Je, Rais kavunja Sheria ya Usalama wa Taifa ya mwaka 2023 kwa kumteua aliyekuwa Mkurugenzi wa Usalama kuwa Balozi?

Mimi siamini kama ikulu hakuna wanasheria wazuri wenye kupima jambo Hilo katika macho ya kisheria kwenye suala nyeti kama hilo.
Na vipi kuhusu Hasara iliyoingiwa Pale tulipovunja mikataba miaka michache iliyopita Mpaka tukapelekwa mahakama Ya Kimataifa juz kati bado huamini kuhusu nini? Vipi kuhusu maamuz yaliyotokea ya kuwafuta kazi vyeti feki ila baada ya Mwkaa mmoja ikabdi kuwarudisha kazini na kuwalipa fidia juu? Bado huamini? Vipi kuhusu vitu vingi vitkeavyo kinyume na katiba na sheria??
 
Nawasalimu Kwa jina la JMT...🇹🇿

Jana katika pita pita zangu nilikutana na Taarifa kutoka ikulu ikisema kuwa Rais amemteua Bw Hussein Massoro Kuwa balozi na kumuweka Balozi Ali Idi Siwa kuwa DG mpya TISS. (kongole kwake).

Japo jambo hilo lilizua mijadala mingi ikiwemo uwepo wa Tengua tengua Ya Wakurugenzi wa TISS kwa kipindi kifupi cha miaka mitano Ambapo mpaka sasa Wakurugenzi wapatao 3 tayari wamekwisha badilishwa, Na wengi wakahoji kuhusu Usalama wa Taarifa za kiulinzi za nchi na Kusema Huko TISS kuna siri gani Inayofanya kubadilishwa kwa Wakurugenzi mara kwa mara?.

Lakini Hilo sio swala kubwa Sana,kubwa ni kwamba Mama kwa kumteua Rt.DG kuwa Balozi, amepingana na sheria Ya usalama wa Taifa iliyopitishwa na Bunge mwaka July,2023 kifungu cha 6 ibara ya 6 Ambayo inatoa marufuku kwa Mkurugenzi wa TISS kuchaguliwa kushika nyadhifa yoyote ya kiutumishi katika sector yoyote ya Umma au nyadhifa yoyote ya kisiasa.

Au ilipotungwa sheria hiyo ilikuwa Tamu sehemu ya mamlaka ya TISS ila sehemu ya upande wa utawala haikuonekana?
Mama anasoma hayo masheria yenu basi. Watu wamesaini IGA na dubai state bila kujua kilichoandikwa ndani mwake, ije kuwa ya kumteua x-dg kuwa balozi.
 
Umesoma habari yenyewe kweli? Au unajibu title yake?
Umesoma vizuri nilichoandika
Nimesoma na ndugu mwandishi amechanganya maneno.
Kifungu (Section) na Ibara (Articles), hivi ni vitu tofauti.
Kifungu hutumika kwenye sheria (Parliamentary Act).
Ibara hutumika kwenye katika (The Constitution).

NB: Sasa hapo kipi ni kipi ndugu mwanajukwaa ?
 
Hamna Jambo hunikera kama kumwita raisi mama,mama ni nyumbani kwake,acheni uchawa ulopitiliza
Au we ngumbaru,ukiingia kwenye ofisi za watu badala ya kuadress watu kwa vyeo vyao unakela kujikombakomba,na shemeji,shangazi,mjomba[emoji1787][emoji1787]
Una hoja [emoji1]
 
... mada umeiwasilisha wewe ili ijadiliwe. Badala ya kutoa details za kutosha unatupa assignment ya kutafuta details za hoja uliyoiwasilisha mwenyewe. Dah!
Ajabu sana mkuu!

Jamaa kashajaa upepo [emoji23][emoji23]

Ujue kutafsiri Sheria sio jambo la lele mama, inabidi uwe ni mtu wa taaluma hiyo, otherwise...utafamba tu.

Sasa kaona aki-copy na ku-paste kifungu husika anaweza akawa amepotosha...[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nawasalimu Kwa jina la JMT...🇹🇿

Jana katika pita pita zangu nilikutana na Taarifa kutoka ikulu ikisema kuwa Rais amemteua Bw Hussein Massoro Kuwa balozi na kumuweka Balozi Ali Idi Siwa kuwa DG mpya TISS. (kongole kwake).

Japo jambo hilo lilizua mijadala mingi ikiwemo uwepo wa Tengua tengua Ya Wakurugenzi wa TISS kwa kipindi kifupi cha miaka mitano Ambapo mpaka sasa Wakurugenzi wapatao 3 tayari wamekwisha badilishwa, Na wengi wakahoji kuhusu Usalama wa Taarifa za kiulinzi za nchi na Kusema Huko TISS kuna siri gani Inayofanya kubadilishwa kwa Wakurugenzi mara kwa mara?.

Lakini Hilo sio swala kubwa Sana,kubwa ni kwamba Mama kwa kumteua Rt.DG kuwa Balozi, amepingana na sheria Ya usalama wa Taifa iliyopitishwa na Bunge mwaka July,2023 kifungu cha 6 ibara ya 6 Ambayo inatoa marufuku kwa Mkurugenzi wa TISS kuchaguliwa kushika nyadhifa yoyote ya kiutumishi katika sector yoyote ya Umma au nyadhifa yoyote ya kisiasa.

Au ilipotungwa sheria hiyo ilikuwa Tamu sehemu ya mamlaka ya TISS ila sehemu ya upande wa utawala haikuonekana?
Kwani Ikulu haina kitengo cha Sheria kushauti haya mambo
 
Nimesoma na ndugu mwandishi amechanganya maneno.
Kifungu (Section) na Ibara (Articles), hivi ni vitu tofauti.
Kifungu hutumika kwenye sheria (Parliamentary Act).
Ibara hutumika kwenye katika (The Constitution).

NB: Sasa hapo kipi ni kipi ndugu mwanajukwaa ?
😀😀😀 Mkuu nimepokea marekebisho uko sahihi kabisa na nimefurahi sana Japo sio mara zote Articles inatumika kwenye Ktiba tu but mostly hutumika hivyo....
Japo kuziweka kwa pamoja ilikuwaa ni Typo
 
Ujinga wetu unajidhihirisha pale umeme unapokata from saa kumi na mbili asubuhi ukirudi jioni tunapiga kelele huooooooo!!! Kama mazombi!

Watoto nao utasikiaa huoooooooo!

Mtaa wa pili huooooo
Maeneo ya Uswahilini a.k.a uswazi hushangilia kabisa utadhani mechi za watani wa jadi... mmoja wao akianza kufungwa, au mmoja wao akichomoa goli 😂🙌🏾
 
Nawasalimu Kwa jina la JMT...🇹🇿

Jana katika pita pita zangu nilikutana na Taarifa kutoka ikulu ikisema kuwa Rais amemteua Bw Hussein Massoro Kuwa balozi na kumuweka Balozi Ali Idi Siwa kuwa DG mpya TISS. (kongole kwake).

Japo jambo hilo lilizua mijadala mingi ikiwemo uwepo wa Tengua tengua Ya Wakurugenzi wa TISS kwa kipindi kifupi cha miaka mitano Ambapo mpaka sasa Wakurugenzi wapatao 3 tayari wamekwisha badilishwa, Na wengi wakahoji kuhusu Usalama wa Taarifa za kiulinzi za nchi na Kusema Huko TISS kuna siri gani Inayofanya kubadilishwa kwa Wakurugenzi mara kwa mara?.

Lakini Hilo sio swala kubwa Sana,kubwa ni kwamba Mama kwa kumteua Rt.DG kuwa Balozi, amepingana na sheria Ya usalama wa Taifa iliyopitishwa na Bunge mwaka July,2023 kifungu cha 6(6) Ambayo inatoa marufuku kwa Mkurugenzi wa TISS kuchaguliwa kushika nyadhifa yoyote ya kiutumishi katika sector yoyote ya Umma au nyadhifa yoyote ya kisiasa.

Au ilipotungwa sheria hiyo ilikuwa Tamu sehemu ya mamlaka ya TISS ila sehemu ya upande wa utawala haikuonekana?
Marekebisho ya sheria ya usalama wataifa Julai 2023
Kiswahili

I Inapendekezwa sheria ifanyiwe marekebisho katika kifungu cha 5 kwa lengo la kuipa Idara majukumu yaNo. Tanzania Intelligence and Security Service (Amendment) 202324msingi na muhimu ya usalama inayoyatekeleza kwa sasa. Majukumu hayoni pamoja na ulinzi binafsi wa Viongozi wa Ngazi za Juu wa Kitaifa naKimataifa, ulinzi wa Vituo Muhimu, mamlaka ya upekuzi wa kiusalamawa Viongozi na udhibiti wa matishio ya kiusalama dhidi ya Jamhuri yaMuungano.
"..Inapendekeza kifungu cha 6 cha Sheria kifanyiwe marekebisho ilikuweka sifa za uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu na kuweka masharti kuhusunafasi hiyo baada ya utumishi. Lengo ni kupata mtendaji mwenye uwezo,sifa na weledi na kulinda maslahi ya kiusalama kwa watu ambaowamewahi kutumikia nafasi ya Mkurugenzi Mkuu......."

English

The Act is proposed to be amended in section 5 by adding vital security-related functions that TISS currently implements. The functions include the provision of personal protection of national leaders and foreign dignitaries, protection of vital installations, the carrying out of security vetting investigation or security clearance of leaders, and control of security threats or potential security threats to the security of UnitedRepublic.
"....Section 6 is proposed to be amended by adding qualification requirements for the appointment of the Director General of TISS as well as providing post-Service restrictions of former Directors General. The objective of the amendment is to facilitate the employment of qualified persons with requisite skills and safeguard the security interest of persons who have served as Director General...."
 
Hamna Jambo hunikera kama kumwita raisi mama,mama ni nyumbani kwake,acheni uchawa ulopitiliza
Au we ngumbaru,ukiingia kwenye ofisi za watu badala ya kuadress watu kwa vyeo vyao unakela kujikombakomba,na shemeji,shangazi,mjomba[emoji1787][emoji1787]
Acha wivu wa kijinga wewe unataka tukuite wewe?
 
Kwa nchi yetu Rais yuko juu ya Katiba na Sheria! Anaweza kuivunja Katiba atakavyo, na Katiba hiyo hiyo anayoivunja inampa kinga ya kutoshitakiwa hata kama atakoma kuwa Rais!
Kwa hiyo Mama yuko sahihi kabisa!
 
Nawasalimu Kwa jina la JMT...🇹🇿

Jana katika pita pita zangu nilikutana na Taarifa kutoka ikulu ikisema kuwa Rais amemteua Bw Hussein Massoro Kuwa balozi na kumuweka Balozi Ali Idi Siwa kuwa DG mpya TISS. (kongole kwake).

Japo jambo hilo lilizua mijadala mingi ikiwemo uwepo wa Tengua tengua Ya Wakurugenzi wa TISS kwa kipindi kifupi cha miaka mitano Ambapo mpaka sasa Wakurugenzi wapatao 3 tayari wamekwisha badilishwa, Na wengi wakahoji kuhusu Usalama wa Taarifa za kiulinzi za nchi na Kusema Huko TISS kuna siri gani Inayofanya kubadilishwa kwa Wakurugenzi mara kwa mara?.

Lakini Hilo sio swala kubwa Sana,kubwa ni kwamba Mama kwa kumteua Rt.DG kuwa Balozi, amepingana na sheria Ya usalama wa Taifa iliyopitishwa na Bunge mwaka July,2023 kifungu cha 6(6) Ambayo inatoa marufuku kwa Mkurugenzi wa TISS kuchaguliwa kushika nyadhifa yoyote ya kiutumishi katika sector yoyote ya Umma au nyadhifa yoyote ya kisiasa.

Au ilipotungwa sheria hiyo ilikuwa Tamu sehemu ya mamlaka ya TISS ila sehemu ya upande wa utawala haikuonekana?
Hilo nalo mkalitizame vizuri
 
Acha iendelee kunyesha tuone panapovuja
Mojawapo ya kauli za kizembe na kijinga kuwahi kutokea.
Huu ni usemi wa kike na mipasho ya kwenue kanga.
Haustahili kuwekwa katika hoja nguli za kitaifa kama hii.
Ni lini mtatoka na kutembea mbele huku mkisema Enough is enough?
 
Back
Top Bottom