Kinjekitile junior
JF-Expert Member
- Apr 20, 2015
- 4,404
- 581
kwa taifa hili nchi ni raisi kumbuka raisi kapewa madaraka makubwa sana na hamna wa kumshtaki nadhani tumekosea kwenye mfumo katiba bila mfumo nisawa na bure.
Umeielewa hoja lakini???naomba uisome vizuri na uangalie majadiliano yetu.