Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
1. Kwa ujumla design ilikuwa ni ya Wamisiri wenyewehata kama ni waisraeli ndo walijenga,.. miaka 4700 iliyopita walitumiaje nguvu zao tu kutengeneza matofali 2.3M yaliyotumika tujenga pyramid moja tu ?
kama walikua wengi walitumia miaka mingapi kufanya hivyo kwa pyramid moja ?
uchongaji wa matofali na upangiliaji, design, mipangilio ya chamer sehemu za kupita na kuingiza na kutoa hewa,
kui linganisha oyramid na true north na mambo mengine
waisraeli waliyajuaje, au hatakama. walilazimisjwa na kufanyishwa na waliokua wanajua je. hao walijuaje na walitumia vifaa gani kufikia precission ya namna hiyo
maana hata ukiwa na watu milioni moja wanajenha na hawana ujuzi watafikiaje precicion ya kua na eeror ya 0.01° ?
inaonyesha ujenzi ulifanyika na watu wenye ujuzi na sio watumwa tuu wasio ma ujuzi
2. Waebrania wao walikuwa watumwa/vibarua werevu tu na wenye nguvu
3. Kuhusu waliwezaje nami natamani kujifunza.
4. Kwa ujimla nimechangia nilichosoma kama wewe, kwamba waliwezaje...hilo ni swali kwangu pia