Je Pyramids zilikua na kazi gani ?


nikasome tena historia gani mimi bibilia naijua vizuri sana mkuu walijenga ilinwasitawanyike,

ila pia hapa hainahaja ya kuleta mambo ya dini

wa misri walikua mbali sana hilo lipo wazi kwa mambo waliyoacha
 
Unafurahisha na kusikitisha unaposema wewe ni mbobevu wa historia bila hata aibu kwa haya unayoandika hapa. Obvious hujafanya utafiti wa kutosha.

Ukiangalia michoro na vitabu ya Wamisri wa Kale, inaelezea dini yao, utamaduni, maisha yao. Historia yao imeandikwa miaka mingi maelfu kabla Israel haijazaliwa.

Fanya utafiti kuhusu Orisis, Isis, Heru, Set. Soma Egyptian book of the dead kwa kuanzia utafiti wako. Zingatia, soma michoro yao kwenye mahekalu yao, vitabu nk. Waisrael hata ujenzi wa mahekalu yao wameiga Wamisri wa Kale, sio wao tu hadi Wagiriki, Waingereza na Wamerekani kuna majengo wameiga Ujenzi wa Misri ya Kale. Wale walikuwa wajenzi mahiri.

Vitabu vya Waisrael wamechukua mengi kutoka Misri. Soma Great hymn of Aten linganisha na Psalm 104. Mtafiti huyu Hathar -Meri Virigin mother kama Mama wa Yesu.

Amri kumi zinafanana na 42 Negative confessions. Mambo 42 ambayo Pharaoh ilibidi akiri hajayafanya ili kuingia mbinguni. Bila hivyo huendi peponi Hayo mambo ni kama yafuatayo

  • have not committed sin. (Sijaua)
  • I have not committed robbery with violence. (Sijafanya ujambazi)
  • I have not stolen. (Sijaiba)
  • I have not killed. (Sijaua)
  • I have not eaten the heart of a man.
  • I have not stolen from God/Goddess.
  • I have not told lies.
  • I have not carried away food.
  • I have not cursed.
  • I have not closed my ears to truth.
  • I have not been a cause of sorrow.
  • I have not been a cause of death.
  • I have not been a cause of pain.
  • I have not been a cause of suffering.
  • I have not been a cause of distress.
  • I have not been a cause of grief.
  • I have not been a cause of anger.
  • I have not been a cause of fear.
  • I have not been a cause of hatred.
  • I have not been a cause of envy.
  • I have not been a cause of malice.
  • I have not been a cause of deceit.
  • I have not been a cause of treachery.
  • I have not been a cause of injustice.
  • I have not been a cause of cruelty.
  • I have not been a cause of oppression.
  • I have not been a cause of tyranny.
  • I have not been a cause of corruption.
  • I have not been a cause of disorder.
  • I have not been a cause of strife.
  • I have not been a cause of discord.
  • I have not been a cause of division.
  • I have not been a cause of chaos.
  • I have not been a cause of destruction.
  • I have not been a cause of ruin.
  • I have not been a cause of waste.
  • I have not been a cause of neglect.
  • I have not been a cause of carelessness.
  • I have not been a cause of recklessness.
  • I have not been a cause of rashness.
  • I have not been a cause of imprudence.
  • I have not been a cause of folly.
  • I have not been a cause of madness.
 
Hiyo ni ishara ya uwezo wa allah. Kama pharaohs waliweza kupewa uwezo na allah wakujenga vigingi kama hivo na bado allah keshachukua uhai wao haliyakuwa wamekufuru kwa kupumbazwa na rehma hizo za allah.

Kuna kisa katika quran kuhusu musa a.h alipomlingania pharaoh amuabudu allah na pharaoh akaamrisha jeshi lake la hammaan wamjengee jengo aende mbingun kuonana na mungu wa musa. Walichokifanya hammaan ni kujenga jengo hilo, ni alama ya kufru ya pharaohs kwa allah.
 
Hawa jamaa walikuwa wataalam sasa...ivi haijajujikana ni jamii gani iliyojenga izo structure ni Arabs au Africans
 
JF katika ubora wake. Ukitulia hapa utajifunza mambo mengi sana.
 
Hawa jamaa walikuwa wataalam sasa...ivi haijajujikana ni jamii gani iliyojenga izo structure ni Arabs au Africans
Inajulikana ni watu gani walikuwepo hapo miaka 10,000 iliyopita wakati pyramids zinajengwa.

Tuangalie biblia inasema walitoka wapi? Soma Hezekia 29 yote hasa Ezekiel 29:14 inasema walitokea Pathros. Pathros leo ni hili eneo la South Sudan, Ethiopia, Sudan.

Ukiangalia sura zao kama kwenye Great Sphinx utaona wanafanana na watu gani. Ukifanya utafiti wa mavazi yao, tamaduni zao na lugha yao utagundua ukweli. Pia waandishi wa wakati ule waliandika ukweli.

Baada ya 4000 -3500 BCE Misri ya Kale ilivamiwa na kutawaliwa na Waajemi, Wagiriki, Warumi, Waturuki,Waarabu na Waingereza. Kukawa na mchanganyiko wa kuzaliana na baadaye weusi wengi wakadhibitiwa na wengine kuuwawa. Kabla ya hapo 3500 BCE dynasty nyingi zilikuwa za watu wa hapo, Waafrika halisi.
 
Ni kweli mkuu, hii inaleta maswali kadha wa kadha... Usikute duniani kulikua na maisha fulani ambayo yalifikia katika level za juu sana za technology ila kwa sababu fulani yake maisha yaliharibiwa kisha tukaja sisi kuanza maisha mengine upya kabisa.
Hii imawezekana
 
JF katika ubora wake. Ukitulia hapa utajifunza mambo mengi sana.
Kuna historia ya ukweli bado haifahamiki na Waafrika wengi. Misri ya Kale ni muhimu sababu almost it was proper first advance civilization. Wazungu, Waarabu na wengine wengi wamejifunza mengi kutoka Afrika.

Pythagoras. Aristotle, Plato, Democritus Archemedes, Hippocrates na wengine wengi wamesoma Misri. Misri ya Kale ni chimbuko la Greek civilization na civilization nyingine zilizofuata.
 
hii ni kweli mkuu, mathematics, philosophy, medicine etc vyote chimbuko lake ni Egypt na hakuna wa kupinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…