Kinjekitile junior
JF-Expert Member
- Apr 20, 2015
- 4,404
- 581
kwa taifa hili nchi ni raisi kumbuka raisi kapewa madaraka makubwa sana na hamna wa kumshtaki nadhani tumekosea kwenye mfumo katiba bila mfumo nisawa na bure.
Aikatae kwa baya gami lililopo ndani ya katiba hii nzuri? Hawezi kufanya hivyo maana atakuwa mtu mwenye busara!Najiuliza endapo Rais ajaye akiikataa katiba pendekezwa je anaweza kutengua maamuzi ya Rais aliyemtangulia je sheria inasemaje? Au lazima arudishe mswaada bungeni?
mbona wameshashinda hata kabla ya uchaguzi
mbona wameshashinda hata kabla ya uchaguzi
Bangi, viroba plus upanyaroad wako ndo vinakufanya uropoke ropoke vitu husivyokuwa na uhakika navyo!mbona wameshashinda hata kabla ya uchaguzi
Bangi, viroba plus upanyaroad wako ndo vinakufanya uropoke ropoke vitu husivyokuwa na uhakika navyo!
Kwa upande wa rais ccm haina mpinzani upinzani utakuwa kwenye udiwani na ubunge
Lowasa kama anataka uraisi na ashinde kwa kishindo basi awaahidi watanzania rasimu ya Warioba ndiyo itakayopitishwa. Maana bila hivyo hawezi kuibadilisha nchi kwa utawala huu na viongozi hawa hawa