Je, Rais kavunja Sheria ya Usalama wa Taifa ya mwaka 2023 kwa kumteua aliyekuwa Mkurugenzi wa Usalama kuwa Balozi?

Hata huyu aliyeteuliwa hatafikisha Mwaka mmoja.
Nawasalimu Kwa jina la JMT...🇹🇿

Jana katika pita pita zangu nilikutana na Taarifa kutoka ikulu ikisema kuwa Rais amemteua Bw Hussein Massoro Kuwa balozi na kumuweka Balozi Ali Idi Siwa kuwa DG mpya TISS. (kongole kwake).

Japo jambo hilo lilizua mijadala mingi ikiwemo uwepo wa Tengua tengua Ya Wakurugenzi wa TISS kwa kipindi kifupi cha miaka mitano Ambapo mpaka sasa Wakurugenzi wapatao 3 tayari wamekwisha badilishwa, Na wengi wakahoji kuhusu Usalama wa Taarifa za kiulinzi za nchi na Kusema Huko TISS kuna siri gani Inayofanya kubadilishwa kwa Wakurugenzi mara kwa mara?.

Lakini Hilo sio swala kubwa Sana,kubwa ni kwamba Mama kwa kumteua Rt.DG kuwa Balozi, amepingana na sheria Ya usalama wa Taifa iliyopitishwa na Bunge mwaka July,2023 kifungu cha 6(6) Ambayo inatoa marufuku kwa Mkurugenzi wa TISS kuchaguliwa kushika nyadhifa yoyote ya kiutumishi katika sector yoyote ya Umma au nyadhifa yoyote ya kisiasa.

Au ilipotungwa sheria hiyo ilikuwa Tamu sehemu ya mamlaka ya TISS ila sehemu ya upande wa utawala haikuonekana?
 
Lile dude la mkataba kuonekana uraiani hata kabla ya kupitishwa na bunge litawatesa wengi
 
Kama wamaanisha DG aliemaliza muda wake basi Raisi kwa kutumia decree amteua DG wa zamani kuwa balozi.

Ndo maana Kamanda Sirro nae alipata shavu na kuwa balozi kisha kupelekwa mbali na eneo la tukio.

Pamoja na hayo masuali yako yalipaswa kuulizwa Bungeni na ndo maana tunashauri uteuzi wa watu kama wakuu wa TISS wawe wathibitishwa Bungeni baada ya kuhojiwa masuali kadha wa kadha na wabunge kufahamu uelewa wao wa nchi na masuala mazima ya usalama.

Nchi nyingi za wenzetu, DG wa chombo hichi hutoka ndani ya jeshi au idara yenyewe akiwa na heshima ilotukuka.
Mkuu ulipata bahati ya kuangalia hiyo sheria ilivyorekebishwa (Amendments) imetoa marufuku kwa DG aliyepo au aliyemaliza muda wake pia... Nimekuwekea hapa chini sceeenshot
IMG_20230829_191333.jpg
 
View attachment 2732855
Kwa kuwa raisi ana mamlaka (Decree) na uwezo (kwa imani kuwa yuko juu ya sheria) wa kumteua mtu yeyote kuwa balozi.

Na mabosi hao wa TISS au Polisi au Jeshi, raisi huamua kuwateua kuwa mabalozi ili kuendelea kuwatunza kwa sababu hawajastaafu wala kufukuzwa kazi.

Kiutaratibu watu kama Diwani (aliekuwa DG) apaswa kurudi polisi baada ya kuondoka serikalini na yawezekana Diwani amerudi kule ambako nako ni IGP ataempangia kazi kwa sababu hajastaafu wala kufukuzwa.

Lakini Masoro hawezi kukaa benchi yabidi kutafutiwa sehemu ingine akapumzike ili kutengenza "pension" yake.

Hata hayati Magufuli nae alifanya hivyo ingawa sheria pengine ilimruhusu kwa wakati ule lakini Kipilimba na Ernest Mangu walipewa hadhi ya kibalozi ili wakamalize kukusanya pension zao.

Nafiki hii ndo "reasoning" ya kiongozi wetu.
 
Kwa kuwa raisi ana mamlaka (Decree) na uwezo (kwa imani kuwa yuko juu ya sheria) wa kumteua mtu yeyote kuwa balozi.

Na mabosi hao wa TISS au Polisi au Jeshi, raisi huamua kuwateua kuwa mabalozi ili kuendelea kuwatunza kwa sababu hawajastaafu wala kufukuzwa kazi.

Kiutaratibu watu kama Diwani (aliekuwa DG) apaswa kurudi polisi baada ya kuondoka serikalini na yawezekana Diwani amerudi kule ambako nako ni IGP ataempangia kazi kwa sabau hajastaafu wala kufukuzwa.

Lakini Masoro hawezi kukaa benchi yabidi kutafutiwa sehemu ingine akapunzike ili kutengenza "pension" yake.

Hata hayati Magufuli nae alifanya hivyo ingawa sheria pengine ilimruhusu kwa wakati ule lakini Kipilimba na Ernest Mangu walipewa hadhi ya kibalozi ili wakamalize kukusanya pension zao.

Nafiki hii ndo "reasoning" ya kiongozi wetu.
Mkuu kwenye sheria hakuna swala la kufikiri uko sawa its either uko sawa au umeivunja sheria na kwa mujibu wa katiba rais ataongoza na aliapa kuongoza kwa kifata kanuni,miongozo,Taratibu, Katiba na Sheria zote Za JMT sasa kama akifanya Maamuzi kwa kufikiri au kudhani nafikiri sio sawa
 
Kama wafahamu sheria ya Usalama wa Taifa ilifanyiwa mabadiliko miezi miwili ilopita yaani mwezi June.

Hivyo moja ya mabadiliko hayo ni kuiweka idara hii chini ya ofisi ya raisi yaani raisi anakuwa "briefed" kwanza badala ya waziri na pia ameongezwa naibu DG wa Zanzibar.

Pili, ni kwamba jukumu la kulinda viongozi ni sheria rasmi ya ulinzi wa viongozi.

Tatu, sheria hii mpya yaipa uwezo idara ya usalama TISS kushirikiana na vyombo vya kijasusi. usalama vya kimataifa.

Hivyo narejea tena neno la decree kwamba kwa uzoefu wa kimataifa balozi Siwa amenekana afaa kiutendaji na kimtazamo wa nje kwa kuzingatia iazi yake akiwa balozi Abu Dhabi, Kigali, Moscow na Berlin hivyo huenda akaleta mabadiliko ya kiutendaji ndani ya idara hiyo.

Kuhusu uteuzi wa walokuwa DG bado nasisitiza kuwa ni mamlaka alo nayo raisi khasa kwa sasa kwamba ataweza kumteua yoyote kuwa balozi au sehemu ambayo yeye aona yafaa.

Kwa mimi kwanza naipongeza serikali kwa kuangalia namna ya kuboresha idara hii ambayo ilikuwa ni lazima ibadilike na niliwahi kuweka mapendekezo yangu kupitia hapa: Mapendekezo: Serikali ipitie upya Sheria ya Usalama wa Taifa na TISS iundwe upya kwa maslahi ya taifa

Hivyo bado kama kuna mitazamo tofauti kuhusu hizi teuzi lakini nafikiri uteuzi umeishafanyika na otasemwa "kazi eindelee".
 
Kama wafahamu sheria ya Usalama wa Taifa ilifanyiwa mabadiliko miezi miwili ilopita yaani mwezi June.

Hivyo moja ya mabadiliko hayo ni kuiweka idara hii chini ya ofisi ya raisi yaani raisi anakuwa "briefed" kwanza badala ya waziri.

Pili, ni kwamba jukumu la kulinda viongozi ni sheria rasmi ya ulinzi wa viongozi.

Tatu, sheria hii mpya yaipa uwezo idara ya usalama TISS kushirikiana na vyombo vya kijasusi. usalama vya kimataifa.

Hivyo narejea tena neno la decree kwamba kwa uzoefu wa kimataifa balozi Siwa amenekana afaa kiutendaji na kimtazamo wa nje kwa kuzingatia iazi yake akiwa balozi Abu Dhabi, Kigali na Berlin hivyo huenda akaleta mabadiliko ya kiutendaji ndani ya idara hiyo.

Kuhusu uteuzi wa walokuwa DG bado nasisitiza kuwa ni mamlaka alo nayo raisi khasa kwa sasa kwamba ataweza kumteua yoyote kuwa balozi au sehemu ambayo yeye aona yafaa.

Kwa mimi kwanza naipongeza serikali kwa kuangalia namna ya kuboresha idara hii ambayo ilikuwa ni lazima ibadilike na niliwahi kuweka mapendekezo yangu kupitia hapa: Mapendekezo: Serikali ipitie upya Sheria ya Usalama wa Taifa na TISS iundwe upya kwa maslahi ya taifa

Hivyo bado kama kuna mitazamo tofauti kuhusu hizi teuzi lakini nafikiri uteuzi umeishafanyika na otasemwa "kazi eindelee".
Mkuu Hebu kidogo, ina maana uko serious kusema hivyo au Unatania nimetuma screenshot ya 6(6) ya sheria hiyo ikiwa ni marekebisho yake kuwa Hairuhusiwi kuteuliwa kwa DG na Aliyemaliza uDG kuwa katika utumishi wowote wa serkli sasa Rais anapewa Authentification na sheria ipi kumteua ikiwa sheria ya JMT imekataa nianze na hapo kwanza...Mimi ni Mshabiki wa Mama sana ila Kuna muda hebu tusiwe Washabiki sana tufikiri na kumshauri penye kumshauri...
IMG_20230829_191333.jpg
 
Mkuu Hebu kidogo, ina maana uko serious kusema hivyo au Unatania nimetuma screenshot ya 6(6) ya sheria hiyo ikiwa ni marekebisho yake kuwa Hairuhusiwi kuteuliwa kwa DG na Aliyemaliza uDG kuwa katika utumishi wowote wa serkli sasa Rais anapewa Authentification na sheria ipi kumteua ikiwa sheria ya JMT imekataa nianze na hapo kwanza...
View attachment 2732874

Kwanza, ukumbuke huyo ni Amiri Jeshi mkuu wa vyombo vya ulinzi na Usalama ikiwemo TISS.

Wafahamu maana ya "decree" au kwa kiswahili " Kwa Mamlaka alo Nayo"?
 
Kwanza, ukumbuke huyo ni Amiri Jeshi mkuu wa vyombo vya ulinzi na Usalama ikiwemo TISS.

Wafahamu maana ya "decree" au kwa kiswahili " Kwa Mamlaka alo Nayo".
Mamlaka hayo kapewa nani? Jibu ni sheria na ndo sheria hiyo hiyo haijampa mamlaka yote kuna Power nyingine huwa inaziondoa sio kwa sababu tu hafai kuwa nazo ila kwa maslahi mapana ya nchi huwa Zinaondolewa na sheria....So sheria/katiba inayompa Rais Mamlaka ndo sheria/ Katiba hiyo hiyo inayomnyang'anya baandhi ya power...
Pia nahisi hata vyeo vya Rais huvijui Rais ni Amri jeshi mkuu ndio... unatakiwa ujifunze ni wakati gani Rais anakuwa Amri jeshi mkuu na wakati gani anakuwa mshauri na wakati gani anakuwa mwenyekiti wa Chama ukijua hayo tu utakuwa umefaulu mkuu.... Mkuu nimegundua k8tu kimoja nitapoteza mda kubishana na wewe nenda kwanza kajielimishe kuhusu Nguvu na mamlaka ya Rais na mipaka yake jifungie na Katiba soma no wonder leo Waziri alisema kuwa Watanzania hawajui katiba Hapa ndo nimeamini kabisa
 
Nawasalimu Kwa jina la JMT...🇹🇿

Jana katika pita pita zangu nilikutana na Taarifa kutoka ikulu ikisema kuwa Rais amemteua Bw Hussein Massoro Kuwa balozi na kumuweka Balozi Ali Idi Siwa kuwa DG mpya TISS. (kongole kwake).

Japo jambo hilo lilizua mijadala mingi ikiwemo uwepo wa Tengua tengua Ya Wakurugenzi wa TISS kwa kipindi kifupi cha miaka mitano Ambapo mpaka sasa Wakurugenzi wapatao 3 tayari wamekwisha badilishwa, Na wengi wakahoji kuhusu Usalama wa Taarifa za kiulinzi za nchi na Kusema Huko TISS kuna siri gani Inayofanya kubadilishwa kwa Wakurugenzi mara kwa mara?.

Lakini Hilo sio swala kubwa Sana,kubwa ni kwamba Mama kwa kumteua Rt.DG kuwa Balozi, amepingana na sheria Ya usalama wa Taifa iliyopitishwa na Bunge mwaka July,2023 kifungu cha 6(6) Ambayo inatoa marufuku kwa Mkurugenzi wa TISS kuchaguliwa kushika nyadhifa yoyote ya kiutumishi katika sector yoyote ya Umma au nyadhifa yoyote ya kisiasa.

Au ilipotungwa sheria hiyo ilikuwa Tamu sehemu ya mamlaka ya TISS ila sehemu ya upande wa utawala haikuonekana?
Wivu tu
 
Mamlaka hayo kapewa nani? Jibu ni sheria na ndo sheria hiyo hiyo haijampa mamlaka yote kuna Power nyingine huwa inaziondoa sio kwa sababu tu hafai kuwa nazo ila kwa maslahi mapana ya nchi huwa Zinaondolewa na sheria....So sheria/katiba inayompa Rais Mamlaka ndo sheria/ Katiba hiyo hiyo inayomnyang'anya baandhi ya power...
Pia nahisi hata vyeo vya Rais huvijui Rais ni Amri jeshi mkuu ndio... unatakiwa ujifunze ni wakati gani Rais anakuwa Amri jeshi mkuu na wakati gani anakuwa mshauri na wakati gani anakuwa mwenyekiti wa Chama ukijua hayo tu utakuwa umefaulu mkuu.... Mkuu nimegundua k8tu kimoja nitapoteza mda kubishana na wewe nenda kwanza kajielimishe kuhusu Nguvu na mamlaka ya Rais na mipaka yake jifungie na Katiba soma no wonder leo Waziri alisema kuwa Watanzania hawajui katiba Hapa ndo nimeamini kabisa
Kwanza, kwenye kichwa cha mada yako wasema raisi kavunja sheria ya usalama wa taifa.

Sasa ikiwa raisi asaini sheria zote zinopitishwa na Bunge huvunja vipi sheria hizo endapo ana mamlaka ya kuteua watu anoamini watamsaidia na kutengua wale wanokwenda kinyume?
 
Hata hivyo, kifungu hicho cha 6 chasema huyo DG anaeshika au aliewahi kushika nafasi hiyo hatoteuliwa kushika wadhifa wowote ndani ya serikali ya Jamhuri ya Muungano lakini kiufundi ni kwamba yabidi mtu huyo ateuliwe balozi ili aweze kushika nyadhifa hiyo ya ubalozi nje ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akiwakilisha nchi na hapo ndipo raisi atumia decree kufanya uteuzi wa balozi.
Kwamba ukiwa balozi unakua nje ya serikali😃😃😃?
Mkuu, angalia mwendo huo, gari imekata breki, mbele kuna mteremko mkali, unaenda kuwamwaga watu.
 
Serikali ndio inakufanya uwe master Kwa kukupa mamlaka.
Mamlaka yakiondolewa unakuwa huna tofauti na watu Wengine.

Tofauti unakua nayo.

Kuna mishipa ile myembamba sana wewe unakua unaijua nje ndani na unajua inatiririka kuelekea wapi.

Kama umebarikiwa wakati umekalia kiti kuna vimishipa unavipindisha vinatiririkia kwako so hata ukitoka kwenye kiti bado kamtiririko kanaendelea (hii ni Kama Umebarikiwa lakini, na nani? Find X).

Kozi za usalama JF zinalipa eeh [emoji12]
 
Kwanza, kwenye kichwa cha mada yako wasema raisi kavunja sheria ya usalama wa taifa.

Sasa ikiwa raisi asaini sheria zote zinopitishwa na Bunge huvunja vipi sheria hizo endapo ana mamlaka ya kuteua watu anoamini watamsaidia na kutengua wale wanokwenda kinyume?
Kichwa cha habari hakina statements Meku ungekisoma ni swali limeulizwa...na kimeanza na Je, hivi nahitaji Kukicopy tena hapa ukione mkuu,,....Kusaini sheria hakuna maana kwamba huwez kuzivunja kwa kuwa una mamlaka nazo... katiba inasema hakuna aliyejuu ya sheria....
 
Kwamba ukiwa balozi unakua nje ya serikali😃😃😃?
Mkuu, angalia mwendo huo, gari imekata breki, mbele kuna mteremko mkali, unaenda kuwamwaga watu.
Ni kweli raisi amesaini hiyo sheria ya usalama wa taifa lakini ni yeye mwenye mamlaka ya kuteua wakuu wa idara hiyo na wale wengine kuwa mabalozi.

Safari hii yaonekana kwa ushauri wa MSG amemteua balozi Siwa ambae yeye (raisi) aona afaa na wataendana.
 
Kwamba ukiwa balozi unakua nje ya serikali😃😃😃?
Mkuu, angalia mwendo huo, gari imekata breki, mbele kuna mteremko mkali, unaenda kuwamwaga watu.
🤣🤣🤣🤣 Dah ndo tulikofikia huku Mkuu usishangae ndo Tanzania yetu Labda neno ndani ya serkali ndo limemchanganya anajua labda serkali ni kama jumba hivi kwahyo mtu anakuwa ndani yake 🤣🤣🤣🤣
 
Kichwa cha habari hakina statements Meku ungekisoma ni swali limeulizwa...na kimeanza na Je, hivi nahitaji Kukicopy tena hapa ukione mkuu,,....Kusaini sheria hakuna maana kwamba huwez kuzivunja kwa kuwa una mamlaka nazo... katiba inasema hakuna aliyejuu ya sheria....
Sasa kwa ushauri wako kifanyike nini maana Balozi Siwa kaapishwa na balozi mpya Masoro asubiri kituo kipya (kama hajapangiwa)?

Sikatai una point lakini sidhani kama iko valid kwa sasa.
 
CDF akishastaafu nguvu zake na mamlaka kijeshi zinaishia hapo.

Anabaki na Uzalendo, ushawishi, uzoefu na ujuzi wa mambo muhimu ya roho ya nchi. Na mtumishi mtiifu kwa nchi yake sio mtu.
Hii ncchi imejaa uzuzu mwingi sana
Huwa wanadanganya huko vijiweni na hizi stori za kitoto na wanaamini mpaka uzeeni
 
Back
Top Bottom