DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 11,622
- 26,005
- Thread starter
-
- #41
Na vipi kuhusu Hasara iliyoingiwa Pale tulipovunja mikataba miaka michache iliyopita Mpaka tukapelekwa mahakama Ya Kimataifa juz kati bado huamini kuhusu nini? Vipi kuhusu maamuz yaliyotokea ya kuwafuta kazi vyeti feki ila baada ya Mwkaa mmoja ikabdi kuwarudisha kazini na kuwalipa fidia juu? Bado huamini? Vipi kuhusu vitu vingi vitkeavyo kinyume na katiba na sheria??Mimi siamini kama ikulu hakuna wanasheria wazuri wenye kupima jambo Hilo katika macho ya kisheria kwenye suala nyeti kama hilo.
Kama ndivyo, basi kiongozi wa wajinga atakuwa kinara wa hiyo kada.Nafikiri ndiye Rais anayeongoza watu wajinga zaidi Duniani kwa sasa.
Mama anasoma hayo masheria yenu basi. Watu wamesaini IGA na dubai state bila kujua kilichoandikwa ndani mwake, ije kuwa ya kumteua x-dg kuwa balozi.Nawasalimu Kwa jina la JMT...πΉπΏ
Jana katika pita pita zangu nilikutana na Taarifa kutoka ikulu ikisema kuwa Rais amemteua Bw Hussein Massoro Kuwa balozi na kumuweka Balozi Ali Idi Siwa kuwa DG mpya TISS. (kongole kwake).
Japo jambo hilo lilizua mijadala mingi ikiwemo uwepo wa Tengua tengua Ya Wakurugenzi wa TISS kwa kipindi kifupi cha miaka mitano Ambapo mpaka sasa Wakurugenzi wapatao 3 tayari wamekwisha badilishwa, Na wengi wakahoji kuhusu Usalama wa Taarifa za kiulinzi za nchi na Kusema Huko TISS kuna siri gani Inayofanya kubadilishwa kwa Wakurugenzi mara kwa mara?.
Lakini Hilo sio swala kubwa Sana,kubwa ni kwamba Mama kwa kumteua Rt.DG kuwa Balozi, amepingana na sheria Ya usalama wa Taifa iliyopitishwa na Bunge mwaka July,2023 kifungu cha 6 ibara ya 6 Ambayo inatoa marufuku kwa Mkurugenzi wa TISS kuchaguliwa kushika nyadhifa yoyote ya kiutumishi katika sector yoyote ya Umma au nyadhifa yoyote ya kisiasa.
Au ilipotungwa sheria hiyo ilikuwa Tamu sehemu ya mamlaka ya TISS ila sehemu ya upande wa utawala haikuonekana?
Umesoma habari yenyewe kweli? Au unajibu title yake?
Umesoma vizuri nilichoandika
Ukiwemo na wewe?Rais wa Tanzania yupo juu ya sheria. Hata akiamua leo kijazi intechange ibomolewe inabomolewa tu.
Nafikiri ndiye Rais anayeongoza watu wajinga zaidi Duniani kwa sasa.
Una hoja [emoji1]Hamna Jambo hunikera kama kumwita raisi mama,mama ni nyumbani kwake,acheni uchawa ulopitiliza
Au we ngumbaru,ukiingia kwenye ofisi za watu badala ya kuadress watu kwa vyeo vyao unakela kujikombakomba,na shemeji,shangazi,mjomba[emoji1787][emoji1787]
Ajabu sana mkuu!... mada umeiwasilisha wewe ili ijadiliwe. Badala ya kutoa details za kutosha unatupa assignment ya kutafuta details za hoja uliyoiwasilisha mwenyewe. Dah!
Kwani Ikulu haina kitengo cha Sheria kushauti haya mamboNawasalimu Kwa jina la JMT...πΉπΏ
Jana katika pita pita zangu nilikutana na Taarifa kutoka ikulu ikisema kuwa Rais amemteua Bw Hussein Massoro Kuwa balozi na kumuweka Balozi Ali Idi Siwa kuwa DG mpya TISS. (kongole kwake).
Japo jambo hilo lilizua mijadala mingi ikiwemo uwepo wa Tengua tengua Ya Wakurugenzi wa TISS kwa kipindi kifupi cha miaka mitano Ambapo mpaka sasa Wakurugenzi wapatao 3 tayari wamekwisha badilishwa, Na wengi wakahoji kuhusu Usalama wa Taarifa za kiulinzi za nchi na Kusema Huko TISS kuna siri gani Inayofanya kubadilishwa kwa Wakurugenzi mara kwa mara?.
Lakini Hilo sio swala kubwa Sana,kubwa ni kwamba Mama kwa kumteua Rt.DG kuwa Balozi, amepingana na sheria Ya usalama wa Taifa iliyopitishwa na Bunge mwaka July,2023 kifungu cha 6 ibara ya 6 Ambayo inatoa marufuku kwa Mkurugenzi wa TISS kuchaguliwa kushika nyadhifa yoyote ya kiutumishi katika sector yoyote ya Umma au nyadhifa yoyote ya kisiasa.
Au ilipotungwa sheria hiyo ilikuwa Tamu sehemu ya mamlaka ya TISS ila sehemu ya upande wa utawala haikuonekana?
πππ Mkuu nimepokea marekebisho uko sahihi kabisa na nimefurahi sana Japo sio mara zote Articles inatumika kwenye Ktiba tu but mostly hutumika hivyo....Nimesoma na ndugu mwandishi amechanganya maneno.
Kifungu (Section) na Ibara (Articles), hivi ni vitu tofauti.
Kifungu hutumika kwenye sheria (Parliamentary Act).
Ibara hutumika kwenye katika (The Constitution).
NB: Sasa hapo kipi ni kipi ndugu mwanajukwaa ?
Mkuu
Kuwa mpole. Rais wetu wa sasa ni mama. Mbona haukereki Nyerere kuitwa baba?
PunguzaHu
Maeneo ya Uswahilini a.k.a uswazi hushangilia kabisa utadhani mechi za watani wa jadi... mmoja wao akianza kufungwa, au mmoja wao akichomoa goli πππΎUjinga wetu unajidhihirisha pale umeme unapokata from saa kumi na mbili asubuhi ukirudi jioni tunapiga kelele huooooooo!!! Kama mazombi!
Watoto nao utasikiaa huoooooooo!
Mtaa wa pili huooooo
Marekebisho ya sheria ya usalama wataifa Julai 2023Nawasalimu Kwa jina la JMT...πΉπΏ
Jana katika pita pita zangu nilikutana na Taarifa kutoka ikulu ikisema kuwa Rais amemteua Bw Hussein Massoro Kuwa balozi na kumuweka Balozi Ali Idi Siwa kuwa DG mpya TISS. (kongole kwake).
Japo jambo hilo lilizua mijadala mingi ikiwemo uwepo wa Tengua tengua Ya Wakurugenzi wa TISS kwa kipindi kifupi cha miaka mitano Ambapo mpaka sasa Wakurugenzi wapatao 3 tayari wamekwisha badilishwa, Na wengi wakahoji kuhusu Usalama wa Taarifa za kiulinzi za nchi na Kusema Huko TISS kuna siri gani Inayofanya kubadilishwa kwa Wakurugenzi mara kwa mara?.
Lakini Hilo sio swala kubwa Sana,kubwa ni kwamba Mama kwa kumteua Rt.DG kuwa Balozi, amepingana na sheria Ya usalama wa Taifa iliyopitishwa na Bunge mwaka July,2023 kifungu cha 6(6) Ambayo inatoa marufuku kwa Mkurugenzi wa TISS kuchaguliwa kushika nyadhifa yoyote ya kiutumishi katika sector yoyote ya Umma au nyadhifa yoyote ya kisiasa.
Au ilipotungwa sheria hiyo ilikuwa Tamu sehemu ya mamlaka ya TISS ila sehemu ya upande wa utawala haikuonekana?
Acha wivu wa kijinga wewe unataka tukuite wewe?Hamna Jambo hunikera kama kumwita raisi mama,mama ni nyumbani kwake,acheni uchawa ulopitiliza
Au we ngumbaru,ukiingia kwenye ofisi za watu badala ya kuadress watu kwa vyeo vyao unakela kujikombakomba,na shemeji,shangazi,mjomba[emoji1787][emoji1787]
πππ Mkuu nimepokea marekebisho uko sahihi kabisa na nimefurahi sana Japo sio mara zote Articles inatumika kwenye Ktiba tu but mostly hutumika hivyo....
Japo kuziweka kwa pamoja ilikuwaa ni Typo
Hilo nalo mkalitizame vizuriNawasalimu Kwa jina la JMT...πΉπΏ
Jana katika pita pita zangu nilikutana na Taarifa kutoka ikulu ikisema kuwa Rais amemteua Bw Hussein Massoro Kuwa balozi na kumuweka Balozi Ali Idi Siwa kuwa DG mpya TISS. (kongole kwake).
Japo jambo hilo lilizua mijadala mingi ikiwemo uwepo wa Tengua tengua Ya Wakurugenzi wa TISS kwa kipindi kifupi cha miaka mitano Ambapo mpaka sasa Wakurugenzi wapatao 3 tayari wamekwisha badilishwa, Na wengi wakahoji kuhusu Usalama wa Taarifa za kiulinzi za nchi na Kusema Huko TISS kuna siri gani Inayofanya kubadilishwa kwa Wakurugenzi mara kwa mara?.
Lakini Hilo sio swala kubwa Sana,kubwa ni kwamba Mama kwa kumteua Rt.DG kuwa Balozi, amepingana na sheria Ya usalama wa Taifa iliyopitishwa na Bunge mwaka July,2023 kifungu cha 6(6) Ambayo inatoa marufuku kwa Mkurugenzi wa TISS kuchaguliwa kushika nyadhifa yoyote ya kiutumishi katika sector yoyote ya Umma au nyadhifa yoyote ya kisiasa.
Au ilipotungwa sheria hiyo ilikuwa Tamu sehemu ya mamlaka ya TISS ila sehemu ya upande wa utawala haikuonekana?
Mojawapo ya kauli za kizembe na kijinga kuwahi kutokea.Acha iendelee kunyesha tuone panapovuja