Je, Rais kavunja Sheria ya Usalama wa Taifa ya mwaka 2023 kwa kumteua aliyekuwa Mkurugenzi wa Usalama kuwa Balozi?

Ujinga wetu unajidhihirisha pale umeme unapokata from saa kumi na mbili asubuhi ukirudi jioni tunapiga kelele huooooooo!!! Kama mazombi!

Watoto nao utasikiaa huoooooooo!

Mtaa wa pili huooooo
mWenge mwenge unafanya kaz yake mkuu 🀣🀣🀣
 
Cha msingi ni kujiridhisha kwamba alieteuliwa baada ya ukomo wa cheo chake vipi atakua ofisin huko kama Barozi
 
Kama hajatenguliwa inamaana nchi ina DGs wawili?
Je sheria inaruhusu wawe wawili?
 
Kama hajatenguliwa inamaana nchi ina DGs wawili?
Je sheria inaruhusu wawe wawili?
Nchi haina DG wawili hilo lilikuwa ni swali kwa muhusika anionyeshe mahali alipotenguliwa ila haikuna DG wa TISS wawili
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ Mkuu nimepokea marekebisho uko sahihi kabisa na nimefurahi sana Japo sio mara zote Articles inatumika kwenye Ktiba tu but mostly hutumika hivyo....
Japo kuziweka kwa pamoja ilikuwaa ni Typo
 

Attachments

Nimeangalia kifungu anachojengea hoja alieleta hii mada lakini sijakiona. Atakaekiona atuwekee hapa wakuu
 
Nchi haina DG wawili hilo lilikuwa ni swali kwa muhusika anionyeshe mahali alipotenguliwa ila haikuna DG wa TISS wawili
Hoja yako uliijenga kwa kutaka alieuliza swali kama hilo kuleta barua ya utenguzi. Kwa kusema iletwe barua ya utenguzi unamaanisha hajatenguliwa.

Na nimeweka mswada wa hiyo sheria hapo juu.
Nimeangalia kifungu unachotumia kujenga hoja yako sijakiona.
Hebu pitia ili nawe ujiridhishe.
 
Hujui sheria wewe
 
Huwezi kukiona kwa sababu macho yako tayari yana bias na pia hujui kutafsir Sheria so sikulaumu hebu soma hiyo 7 (d) kwenye marekebisho ya (6) au pia hupaoni
 


Urais ni zaidi ya cheo.

Urais ni Mamlaka ya nchi, wananchi na rasilimali zake.
Urais ni zaidi ya U- mama.

Mpeni heshima yake na hadhi yake anayostahili.

Yeye anaitwa Rais Dokta Samia Suluhu Hassan.

Ukitaka kumuita mama msubiri mkiwa nyumbani.
 
Si amemtengua kama DG ndio akamteua kuwa balozi, labda kama Sheria hiyo inasema hata kama akitenguliwa wadhifa huo.


Kuna kasheria kao keusi hakaonekania ila kanafanya kazi ; Once a DG always a DG.


Kamvua mamlaka rasmi.
 
Once ukishakuwa spy master you will alwayz be spy master ni kama CDF tu huwez kuniambia eti kwakuwa CDF ametenguliwa bhasi hana nguvu kijeshi hiyo sahau....

CDF akishastaafu nguvu zake na mamlaka kijeshi zinaishia hapo.

Anabaki na Uzalendo, ushawishi, uzoefu na ujuzi wa mambo muhimu ya roho ya nchi. Na mtumishi mtiifu kwa nchi yake sio mtu.
 
CDF akishastaafu nguvu zake na mamlaka kijeshi zinaishia hapo.

Anabaki na Uzalendo, ushawishi, uzoefu na ujuzi wa mambo muhimu ya roho ya nchi. Na mtumishi mtiifu kwa nchi yake sio mtu.
Ndo walivyokudanganja Hivyo kuwa General wa kijeshi huwa anabaki anarudi kuwa raia wa kawaida baada ya kustaafu πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…