Emma.
JF-Expert Member
- Jun 25, 2012
- 19,932
- 5,563
Tulia vizuri kijana leo utasahau kitanda hapo ulipo umelowa teh tehView attachment 255210
Umechanganyikiwa wewe waambie wakurudishe kule mirembe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tulia vizuri kijana leo utasahau kitanda hapo ulipo umelowa teh tehView attachment 255210
Umechanganyikiwa wewe waambie wakurudishe kule mirembe
Bonge nyanya! nikiwa hivyo si unajidai lakin ndotokabisaUongo! Wee, mtu mzima hadanganywi kwa pipi. Huwezi kupenda kitu ambacho huna ama unajiandaa kuwa chinenee au Bonge Nyanaya.
Bonge nyanya! nikiwa hivyo si unajidai lakin ndotokabisa
Team ya watetea wafu kazini.
Najiuliza endapo Rais ajaye akiikataa katiba pendekezwa je anaweza kutengua maamuzi ya Rais aliyemtangulia je sheria inasemaje? Au lazima arudishe mswaada bungeni?
Umechanganyikiwa wewe waambie wakurudishe kule mirembe
Wakuu mbona mmetoka katika hoja mmeenda kwenye mipasho nendeni chit chat mkapasuane comments za watu wawili 5 page? Eti Emma na wewe SIDANGANYIKI2015 jamani rudini kwenye topic
Mtoa mada ni dhaifu, badala ya kusimamia alichowasilisha amekalia ushabiki wa vyama hapa mara UKAWA na kelele kibao kaukimbia msingi wake mwenyewe aloujengaHata kama ni ushabiki wa vyama sio kiivyo taifa kwanzataifa ni bora kuliko UKAWA, Katiba mpya ni ajenda ya taifa hakuna asiyelijua hili!! Sasa yeye anasema nini???ajirudi kwanza mwenyewe ili wachangiaji wengine tumuelewe la sivyo ni fujo tu!!Amekosa sifa ya uvumilivu othewise mada yake angekaa nayo tu.Wakuu mbona mmetoka katika hoja mmeenda kwenye mipasho nendeni chit chat mkapasuane comments za watu wawili 5 page? Eti Emma na wewe SIDANGANYIKI2015 jamani rudini kwenye topic
Nimeeleweka hapa mpo kiitikadi hivi hii katiba ya pili unadhani Rais ajae ataitaka hata kuiona subirii!Mtoa mada ni dhaifu, badala ya kusimamia alichowasilisha amekalia ushabiki wa vyama hapa mara UKAWA na kelele kibao kaukimbia msingi wake mwenyewe aloujengaHata kama ni ushabiki wa vyama sio kiivyo taifa kwanzataifa ni bora kuliko UKAWA, Katiba mpya ni ajenda ya taifa hakuna asiyelijua hili!! Sasa yeye anasema nini???ajirudi kwanza mwenyewe ili wachangiaji wengine tumuelewe la sivyo ni fujo tu!!Amekosa sifa ya uvumilivu othewise mada yake angekaa nayo tu.
Nimeeleweka hapa mpo kiitikadi hivi hii katiba ya pili unadhani Rais ajae ataitaka hata kuiona subirii!
Nakufahamisha kwa rais ajae mwenye hekima na anayejali hali ya watanzani na si mchumia tumbo basi katiba pendekezwa hawezi kuikubali kwani hata wakati inapitishwa kuna baadhi ya wabunge wa chama tawala walichukizwa na hiyo katiba ya pili na wengi waliofurahia ni kama kapten komba, Lusinde etcHaaa kumbe mtoa mada ni wewe kumradhi aisee!!niliyosema kwenye mchango wangu yanaanza kudhihirika, mtoa hoja ni dhaifu na tayari majibu unayo ya nini kutuletea ushuzi huu???
Nakufahamisha kwa rais ajae mwenye hekima na anayejali hali ya watanzani na si mchumia tumbo basi katiba pendekezwa hawezi kuikubali kwani hata wakati inapitishwa kuna baadhi ya wabunge wa chama tawala walichukizwa na hiyo katiba ya pili na wengi waliofurahia ni kama kapten komba, Lusinde etc
Mada gani huu ujingaWakuu mbona mmetoka katika hoja mmeenda kwenye mipasho nendeni chit chat mkapasuane comments za watu wawili 5 page? Eti Emma na wewe SIDANGANYIKI2015 jamani rudini kwenye topic
Uhuru wa maoniMoto wa koroboi, usijifanye juha kwa kutaka sifa kushabikia mambo usiyoyajua mwenzako mnayeshinda naye Buguruni kaleta mada mfu kwanda hatuna katiba Pendekezwa tuna Katiba Inayopendekezwa sasa wewe ume kurupuka usiku kuja kushadadia usichokijua!!
Mada gani huu ujinga
Uhuru wa maoni
Lowasa kama anataka uraisi na ashinde kwa kishindo basi awaahidi watanzania rasimu ya Warioba ndiyo itakayopitishwa. Maana bila hivyo hawezi kuibadilisha nchi kwa utawala huu na viongozi hawa hawa