Kinjekitile junior
JF-Expert Member
- Apr 20, 2015
- 4,404
- 581
Sidhani kama mimi ndiye niliyoleta hoja...inasikitisha kuona mtu anayetumia Smartphone kutokuelewa mleta hoja na mchangiaji.kutumia smartphone naona kama ni kigezo kimoja cha kuelewa
Acha kuwa na dhana potoful kama umetumwa nahc njaainakusumbua, katiba hii imetulia na inamjali kila mmoja, kwanini aikatae? Tumia akili na epuka ushawishi mbaya na upotoshaji kijana.Najiuliza endapo Rais ajaye akiikataa katiba pendekezwa je anaweza kutengua maamuzi ya Rais aliyemtangulia je sheria inasemaje? Au lazima arudishe mswaada bungeni?
Wewe naona umechanganyikiwa na MB 8 zinakaribia kuisha teh teh Smart phone unatumia mwenyewe message sent naona kakuchanganya, hayo ndo madhara ya kushadadia mada usiyoijua!!
Nawe kunyuni umetokea wapi wewe? Weka hoja mambo ya simu hayakuhusu hapaKwani Smartphone iko vipi kwa namna unavyoelewa wewe.Control yourself kabla hujajibu,kwa kufanya hivyo unaweza kuja na angalau jibu zuri
Nawe kunyuni umetokea wapi wewe? Weka hoja mambo ya simu hayakuhusu hapa
Kwani Smartphone iko vipi kwa namna unavyoelewa wewe.Control yourself kabla hujajibu,kwa kufanya hivyo unaweza kuja na angalau jibu zuri
Rudi kwenye hoja iliyomezani,Rais atakekuja ataendwlwza agenda hii ya Taifa hatakua na muda wa kupoteza isipokuwa kukamilisha kazi ilobaki!!
Good......Rais ajaye ni lazima afuate sheria za nchi kama anataka kufuata utaratibu wa utawala wa kisheria..kinyume atakuwa Dictator.
Kuna mengi yakufanywa kama katiba ikipita...kutengeneza sheri na kanuni ili ziendane na katiba mpya na katiba inaweza tumika kikamilifu takriban baada ya miaka minne.kipindi chote kitakuwa mpito chini ya implementation commitee itakayoundwa
Kama yote uliyo andika yapo katika sheria husika basi hamna budi yafuatwe.
Mimi naona uko sahihi,hii nchi siyo ya Rais bali Rais tumempa majukumu ya kutuongoza.Rais atakayekuja madarakani anawajibika kufuata yote yaliyopitishwa na bunge la wananchi
Waelimishe na wenzio waliokuwa wagumu kuelewaNimekuelwa vizuri,
Nimekuelwa vizuri,
kwa taifa hili inawezekana kumbuka raisi kapewa madaraka makubwa sana na hamna wa kumshtaki hata kama akiikataa nadhani tumekosea kwenye mfumo katiba pendekezwa bila mfumo nisawa na bure.