Je, Rais akisema 'Mkeka wa Ma DC ' upo tayari kutoka ' Ufanisi ' wa Kiutendaji kwa waliopo Ofisini unaongezeka au unashuka?

Siku ukija kuminywa ndeke zako kwa kumtukana Rais katika kila thread akili itakurudia sawa
Mkimminya Kende ( Pumbu ) zake ndiyo mtakuwa mmetatua tatizo la Kimsingi?

Sasa kama Kuua Watu, Kuwatishia na hata Kuwatesa mlidhani kuna Tija mbona bado Watu wanafunguka tu?

Nitafutie duniani Taifa ambalo limeminya Uhuru wa Watu Kujieleza na kutoa Hisia zao kwa Uozo wa ama Marais wao au Serikali zao limekuwa na Amani au Maendeleo.

Kiongozi ukidhihakiwa au Serikali ikidharauliwa ni Jukumu la Mhusika au Taasisi husika ' Kujitathmini ' kwa Kina na ubadilike.

Yaani mnaacha Kufanya Kazi ya Kumsaidia Rais Kujenga na Kurekebisha Kasoro mpo ' busy ' kuja Kutishia Watu Mitandaoni kama ulivyofanya.

Hamjakoma tu Mtishaji Mkuu Mwenzenu wa Maisha ya Watanzania Yeye kaondoka zake lakini ' Watishiwaji ' tuliotukuka ' tunadunda ' zetu tu duniani huku wengine hata ' Mkituua ' leo tutawashukuruni kwani Mawazo na Mabandiko yetu ya Ukweli na Haki yatabaki Milele na katika Vizazi mbalimbali vya Watanzania.

Mkipatia akina GENTAMYCINE tutawapongeza na tumekuwa tukifanya bila kuhitaji ' favors ' zozote za Kipesa au Uteuzi kutoka Kwenu ila mkikosea ( mkikengeuka ) tu katika Utendaji wenu tutawasemeni ( tutawasilibeni ) hapa hapa ili mbadilike.

Ninachukia sana tabia za Kutishia Watu.
 
Hivi Mchezaji aliyeko Uwanjani tena katika Mechi ngumu na anajitahidi akiona Kocha Mkuu kamuamsha Mchezaji wa namba anayocheza Yeye anaimarika Kiuchezaji au Kisaikolojia ndiyo anaathirika na kujikuta anaharibu kabisa na Kuigharimu Timu?

Maoni yenu yatasomwa nae Muunguja.
Maza anaharibu sn vitisho vyake
 
Ufanisi upi sijawahi kuona hawa jamaa kitu chochote wanachofanya yaani kwaufupi ni ujingaujinga tu hakuna mpya wanatakiwa kwanza katiba iwaondoe wote maana hawana wanachofanya , wakurugenzi ndio wanatakiwa angalau wawepo kwaajili ya kusimamia mambo
 
Hawa wanaotishia wao wana hati miliki na Tanzania? ni wajinga sn
 
Hivi Mchezaji aliyeko Uwanjani tena katika Mechi ngumu na anajitahidi akiona Kocha Mkuu kamuamsha Mchezaji wa namba anayocheza Yeye anaimarika Kiuchezaji au Kisaikolojia ndiyo anaathirika na kujikuta anaharibu kabisa na Kuigharimu Timu?

Maoni yenu yatasomwa nae Muunguja.
Vyanzo visivyo rasmi vinasema "mama la Mama" ameandaa mkeka wake , wote umetoka kwa watumishi wa Umma , hasa halmashauri, yani watu wamepandishwa vyeo na "si kubeba mizoga[MATAGA] na "chawa wa CCM" ambao wao wapo radhi kumwaga damu kwaajiliya matumbo yao na wanao.
 
Ufanisi upi sijawahi kuona hawa jamaa kitu chochote wanachofanya yaani kwaufupi ni ujingaujinga tu hakuna mpya wanatakiwa kwanza katiba iwaondoe wote maana hawana wanachofanya , wakurugenzi ndio wanatakiwa angalau wawepo kwaajili ya kusimamia mambo
Ma-DAS na Ma-DED wanatosha kabisa
 
Vyanzo visivyo rasmi vinasema "mama la Mama" ameandaa mkeka wake , wote umetoka kwa watumishi wa Umma , hasa halmashauri, yani watu wamepandishwa vyeo na "si kubeba mizoga[MATAGA] na "chawa wa CCM" ambao wao wapo radhi kumwaga damu kwaajiliya matumbo yao na wanao.
Hakuna aliyepanda cheo mpaka leo mkuu, naongea na HRs wengi sn ambao nimesoma nao
 
Sikuona pia umuhimu wa kuwaondoa hadharani DC na DED wa Morogoro kama anajua fika kuwa kwenye mkeka wake unao toka hawato kuwepo.Alishindwa kuvumilia ndani ya huo muda mfupi?? Au na yeye ni mtafuta cheap politics
 
Ni Copy and Paste tu wa aliyelala Chato.
 
Hivi Mchezaji aliyeko Uwanjani tena katika Mechi ngumu na anajitahidi akiona Kocha Mkuu kamuamsha Mchezaji wa namba anayocheza Yeye anaimarika Kiuchezaji au Kisaikolojia ndiyo anaathirika na kujikuta anaharibu kabisa na Kuigharimu Timu?

Maoni yenu yatasomwa nae Muunguja.
Usihofu mh diisii, jina lako limo...sema amina.
 
Sikuona pia umuhimu wa kuwaondoa hadharani DC na DED wa Morogoro kama anajua fika kuwa kwenye mkeka wake unao toka hawato kuwepo.Alishindwa kuvumilia ndani ya huo muda mfupi?? Au na yeye ni mtafuta cheap politics
Sasa tungejuaje hicho walichokifanya sio kizuri cha kushindwa kuwasaidia wajasiliamali baadala yake wanawafanyia unyama kama ule?

Sent from my TECNO KA7O using JamiiForums mobile app
 
Mama nayeye huwa anabet kumbe ,anajuaje mambo ya mikeka
Anawasoma lugha zenu na anazitumia kama mnavyozipenda. Kumbuka alikua anaongea na vijana, aliona atumie lugha yenu. Tusubiri pdf ya Jaffar Haniu.
 
Mkimminya Kende ( Pumbu ) zake ndiyo mtakuwa mmetatua tatizo la Kimsingi?

Sasa kama Kuua Watu, Kuwatishia na hata Kuwatesa mlidhani kuna Tija mbona bado Watu wanafunguka tu?

Nitafutie duniani Taifa ambalo limeminya Uhuru wa Watu Kujieleza na kutoa Hisia zao kwa Uozo wa ama Marais wao au Serikali zao limekuwa na Amani au Maendeleo.

Kiongozi ukidhihakiwa au Serikali ikidharauliwa ni Jukumu la Mhusika au Taasisi husika ' Kujitathmini ' kwa Kina na ubadilike.

Yaani mnaacha Kufanya Kazi ya Kumsaidia Rais Kujenga na Kurekebisha Kasoro mpo ' busy ' kuja Kutishia Watu Mitandaoni kama ulivyofanya.

Hamjakoma tu Mtishaji Mkuu Mwenzenu wa Maisha ya Watanzania Yeye kaondoka zake lakini ' Watishiwaji ' tuliotukuka ' tunadunda ' zetu tu duniani huku wengine hata ' Mkituua ' leo tutawashukuruni kwani Mawazo na Mabandiko yetu ya Ukweli na Haki yatabaki Milele na katika Vizazi mbalimbali vya Watanzania.

Mkipatia akina GENTAMYCINE tutawapongeza na tumekuwa tukifanya bila kuhitaji ' favors ' zozote za Kipesa au Uteuzi kutoka Kwenu ila mkikosea ( mkikengeuka ) tu katika Utendaji wenu tutawasemeni ( tutawasilibeni ) hapa hapa ili mbadilike.

Ninachukia sana tabia za Kutishia Watu.
Aise! Ni kwamba upo tayari kuelea kwenye kiroba.
 
Back
Top Bottom