Je Rais ajaye atakubaliana na katiba pendekezwa?

Ikiwa CCM watampitisha Lowassa kugombea urais na kwa bahati mbaya akashinda, basi Katiba Mpya itapitishwa hata kwa lazima...

Kumbuka mwandishi mkuu wa hiyo Katiba ni Andrew Chenge swahiba mkuu wa Lowassa
 
Kapumzike kijana upatenmawazo mapya kila siku haya haya tu hakuna jipya aaaaaaaaaaa!!!
 
Very interesting.....tafsiri yangu ambayo siyo rasmi..."Usiogope kundi la Simba linaloongozwa na Kondoo bali ogopa kundi la kondoo linalo ongozwa na Simba"Maana yake ni nini:Simba wanao ongozwa na Kondoo hawana ukali wowote hata wa kumshambulia Kondoo..yaani wanamuogopa.Kondoo wanao ongozwa na Simba ni wajanja kiasi ambacho Simba hawezi kuwadhuru...yaani wamemzidi akili.Sijui kama niko sahihi,naomba michango yenu.
 
Tafsiri yako kaana wewe na familia yako back to the point!Huna uhakika na unachochangia!!!
 
Do not Afraid!!!! A group of lion led by a sheep!!wait until and After October 2015 you will see if the group of lion can easly be led by sheep!!!!!!:becky::becky::becky::becky::becky:

Tulijifunza lugha ya malkia ktk chuo kimoja siku za nyuma.Naona hii ina maana tofauti na ile ya kwanza au bado nakosea....Nielimishe tu ili nisipotoshe familia.
 
Jamaa kakomalia ujumbe huo, kitu anacho paswa kuelewa kila msemo una maana 2 njema na mbaya, na mtu awekapo msemo wake hum pengine si kwaniaba ya siasatu, ndugu uposawa you're translator ume translate powa na maneno hayo jamaa kayachukulia kama KEBEHI fulani kumbe sio
 
like Papa like son, nyie ni wamoja na chuo chenu kimoja na mnaandika vitu msivyovielewa teh teh teh kweli kazi tunayo acheni ushabiki!!
 
Hahaa umemaliza mkuu huna haja yakuhoji huoni jamaa hataki kukujibu.

Wote hamuelewi naona mnashabikiana teh teh teh Utawala wa Giningi at work!!

like Papa like son, nyie ni wamoja na chuo chenu kimoja na mnaandika vitu msivyovielewa teh teh teh kweli kazi tunayo acheni ushabiki!!

Niachie hapo kunusuru hali ya hewa isichafuke,lakini niseme kwa heshima na taadhima Kinjekitile jnr anawajibu wa kutoa elimu kwa jamii inayomzunguka ili isipotee
AHSANTE na kwa heri kwa sasa
 
Nenda kajipange upya, na iwe fundisho kwa wote wanaokurupuka kuleta hoja njaa hapa naona muda wako wa kurudi nyumbani umefika teh teh teh salimia familia yako ndugu!!!
 
Sidhani kama mimi ndiye niliyoleta hoja...inasikitisha kuona mtu anayetumia Smartphone kutokuelewa mleta hoja na mchangiaji.kutumia smartphone naona kama ni kigezo kimoja cha kuelewa
 
Back
Top Bottom