Ukisikiliza hotuba zake JPM kwa umakini sana, utagundua jinsi alivyokuwa anaiona hatari ya Kuuliwa. Hata mimi kwa uelewa wangu mdogo wa security nilikuwa nishaanza kunusa hiyo hatari ya kifo chake...
Kwani wewe ulishiriki vipi katika hiyo mipango na taarifa ulizonazo ni zipi,na inaonyesha kama una uzalendo ndani yako,kwanini usipeleke taarifa ulizonazo mahalo husika.
 
Ukisikiliza hotuba zake JPM kwa umakini sana, utagundua jinsi alivyokuwa anaiona hatari ya Kuuliwa. Hata mimi kwa uelewa wangu mdogo wa security nilikuwa nishaanza kunusa hiyo hatari ya kifo chake..
Acha kuwaza ujinga wewe jiwe kaondolewa na covid19 aliyokuwa akiita mafua

Hata angekuwa ameuawa, mimi naona ni vizuri ili kulikomboa taifa ambalo lilikuwa linaelekea kwenye ukabila, mauaji ya ajabuajabu, ufisadi mkubwa usiohojiwa na kubambikia watu kesi ili kuwafilisi
 
Nimejiuliza na kufikiria sana sana kuhusu kifo cha Rais Magufuli kilichosababishwa na mfumo wa umeme wa moyo uliokuwa unaratibiwa na pacemaker/defibrillator...
Sasa hapo watu wa usalama wanalaumiwa kitu gani?
 
TISS wanamlinda vipi dhidi ya ugonjwa ambao yeye mwenyewe anasema haupo tumepiga maombi umeisha?

Rais halazimiki kufuata ushauri wa mtu yeyote, unaweza kumshauri lakini hauwezi kulazimisha.
Katika utabibu mojawapo za haki ya mgonjwa ni pamoja na hiyari ya kupata Tiba.
 
Shida ni hii hapa, nani wa kumfunga paka kengele?
 
Nimejiuliza na kufikiria sana sana kuhusu kifo cha Rais Magufuli kilichosababishwa na mfumo wa umeme wa moyo uliokuwa unaratibiwa na pacemaker/defibrillator..
Yaani hatuwezim kushangaa. Sasa wanataka kurudi kwa nguvu kuchukua raslimali zetu. Hatutakubali!
 
Ramli tu. Kwamba ni Lissu sasa kamuua Magu? Conspirancy hamuachi hata mlipotaka kumuua Lissu mara ya kwanza. Endeleeni mtufikishe kama taifa mnapopataka.
Na ni yeye ndiye aliyemuu kwa kushirikiana na mafisadi. Ila mjue Magufuli u=yu hai ndani ya mamilioni ya Watanzania!
 
Na ni yeye ndiye aliyemuu kwa kushirikiana na mafisadi. Ila mjue Magufuli u=yu hai ndani ya mamilioni ya Watanzania!
Kwa hiyo mkuu, Sheria Za Musa ndizo zinatumika nchi hii??
 
Mwendazake alitukana, alidhihaki na kuwabagaza Mabeberu. Alienda mbali zaidi kuzibagaza Tiba zao, Chanjo zao na Kinga zao tena pasipo kutumia simile.

Fikiria mtu ambae anapumua kwa msaada wa Pacemaker ya Mabeberu kisha anadharau Tiba za mabeberu.

Nionavyo mm Mabeberu waliamua tu kuzima Pacemaker yao baada ya kuona waliemsaidia hana imani na Tiba zao. Kwaio Siungi mkono kwamba wamemuua Mwendazake bali ni kwamba walizima kifaa chao na kumrudishia afya yake katika hali ya zamani ili akatafute tiba anayoiamini.

Muhimu zaidi sisi kama watanzania Tuache kazi iendelee
 
Mimi naiangalia kwa namna nyingine.
Hii pacemaker ina life span na muda wake ukifika inatakiwa kubadilishwa. Je inawezekana madaktari wake walijisahau kuhusu muda wa kuibadilisha?
Mkuu,

Tazama hapa chini
Research Reveal that Pacemaker Can Be Hacked for Political, Financial and Personal Gain by Adversaries/Vengeance Agent

The Target is Attacked by Compromising the Programmed Information on Pacemaker by phishing the following info

Information Programmed on Pacemaker/DefibrillatorYesNoDepends on Hospitals
Client's Name
Name of Hospital
Name of Doctor
Serial Number of Pacemaker/Defibrillator
Date of Hospital Visit
Client ID
Dr. Phone Number
Software Version
Battery Life
Telemetry Status
Last Dr. Appointment
Heart Beat History
Episodes
Pacemaker Model
Age
SSN
Birth Date
Implanted Date
Notes-Could Be Anything

Narrative of Facts
  • There would be forensic information stored on a pacemaker that would pinpoint the exact time of death or possible tampering with the data.
  • The attacker would also have to be in relatively close proximity to the target to perform the task.
  • The device is programmed to link to the company’s server and download updates
  • This is done rather quickly without any type of verification that you are receiving a valid update from the appropriate place
  • If someone broke into the manufacturer’s update database and placed some simple loose software,
  • The programmers would automatically trust that this software is okay to install on the device.
  • Placing a virus or exploitable code could easily infect many programming devices before it was found
  • If a wide scale attack could happen it would most likely originate from an infected server at the manufacturers when updating a malicious code into the pacemaker
  • The hospitals have the ability to financially afford advanced security teams and the ability to design infrastructure that keep patient data safe as opposed to date
  • The implantable pacemaker is an example of a device that has catastrophic effects if there was a major attack on its systems
  • Can you imagine a world where hackers, politician or business sponsored attacks can affect the outcome and performance of implantable medical technology?
  • Cardiologists can now retrieve information about patients’ cardiac function and pacemaker function, and reprogram pacemakers from afar
  • There is also evidence that it facilitates early identification of device faults and adverse events
  • The remote access to cardiac devices generates privacy and security issues to the patient implanted with the medical device
  • This aspect risks to privacy and safety associated with remote accessibility functions and data collection capabilities of pacemakers by competitors/enemy
  • Most pacemaker batteries last for 6 to 10 years. After this, you may need to have the batteries changed
  • Changing the batteries involves replacing the pacemaker box with a new unit
  • A person fitted with a pacemaker needs to avoid some medical tests such as MRI scan and TENS (Transcutaneous electrical nerve stimulation) machines as they produce electromagnetic fields
  • Symptoms that your pacemaker is improperly working or has developed infections are breathlessness, dizziness, fainting, chest pains, swelling arm on pacemaker side
  • Contrary to what you may have heard, pacemakers do not take over the work of the heart
  • The pacemaker which is consisted of a generator(battery) and a lead (flexible, insulated wires) helps to regulate the timing and sequence of the patient's heartbeat.
 

Magu alishaaga dunia. Let him rest in peace.
 
After Kijazi and Maalim Death na kuumwa wa Dr.Mpango...tungefuata WHO protocal Late President and mawaziri wake walipaswa kuwa quarantine for 14 days na familia zao...mtiririko wapo nimeupenda unaonesha vema incubation period ya changamoto ya upumuaji....
 
Rais Samia Suluhu Hassan ameonya wanaoeneza uvumi kwa Rais JPM aliuawa kwa sumu na kutoa rai wenye ushahidi huo watoe taarifa kwenye vyombo vya usalama ili hatua zichukuliwe.

Wanaojenga hoja hiyo ya sumu wanaamini katika Ulinzi madhubuti wa Rais kwa kila namna hawezi kudhurika kirahisi.

Rais SSH amezima mjadala huo kwa kusema mtangulizi wake alikuwa na tatizo (mgonjwa) wa/la moyo kwa zaidi ya miaka kumi. Hii maana yake toka 2015 Magufuli alikuwa mgonjwa.

Tutakumbuka Edward Lowassa aliambiwa ni mgonjwa "asiende kufia Ikulu" na ili kujibu afya njema Magufuli alipiga push up jukwaani.

Katika sifa 13 za mgombea Urais 2015 sifa ya 3 inasomeka, "Awe na afya njema isiyo na mashaka".

Swali, je JPM alidanganya chama kuhusu afya yake? Je, ni nani anathibitisha afya hiyo kwa chama? Je, chama kilidanganya wanachama wenzao? Tumejifunza nini kama chama kuhusu afya ya wagombea Urais ili makosa yasijirudie? Nawaza kwa sauti kwa nini CCM ikwepe lawama?
#FreedomIsBack
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…