Je Pyramids zilikua na kazi gani ?

Je Pyramids zilikua na kazi gani ?

Waisrael walijifunza kila kitu kutoka (Kemit) Misri ya Kale. Musa alikulia Misri kwa miaka 40 kwenye nyumba ya Mfalme. Alifundishwa siri nyingi na kupewa maarifa mengi akiandaliwa kuwa kiongozi mwandamizi wa Misri.

Musa ndio muasisi wa Israel kama Taifa. Wazungu kupitia Wagiriki walikifunza mengi kupitia Misri vitu kama dini, sayansi, technology, ujenzi nk.
soma historia vizuri mkuu,musa si muasisi wa israeli kama taifa,taifa la israeli lilikuwepo tangu mwanzo,ila tu ni kwamba JOSEPH/YUSUFU ndiye chanzo cha waisrael kutumbukia utumwani misri,na ndiye chanzo cha waisraeli kupigana vita hadi leo. Why? Kwa sababu,YUSUFU ndiye aliwashawishi wazee wake waende mpaka misri kwa ajiri ya kukimbia njaa kwao,jambo lililosababisha waliache eneo lao kwa miaka mingi hivyo likakaliwa na watu wengine,badae wanarudi kwao wanakuta maeneo yao yanakaliwa ndo vita vinapamba moto mpaka kesho.
 
soma historia vizuri mkuu,musa si muasisi wa israeli kama taifa,taifa la israeli lilikuwepo tangu mwanzo,ila tu ni kwamba JOSEPH/YUSUFU ndiye chanzo cha waisrael kutumbukia utumwani misri,na ndiye chanzo cha waisraeli kupigana vita hadi leo. Why? Kwa sababu,YUSUFU ndiye aliwashawishi wazee wake waende mpaka misri kwa ajiri ya kukimbia njaa kwao,jambo lililosababisha waliache eneo lao kwa miaka mingi hivyo likakaliwa na watu wengine,badae wanarudi kwao wanakuta maeneo yao yanakaliwa ndo vita vinapamba moto mpaka kesho.
Nimeisoma hiyo historia vizuri. Waisrael wangapi walienda Misri na wangapi waliondoka baada ya miaka 400?

Walioingia unaweza kuwaita Taifa watu chini ya mia moja? Kila kitu walijifunza Misri, wakachukua vitu kadhaa na wakabadilisha vitu kadhaa wakatengeneza dini yao tofauti.
 
unauliza maswali ya msingi mno mkuu! Utavionaje wakati walikuwa utumwani? Tech.yao waliifanyia utumwani misri na ndiyo hayo mapiramidi, na waliporudi kwao hawakufanya chochote kwa sababu wengi wa wazee wao walifia njiani,na wakati wakiwa njiani,hakuna maarifa yeyote vijana waliyoyapokea kutoka kwa wazee wao uliachilia mbali vita na imani. Na hata kama walilithishwa maarifa hayo ya ujenzi wa piramids basi hawakuwa na nafasi tena ya ujenzi wa piramids zinazochukua miaka mingi badala yake walijenga mahema,na nyumba za kawaida, kwani muda wao mwingi waliutumia,wanautumia na watautumia katika vita kupigania ardhi yao iliyochukuliwa na wageni. Na kwa sasa maarifa hayo hayapo kutokana na ukweli kuwa,hawa waisrael kama jamii ilitawanyika kabla ya kukusanywa mwaka 1948 na kuwa taifa. Karibu kwa changamoto nyingine mkuu
Swali umelijibu vyema ila limegusa sehemu moja kwamba waliipoteza baada ya kuwa safarini kwa muda mrefu,

Je hiyo teknolojia waliipata wakiwa utumwani misri ?
itakuaje watumwa wapo nchi ya watu utumwani wanapigishwa kazi ndo wapate teknolojia kubwa namna hiyo ya ujenzi inayoshangaza hadi leo ?

kama walisha kua nayo kabla ya utumwa, utathibitishaje na hakuna majengo yoyote waliyojenga

Egypt wamefanya mumification, walikua wataalamu wa hesabu, lugha dawa
je hivyo vyote walikuja kufanyiwa na waisraeli ?

Misri ipo Africa ndo maana watu wasio wa afrika wanajaribu kupindisha historia ionekane wa misri hawakujenga pyramids

imagine hadi saivi wanazidi kugungua mummified bodies nyingine ambazo zimefungwa kwa namna ambayo watafiti wa saivi hawaelewi imefungwaje yaani kamba haina mwanzi wala mwisho

sanamu walizotengeneza watu wamechonga mlima kutengeneza sanamu mawe yamekatwa perfectly

Egypt kuna vitu vingi vinavyoonyesha teknolojia yao ya hali ya juu na haiwezekani wakawaneamekuja kufanyiwa kazi na watumwa

imagine waisraeli ndo wangekua wameendelea kiasi hicho, wangewezaje kufanywa watumwa na watu ambao hawajaendelea
 
View attachment 3250113
View attachment 3250115
the great pyramid of Giza


tutumie great pyramid ( Piramidi kuu )

hii pyramidi imejengwa zaidi ya miaka 4700 iliyopita lakini inaacha maswali mengi zaidi kuliko majibu, maana kila unapojaribu kupata jibu unakutana na maswali zaidi kuhusiana na jibu lako,

inavyoaminika hadi sasa ni kwamba, pyramids zilijengwa hasa kama sehemu au mahali pa maziko kwa mfalme.
watu a rcheology wanakadiria kua pyramid kuu imetumia miaka ishirini hadi kukamilika.

lakini je, lengo lao haswa likikua ni kwaajili ya kulitumia kama kaburi la farao kama inavyoaminika na wanasayansi wa sasa au ilikua na maana nyingine na matumizi mengine ambayo ni tofauti kabisa?

View attachment 3250118

★ Pyramid kuu imejengwa kwa mawe makubwa sana zaidi ya milioni 2.3
★ kila jiwe lina uzito wa kati ya tani mbili hadi tani 80 kwa jiwe moja
★ ilijengwa kwa urefu wa mita 146.66 kwenda juu
★ Chini ina upana wa mita 230.4 kila upande
★ juu kabisa ina upana wa mita 0 yaani ilikua na ncha kabisa
★ imenyooshwa kufuata true north ikiwa na error ya 0.05° tu
★ kona zake zimenyooshwa nyuzi 90 kabisa zikiwa na error ya 0.01° tu
★ ni moja kati ya maajabu saba ya dunia ya kale na ndio ya pekee inayoendelea kusalia hadi leo

Pyramid ina chambers mbali mbali zipatazo 6 zenye kazi tofauti ambapo mbili ni kwaajili ya mfalme na malkia pyramid kuu ilijengwa kwaajili ya Pharaoh Khufu

View attachment 3250119

ujenzi wa piramidi hasa ndio unaacha fumbo ambalo ni ngumu kuelewa wenzetu walifanyaje miaka 4700 iliyopita?
walikua na teknolojia gani iliyowawezesha kujenga jengo la namna hii ?

- jinsi gani waliyatengeneza matofali makubwa yenye uzito wa hadi kilo 80,000 kwa tofali moja ?

- hata baada ya kutengeneza matofali ya uzito huo je waliwezaje kuyahamisha kutoka walipoyatengeneza hadi kwenda kuyajengea pyramid ambalo lina urefu mkubwa tu kwenda juu ? zaidi ya matofali milioni mbili na laki tatu

- walichokifanya miaka 4700 iliyopita bado ni kigumu hata tukitaka kukifanya sasa,
mfano kufikia precission ya vipimo kama walivyofikia wao inabidi kutumia Laser Scaner na vifaa vingine vya kisasa


pande za pyramid zimejengwa zililinganishwa na True North ( yaani upande halisi wa kaskazini wa dunia )
huu upande halisi wanasayansi walianza kuujua baada ya kugundulika kwa dira.

miaka 4700 iliyopita wa misri wa zamani walijenga pyramid kufuata True north wakiwa na error ya 0.05 degree
je waliwezaje ?
nini ilikua lengo lao kufanya hivyo ?

kwa vifaa na mbinu ambazo tunaamini zilitumika kujenga pyramid, mfano kwa siku moja wangeweza kutengeneza tofali moja na lulisafirisha hadi kwenye pyramid na kuliweka kulingana na vipimo,
ingetumia zaidi ya miaka 6000 kukamilisha ujenzi wa piramidi moja, lakini piramidi kuu limejengwa ndani ya miaka 20 tu

theory nyingine zina sugest kwamba huenda tunavyowajua watu wa kale ni tofauti na maisha yao halisi yalivyokua,

huenda pia walikua na teknolojia kubwa tuu ambayo ilipotea kwa sababu fulani na hatujaweza kuipata, lakini baadhi ya mambo na alama walizo acha zinadhihirisha ujuzi waliokua nao,
pia huenda bado hatujui lengo halisi na matumizi halisi ya piramidi katika kipindi chao.
Matumizi yake ni kwamba haya mapiramisi yalikuwa ni Generators za Wireless electricity; nadhani walikuwa wanasambaza umeme hadi nje ya Bara la Afrika
 
Nyie ndio mnaharibu historia kwa kuingiza mambo yenu yasio na uhakika, hao waisrael una ushahidi wowote waliwai kuwepo utumwan misri? Ushahidi wa kisayansi? Kihistoria? Basi hata mabaki+DNA hamna sasa mnalipi la kuthibitisha.

Anyway hayo majengo yalijengwa maelfu ya miaka kabla hata hizo dini zenu za mchongo hazijaundwa, namaanisha, kwa mujibu wa stories za biblia inaonesha dunia imekuwepo kwa miaka si zaidi ya 7000, wakati huo matukio halisi yanaprove kuwa jamii zilishakuwepo zaidi ya maelfu na mamilioni ya miaka.

Na hili liwafikie wale wanaodai kuna aliens sijui takataka gani zilikuja kutoka space zikagawa maarifa kwa wanadamu jambo ambalo si sahihi, maana hao aliens hawapo na hata ushahidi wa uwepo wao haupo zaidi zaidi stories za kutungwa na hao wazungu wanaojaribu kuuficha ukweli kwamba, kabla ya utumwa Afrika ndio ilikuwa sehemu pekee iliyostraarabika na kuendelea kwa kila aina ya technolojia ambazo baadhi waliiba na kudai wamegundua wao, na zile walizoshindwa kuiba wanasingizia aliens, badala ya kukubali na kuuthibitisha ukuu wa akili ya mtu mweusi kabla ya anguko lake kiakili, mpaka kiroho.

Pyramids na baadhi ya technology za zamani, hazikuja kwa bahati mbaya bali zilijengwa na watu na watu wenyewe ni black ambao Leo wanadharaulika kwamba hawana mchango wowote katika dunia, kumbe siri ni kuwa bila muafrika hakuna ambalo hao watu weupe wangefanya, vitu vingi walishaiba, na kuvifanya vyao, ubaya ni pale kizazi hiki cha sasa kimekengeuka kwa kuachana na taratibu za uafrika na kukumbatia hizo njia potofu za watu weupe kama vile dini, siasa na mifumo yao yote ya kimaisha.
Maelezo meeengii alafu hakuna la maana umeongea
 
Tech. hiyo walikuwa nayo mkuu, na ukienda masharki ya kati unaweza kustaajabu mengi sana, kuna mabaki ya mnara wa babeli,mahekalu nk ambayo yaliharibiwa kutokana na sababu za vita,na wafalme wa israeli kwamba kila mfalme alikuwa akiingia alikuwa na falsafa zake,wapo waliojenga mahekalu wapo waliobomoa. tafakari, mnara wa babeli ambao watu walipanga kwenda kwa Mungu ulikuwa wa kawaida kama ya hivi sasa? kulikuwa na mawe mazito,matofari na mafundi wabobezi wa kujenga mnara huo. turudi egypt mkuu,unasema kihistoria mapiramids yalijengwa na wenyeji, je hiyo tech. ilipotelewa wapi ambapo wenyewe wanagundua mummified bodies ambayo wanaona ni tech. kubwa na ya ajabu ilitumika kufunga miili hiyo na hawana tena ili hali ni ya kwao(ilipotelea wapi)? tukubali ukweli mkuu, tech. hiyo ni ya waisrael na ilipotelea njiani na kukaa katika vita kwa muda mrefu ilifanya jamii hiyo ibase ktk vita wakiacha maarifa yakipotea. karibu kwa changamoto mkuu NadeOj
 
Tech. hiyo walikuwa nayo mkuu, na ukienda masharki ya kati unaweza kustaajabu mengi sana, kuna mabaki ya mnara wa babeli,mahekalu nk ambayo yaliharibiwa kutokana na sababu za vita,na wafalme wa israeli kwamba kila mfalme alikuwa akiingia alikuwa na falsafa zake,wapo waliojenga mahekalu wapo waliobomoa. tafakari, mnara wa babeli ambao watu walipanga kwenda kwa Mungu ulikuwa wa kawaida kama ya hivi sasa? kulikuwa na mawe mazito,matofari na mafundi wabobezi wa kujenga mnara huo. turudi egypt mkuu,unasema kihistoria mapiramids yalijengwa na wenyeji, je hiyo tech. ilipotelewa wapi ambapo wenyewe wanavumbua njia iliyokuwa inatumika kuhifadhi maiti ambayo wanaona ni tech. kubwa na ya ajabu na hawana tena ili hali ni ya kwao(ilipotelea wapi)? tukubali ukweli mkuu, tech. hiyo ni ya waisrael na ilipotelea njiani na kukaa katika vita vya mda mrefu ilifanya jamii hiyo ibase ktk vita wakiacha maarifa yakipotea. karibu kwa changamoto mkuu NadeOj
mnara wa babeli according to bible haikujengea ili kimfikia Mungu, ulijengwa ili watu wasitawanyike yaani wasiende mbali nao uwekama sehemu ya kupatambua hapo ila moango wa Mungu ulikua ni watu kuijaza Dunia - hiyo ni according to bible

According to science na archeology Civilization zilikwepo nyingi miaka ya kale ambazo zilikuja kupotea

miaka ya kale kabisa kabla hata ya civilization ya Egypt iliyopita kuna watu waliitwa summerians wale watu walikua hadi wanaujua vizuri mfumo wa jua wamechora sayari zikizunguka jua kwenye details za kushangaza

wale watu walikua wanajua hadi DNA, kuna michoro inaonyesha picha za DNM walijuaje ?
teknolojia yao ilipoteaje ?

unavosema hivo ni kwamba safari tu ndo chanzo cha kupotea kwa tech

civilization zilikwepo nyingi sana, Maya Civilization kipindi hicho

ila baada ya sisi kuanza kujipata kwenye tech ndo tumeanza kugundua mambo ya zamani

je yalipoteaje ?

iweje wa Israeli waache Legacy Egypt kuliko waliyoacha kwao alafu Egypt walikaa tu utumwani

bado nauliza kama Wa Israeli walikua wameendelea kiasi hicho kuwazidi wa misri waliwezaje kutawaliwa na wa misri

Ancient Egypt ni hatari walikua mbali, fuatilia Egyptology
 
Sote tunajua, waisrael walitumbukiaje utumwani misri,wakaongezeka mpaka akaja mussa kuwapambania ili wajikomboe kutoka utumwani warudi kwao,hivyo kumbe hata kama wangekuwa na tech ya aina gani lazima ilitakiwa wawepo utumwani. Na walipokuwa wengi walifanikisha kuondoka, hata sasa katika jamii iliyostaarabika bado wana tech. Ndogondogo na za kipekee duniani,na kutokana na taifa kukosa nguvu ya ushawishi duniani,tech hiyo imekuwa ikichukuliwa na mataifa yenye nguvu kama marekani nk. Na kutuaminisha kuwa wao ndio waanzilishi, ivi nikuulize kwa nini USA inaikumbatia sana israel licha ya kuwa inafanya unyama huko gaza? kuhusu kuwa hapo mwanzo (zamani), kulikuwepo na tech kubwa na kutokana na sababu za vita,mwingiliano wa jamii ,jamiii nyingi zilitawanyika hivyo zilipoteza maarifa na tamaduni zao,hili silikatai ila hayo mapiramids yalijengwa na waisrael. CC: @NadeOj
 
Sote tunajua, waisrael walitumbukiaje utumwani misri,wakaongezeka mpaka akaja mussa kuwapambania ili wajikomboe kutoka utumwani warudi kwao,hivyo kumbe hata kama wangekuwa na tech ya aina gani lazima ilitakiwa wawepo utumwani. Na walipokuwa wengi walifanikisha kuondoka, hata sasa katika jamii iliyostaarabika bado wana tech. Ndogondogo na za kipekee duniani,na kutokana na taifa kukosa nguvu ya ushawishi duniani,tech hiyo imekuwa ikichukuliwa na mataifa yenye nguvu kama marekani nk. Na kutuaminisha kuwa wao ndio waanzilishi, ivi nikuulize kwa nini USA inaikumbatia sana israel licha ya kuwa inafanya unyama huko gaza? kuhusu kuwa hapo mwanzo (zamani), kulikuwepo na tech kubwa na kutokana na sababu za vita,mwingiliano wa jamii ,jamiii nyingi zilitawanyika hivyo zilipoteza maarifa na tamaduni zao,hili silikatai ila hayo mapiramids yalijengwa na waisrael.
Mkuu hao waisrael unawapigia chapuo si lolote wala chochote kwa Wa misri ndo maana walikua utumwani…kiasili na kikawaida jamii yenye nguvu ndo hutawala jamii Legevu. Mfano ni jamii legevu ya africans kutawqalia na jamii yenye nguvu Whites,ki uchumi na ki technology
 
walikuana na urefu kama sisi tuu kwasababu kuna mabaki ya mifupa na miili iliyokua mummified kwenye pyramids iliyozikwa enzi hizo, wanafanana tu na binadamu wa sasa
tofautisha aliyejenga Na ALIYEKAA.Uenda hata hao walioishi humo walikuta zimeshajengwa
 
tofautisha aliyejenga Na ALIYEKAA.Uenda hata hao walioishi humo walikuta zimeshajengwa
zimejengwa kipindi cha utawala wa mafarao na pyramid kuu imejengwa takriban miaka 4700 iliyopita ambapo ilikua ni kipindi cha farao Khufu

kwaiyo sio walikaa ni waliyajenga

tena waliyajenga special kuendana na tamaduni zao za kipindi hicho
 
Kwa ninavyojua mimi kutokana na kusoma kidgo kuhus watu wa zamani,especially wa huko misri…wao walkua ni warefu kweli kweli
zimejengwa kipindi cha utawala wa mafarao na pyramid kuu imejengwa takriban miaka 4700 iliyopita ambapo ilikua ni kipindi cha farao Khufu

kwaiyo sio walikaa ni waliyajenga

tena waliyajenga special kuendana na tamaduni zao za kipindi hicho
Hao watu wa zamani walkua ni warefu kutuzid sisi mbaali mno.
 
Ukisoma vitu kama hvi ndo unakuja kujua kua Dunia ni sehem ya kupita tu…Hakuna cha legacy wala kizazi …Tuko maabara.
 
Kwa ninavyojua mimi kutokana na kusoma kidgo kuhus watu wa zamani,especially wa huko misri…wao walkua ni warefu kweli kweli

Hao watu wa zamani walkua ni warefu kutuzid sisi mbaali mno.
unajua kuna miili waliifanyia mumufication kwamfano hata mwili wa farao Ramses II kwaiyo imehifadhiwa vizuri hadi leo

miili yao inaonyesha walikua na urefu wa kawaida tuuhawajatuzidi sana ni kawaida tuu kama urefu wa watu wa sasa
 
zimejengwa kipindi cha utawala wa mafarao na pyramid kuu imejengwa takriban miaka 4700 iliyopita ambapo ilikua ni kipindi cha farao Khufu

kwaiyo sio walikaa ni waliyajenga

tena waliyajenga special kuendana na tamaduni zao za kipindi hicho
sasa hyo miaka watu hawakuwa wafupi
 
Back
Top Bottom