuwa bila muafrika hakuna ambalo hao watu weupe wangefanya, vitu vingi walishaiba, na kuvifanya vyao, ubaya ni pale kizazi hiki cha sasa kimekengeuka kwa kuachana na taratibu za uafrika na kukumbatia hizo njia potofu za watu weupe kama vile dini, siasa na mifumo yao yote ya kimaisha.
knowledge ya medicine hadi teknolojia ya mummification imekwepo Egypt kwa zaidi ya miaka elf 5 iliyopita

miili iliyokua mumified ipo hadi leo mingine ya mafarao mingine ya watu wa kawaida na viongozi wa dini na ipo katika hali nzuri ambayo mingine wanaweza hadi ku reconsstruct jinsi walivyokua na namna walivyokufa yaan walikufa kwa ugonjwa gan

michoro, lugha, uchongaji, majengo kama ngome za kivita zinazofanana na za kisasa na mengine mengi tofauti na pyramids, yote yanao nyesha maendeleo na akili waliyokua nayo miaka 5000 iliyopita
 
Mi hata sikushiriki kujenga, nliyakuta tu wakati nimeenda kumlia mingo Malkia Cleoparta! 😌
Cleopatra ni farao wa mwisho wa misri, ametoka kwenye familiya ya Alexander the great kwaiyo Qeen Cleopatra ni mjukuu na aliishi miaka mingi baada ya Alexander na alizaliwa Alexandria sehemu iliyopewa jina la Alexander ni miaka mingi ilishapita
 
Alexander the Great ameishi miaka ya baadae sana yaani amekuta pyramid zimeshajengwa miaka 3000 iliyopita
 
Historia inaweka wazi kabisa kuwa waliojenga hayo mapiramids ni waisrael, walikuwa utumwani misri zaidi ya miaka 400 kama watumwa, na kazi kubwa waliyokuwa wanaifanya ni kufyatua tofari,ujenzi na nyinginezo,unafikiri hizo tofari zilikuwa ni za aina gani na zilikuwa zinatumika wapi? Hizo tofari zilitumika katika ujenza wa hayo mapiramids. Kuhusu sudan kuwepo kwa mapiramids ni ishara kwamba, baada ya ongezeko la waisrael katika himaya ya wamisri ilibidi wapunguzwe kwa kupelekwa katika moja ya kambi za wamisri huko sudan,wakiwa huko walijenga idadi ndogo ya mapiramids ukilinganisha na misri,lengo ni kwa ajiri ya makao ya watawala huko kambini sudan,na wakifa hawakuwa wakisafirishwa kwenda misri badala yake walikuwa wanazikwa huko huko sudan katika piramids za huko.
 
watu wa zamani hawakuwa mbilikimo kama sisi
ndo maana adam alikuwa mrefu wa kufuatna mistimu miwili kwa pamoja
walikuana na urefu kama sisi tuu kwasababu kuna mabaki ya mifupa na miili iliyokua mummified kwenye pyramids iliyozikwa enzi hizo, wanafanana tu na binadamu wa sasa
 
Historia inaweka wazi kabisa kuwa waliojenga hayo mapiramids ni waisrael, walikuwa utumwani misri zaidi ya miaka 400 kama watumwa, na kazi kubwa waliyokuwa wanaifanya ni kufyatua tofari,ujenzi na nyinginezo,unafikiri hizo tofari zilikuwa ni za aina gani na zilikuwa zinatumika wapi? Hizo tofari zilitumika katika ujenza wa hayo mapiramids. Kuhusu sudan kuwepo kwa mapiramids ni ishara kwamba, baada ya ongezeko la waisrael katika himaya ya wamisri ilibidi wapunguzwe kwa kupelekwa katika moja ya kambi za wamisri huko sudan,wakiwa huko walijenga idadi ndogo ya mapiramids ukilinganisha na misri,lengo ni kwa ajiri ya makao ya watawala huko kambini sudan,na wakifa hawakuwa wakisafirishwa kwenda misri badala yake walikuwa wanazikwa huko huko sudan katika piramids za huko.
tukiachana tu na ujenzi au tukikubali ilijengwa na waisrael, je teknolojia iliyotumika waliitoa wapi, jinsi walivyonyoosha vipimo n.k yaani pyramid tatizo sio tu ukubwa bali teknolojia iliyotumika ni zaidi ya kisasa yaani hadi kuna underground chamers nyingi zimeenda umbali mrefu sana chini, je kule chini walichimbaje kujenga underground chembers zinazoextend umbali mrefu kiasi hicho
 
safi sana,kama umekubaliana na mimi kuwa yamejengwa na wamisri kwa kuwatumia waisrael basi utakubaliana na mimi kuhusu ujuzi,ufundi na teknolojia iliyotumika katika ujenzi huo. Ni kwamba,kabla ya ulimwengu haujavulugika,na jamii nyingi kutawanyika, inasemekana kila jamii ilikuwa na ujuzi na maarifa yake,kwamba tuseme,wamisri walikuwa na ujuzi wa vita,waisrael ufundi nk. Hivyo basi waisrael walikuwa na ujuzi wa hali ya juu mno katika ujenzi na mfano wake ni piramids hizo, na wakati huo jamii moja ilikuwa haina mamlaka na jamii nyingie, yani kama waisrael wana teknolojia au ufundi wa hujenga piramids basi huo ujuzi ni wa jamii yao tu,na ikitokea jamii hiyo imepotea basi hakuna jamii nyingine inayoijua tech. Hiyo. Ndivyo ilivyokuwa, baadae ilitokea mwingiliano wa watu,na himaya nyingi zikaanguka, anguko hilo lilienda sambamba na anguko la tech. Ya eneo husika,na ikumbukwe wakati huo hapakuwepo na recods za tech. Badala yake walirekodi matukio tu.
 
mbona waisraeli vitu walivyovijenga hatuvioni ? utatumiahe pyramid za Egypt kusema zilitumia teknolojia za Israeli
 
Nyie ndio mnaharibu historia kwa kuingiza mambo yenu yasio na uhakika, hao waisrael una ushahidi wowote waliwai kuwepo utumwan misri? Ushahidi wa kisayansi? Kihistoria? Basi hata mabaki+DNA hamna sasa mnalipi la kuthibitisha.

Anyway hayo majengo yalijengwa maelfu ya miaka kabla hata hizo dini zenu za mchongo hazijaundwa, namaanisha, kwa mujibu wa stories za biblia inaonesha dunia imekuwepo kwa miaka si zaidi ya 7000, wakati huo matukio halisi yanaprove kuwa jamii zilishakuwepo zaidi ya maelfu na mamilioni ya miaka.

Na hili liwafikie wale wanaodai kuna aliens sijui takataka gani zilikuja kutoka space zikagawa maarifa kwa wanadamu jambo ambalo si sahihi, maana hao aliens hawapo na hata ushahidi wa uwepo wao haupo zaidi zaidi stories za kutungwa na hao wazungu wanaojaribu kuuficha ukweli kwamba, kabla ya utumwa Afrika ndio ilikuwa sehemu pekee iliyostraarabika na kuendelea kwa kila aina ya technolojia ambazo baadhi waliiba na kudai wamegundua wao, na zile walizoshindwa kuiba wanasingizia aliens, badala ya kukubali na kuuthibitisha ukuu wa akili ya mtu mweusi kabla ya anguko lake kiakili, mpaka kiroho.

Pyramids na baadhi ya technology za zamani, hazikuja kwa bahati mbaya bali zilijengwa na watu na watu wenyewe ni black ambao Leo wanadharaulika kwamba hawana mchango wowote katika dunia, kumbe siri ni kuwa bila muafrika hakuna ambalo hao watu weupe wangefanya, vitu vingi walishaiba, na kuvifanya vyao, ubaya ni pale kizazi hiki cha sasa kimekengeuka kwa kuachana na taratibu za uafrika na kukumbatia hizo njia potofu za watu weupe kama vile dini, siasa na mifumo yao yote ya kimaisha.

Huu ndio ukweli wenyewe. Pyramids zipo pia nyingi tu Sudan. Haya ni maeneo miaka 10,000 - 4000 iliyopita yalikuwa yameendelea sana. Wazungu walikuwa wanaenda kule kujifunza mambo mengi. Hivyo ni vitu mtu mweusi alijenga.

Baadaye Egypt ilivamiwa na Waajemi, Wagiriki, Rumi, Waarabu, Waingereza. Wengi wa hawa wavamizi walijaribu kuficha ukweli na kubalidisha ukweli.
 
mbona waisraeli vitu walivyovijenga hatuvioni ? utatumiahe pyramid za Egypt kusema zilitumia teknolojia za Israeli
Waisrael walijifunza kila kitu kutoka (Kemit) Misri ya Kale. Musa alikulia Misri kwa miaka 40 kwenye nyumba ya Mfalme. Alifundishwa siri nyingi na kupewa maarifa mengi akiandaliwa kuwa kiongozi mwandamizi wa Misri.

Musa ndio muasisi wa Israel kama Taifa. Wazungu kupitia Wagiriki walikifunza mengi kupitia Misri vitu kama dini, sayansi, technology, ujenzi nk.
 
mbona waisraeli vitu walivyovijenga hatuvioni ? utatumiahe pyramid za Egypt kusema zilitumia teknolojia za Israeli
unauliza maswali ya msingi mno mkuu! Utavionaje wakati walikuwa utumwani? Tech.yao waliifanyia utumwani misri na ndiyo hayo mapiramidi, na waliporudi kwao hawakufanya chochote kwa sababu wengi wa wazee wao walifia njiani,na wakati wakiwa njiani,hakuna maarifa yeyote vijana waliyoyapokea kutoka kwa wazee wao uliachilia mbali vita na imani. Na hata kama walilithishwa maarifa hayo ya ujenzi wa piramids basi hawakuwa na nafasi tena ya ujenzi wa piramids zinazochukua miaka mingi badala yake walijenga mahema,na nyumba za kawaida, kwani muda wao mwingi waliutumia,wanautumia na watautumia katika vita kupigania ardhi yao iliyochukuliwa na wageni. Na kwa sasa maarifa hayo hayapo kutokana na ukweli kuwa,hawa waisrael kama jamii ilitawanyika kabla ya kukusanywa mwaka 1948 na kuwa taifa. Karibu kwa changamoto nyingine mkuu
 
Back
Top Bottom