Hii ncchi imejaa uzuzu mwingi sana
Huwa wanadanganya huko vijiweni na hizi stori za kitoto na wanaamini mpaka uzeeni
Easy Tiger!Sijaelewa? Nani zuzu? Kijiwe gani cha kahawa Saigoni ama cha kubrashi viatu magogoni corner ya ferry?
Nyoosha muandiko.
Easy Tiger!
Rais wa Tanzania yupo juu ya sheria. Hata akiamua leo kijazi intechange ibomolewe inabomolewa tu.
Nafikiri ndiye Rais anayeongoza watu wajinga zaidi Duniani kwa sasa.
Acha choyo basi [emoji1787][emoji1787]Hamna Jambo hunikera kama kumwita raisi mama,mama ni nyumbani kwake,acheni uchawa ulopitiliza
Au we ngumbaru,ukiingia kwenye ofisi za watu badala ya kuadress watu kwa vyeo vyao unakela kujikombakomba,na shemeji,shangazi,mjomba[emoji1787][emoji1787]
Nimekuelewa sana Mkuu and all I wanted ni kupata reassurence so kuna kitu bado nakiwaza kichwani...
So kabla sheria haijapitoshwa iliandaliwa reform yake means Bunge lilipitisha mswada Mwezi July na mwezi huo huo Wakaomba reform π€π€π€π€ Doubtfully mkuu hebu nitoe Tongotongo hapo...
Means kwa Miezi miwili sheria moja imekuwa ammended mara Mbili Ilipata muda lini kusainiwa na kuridishwa tena bungeni kufanyiwa reform baada ya kulitishwa na bunge??? Sorry kama utaweza kurespond i will be waiting......
Cc:- Kaveli
Bado hujaelewa vyema.
Unachanganya MUSWADA na SHERIA.
Pia unachanganya tarehe za kupitishwa rasmi kwa hizo instruments mbili respectively.
Sasa tuliza akili vizuri, unisome tena Kwa umakini hapa chini. Utaelewa tu...
1. MUSWADA ni nini?
MUSWADA ni 'mapendekezo' ya kuanzisha Sheria mpya, au 'mapendekezo' ya kubadili/kurekebisha/kuboresha Sheria iliyopo.
Bunge ndiyo chombo pekee chenye dhamana na mamlaka ya kujadili MUSWADA na kuupitisha au kutoupitisha kuwa SHERIA.
Katika kutimiza jukumu hilo, Bunge laweza kuyapitisha mapendekezo yote ya MUSWADA kama yalivyowasilishwa; ama kupitisha mapendekezo baadhi tu; ama kutopitisha/kuyafuta/kuyakataa mapendekezo yote; ama kuyarekebisha kwa kadri Bunge litakavyoona inafaa kwa manufaa na ustawi wa nchi.
2. Kiutaratibu na kwa mujibu wa Kanuni za Bunge, MUSWADA ni lazima kwanza utangazwe kwenye Government Gazette, kwa siku 21, kisha ndipo uwasilishwe Bungeni.
Hivyo, MUSWADA husika ulikuwa Gazetted rasmi tarehe 15 MAY 2023.
View attachment 2733314
3.0 MUSWADA huu ulikuwa na mapendekezo ya kubadili/kurekebisha vifungu kadhaa vya Sheria ya TISS ya mwaka 1996. Mapendekezo hayo yanajumuisha marekebisho katika "kifungu cha 6" ambacho sasa ndiyo basement ya andiko lako kwenye uzi huu.
View attachment 2733516
3.1 Katika hii "Section 6", mapendekezo ya marekebisho yalikuwa matatu: Kuongeza subsection 2 mpya (pichani 'A'); Kuongeza subsection 6 mpya (pichani 'B'); na Kuondoa baadhi tu ya maneno kwenye subsection 5 iliyopo ya zamani (renumbered as 7) (pichani 'C').
View attachment 2733540
Hapo kwenye pendekezo la 'subsection 6' mpya (pichani 'B') ndipo ilipo hoja yako kuu ya uzi huu.
3.2 MUSWADA huu sasa ukawasilishwa Bungeni rasmi kwaajili ya mchakato wa kuyajadili mapendekezo yake yote ili upitishwe ama usipitishwe.
4.0 Bunge likahitimisha kazi yake. Kisha Bunge likaupitisha rasmi MUSWADA huu mnamo tarehe 8 JUNE 2023.
View attachment 2733576
4.1 Specifically katika SECTION 6, Bunge likawa limepitisha mapendekezo mawili tu: Kuongeza subsection 2 mpya (pichani 'A'); na Kuondoa baadhi tu ya maneno kwenye subsection 5 iliyopo ya zamani (pichani 'C').
View attachment 2733594
Huu sasa ni MUSWADA officially passed by the National Assembly (Bunge). Hayo ndiyo mapendekezo yaliyopitishwa na Bunge kuirekebisha SECTION 6. Lile pendekezo la Kuongeza Subsection 6 mpya, halipo. Halikupitishwa.
5.0 MUSWADA wowote uliopitishwa na Bunge, ili uweze kuwa Sheria kamili ya nchi, ni lazima kwanza Rais aupe kibali kwa kusaini.
MUSWADA huu ukawa umesainiwa rasmi na Rais Samia mnamo tarehe 5 JULY 2023.
View attachment 2733629
Kuanzia tarehe hii Rais aliyosaini, nyaraka hii sio MUSWADA tena. Ni Sheria kamili.
6.0 Sheria yoyote inaposainiwa na Rais, ili iweze kuwa enforceable na kutumika nchini, ni sharti kwanza Sheria hiyo iwe Gazetted, yaani umma utangaziwe kuwa sasa kuna hii Sheria mpya ya nchi.
Sheria hii ya Marekebisho ya Sheria ya TISS, rasmi ikatangazwa kwenye Government Gazette, mnamo tarehe 14 JULY 2023. Kuanzia tarehe hii, tayari Sheria hii ya Marekebisho (ACT SUPPLEMENT) ikaanza kutumika nchini Tanzania.
View attachment 2733650
6.1 Hivyo basi, kwa muktadha huo, maboresho/Marekebisho ya Sheria yaliyofanywa kwenye KIFUNGU CHA 6 cha Sheria ya TISS, weweza kuyang'amua kiurahisi kwa kusoma hizi picha mbili tu hapa chini:
A) Sheria Kuu ya TISS (PRINCIPAL LEGISLATION) ya mwaka 1996. Section 6:
View attachment 2733662
B) Sheria ya Marekebisho (ACT SUPPLEMENT) ya Sheria ya TISS, mwaka 2023. Section 6:
View attachment 2733697
--------------------------------------
SECTION 6 ya Sheria ya TISS imefanyiwa law reform kwa taswira hiyo. Pendekezo la Subsection 6 mpya halikupitishwa na Bunge. Wiped out by the National Assembly.
As such, Mh Rais Samia hajavunja Sheria ya TISS Kwa kumteuwa ex DG ndugu Massoro kuwa mtumishi wa umma kwa nafasi ya ubalozi.
-Kaveli-
Jana nilikuwa na kazi ya kumuelimisha mleta mada lakini wapi.Bado hujaelewa vyema mkuu DR Mambo AMP .

Cc: Richard .
-Kaveli-
Usiseme unahisi sema unampa kongole kwa ufafanuzi na umeelewa uzuri.MKUU NAHISI UMETOA UFAFANUZI MZURI SANA NA NAHISI KWA WOTE WALIOKUWA NA DOUBT KUHUSU HILO WAMEPATA MAJIBU RASMI JAPO SIO OFFICIAL YA KISERIKALI ILA YAMEELEWEKA SANA YAAANI SANA NA HATA KAMA MOD WAKIWEZA KUUFUNGA HUU UZI SAWA ILA UMEELEWESHA VIZURI SANA.......
NA HII NDO MAANA HALISI YA KUELEZA HOJA BILA BLAH BLAH BLAH
KUDOS sana
- Kaveli- ππππππππππ
Maelezo yako hayajitoshelezi tulia andika vizuri weka kifungu husika fafanua na ueleze kinahusiana vipi na uteuziNawasalimu Kwa jina la JMT...πΉπΏ
Jana katika pita pita zangu nilikutana na Taarifa kutoka ikulu ikisema kuwa Rais amemteua Bw Hussein Massoro Kuwa balozi na kumuweka Balozi Ali Idi Siwa kuwa DG mpya TISS. (kongole kwake).
Japo jambo hilo lilizua mijadala mingi ikiwemo uwepo wa Tengua tengua Ya Wakurugenzi wa TISS kwa kipindi kifupi cha miaka mitano Ambapo mpaka sasa Wakurugenzi wapatao 3 tayari wamekwisha badilishwa, Na wengi wakahoji kuhusu Usalama wa Taarifa za kiulinzi za nchi na Kusema Huko TISS kuna siri gani Inayofanya kubadilishwa kwa Wakurugenzi mara kwa mara?.
Lakini Hilo sio swala kubwa Sana,kubwa ni kwamba Mama kwa kumteua Rt.DG kuwa Balozi, amepingana na sheria Ya usalama wa Taifa iliyopitishwa na Bunge mwaka July,2023 kifungu cha 6(6) Ambayo inatoa marufuku kwa Mkurugenzi wa TISS kuchaguliwa kushika nyadhifa yoyote ya kiutumishi katika sector yoyote ya Umma au nyadhifa yoyote ya kisiasa.
Au ilipotungwa sheria hiyo ilikuwa Tamu sehemu ya mamlaka ya TISS ila sehemu ya upande wa utawala haikuonekana?
Ujinga mtupu unatupotezea muda kusoma ujinga wako humuMKUU NAHISI UMETOA UFAFANUZI MZURI SANA NA NAHISI KWA WOTE WALIOKUWA NA DOUBT KUHUSU HILO WAMEPATA MAJIBU RASMI JAPO SIO OFFICIAL YA KISERIKALI ILA YAMEELEWEKA SANA YAAANI SANA NA HATA KAMA MOD WAKIWEZA KUUFUNGA HUU UZI SAWA ILA UMEELEWESHA VIZURI SANA.......
NA HII NDO MAANA HALISI YA KUELEZA HOJA BILA BLAH BLAH BLAH
KUDOS sana
- Kaveli- ππππππππππ
CCm wenyewe wanaongoza kwa kusema mama anupiga mwingi..!!Hamna Jambo hunikera kama kumwita raisi mama,mama ni nyumbani kwake,acheni uchawa ulopitiliza
Au we ngumbaru,ukiingia kwenye ofisi za watu badala ya kuadress watu kwa vyeo vyao unakela kujikombakomba,na shemeji,shangazi,mjombaπ€£π€£
Hao wanasheria wa ikulu ndio walimwingiza chaka Rais kukubali nchi kusaini IGA na jimbo!!Mimi siamini kama ikulu hakuna wanasheria wazuri wenye kupima jambo Hilo katika macho ya kisheria kwenye suala nyeti kama hilo.
Unajua maana ya KudosUsiseme unahisi sema unampa kongole kwa ufafanuzi na umeelewa uzuri.
Huna unalojua kakaJana nilikuwa na kazi ya kumuelimisha mleta mada lakini wapi.
Ulisoma vizuri kichwa cha Habri nenda kasome kichwa cha HABARI halafu rudi Uone kati ya Mimi na wewe nani Mjinga kama ulivyosema...Ujinga mtupu unatupotezea muda kusoma ujinga wako humu
Jitahidi uwe mahiri kwenye lugha ya kiingereza maana yakupiga chenga.Huna unalojua kaka