Je Rais Samia alifanyiwa vetting akiwa Rais tayar? Je ni nani ALIFANYA?

Je Rais Samia alifanyiwa vetting akiwa Rais tayar? Je ni nani ALIFANYA?

Sifi Leo

Platinum Member
Joined
Mar 30, 2012
Posts
6,408
Reaction score
12,100
Nauliza ALIYE fanya vetting ya RAIS kuwa Rais ni nani?

Je aliyefanya vetting aliona kabisa ana sifa za kuwa Rais?

Je alimfanyia akiwa tayari u RAIS?

Vetting ya mama wanu irudiwe Mimi naona kama anasifa za ziada ambazo hazikubainika wakati anafanyiwa vetting,

Rais ni mwema mnoooo
 
Hakufanyiwa ni bahati tuu ilimdondokea ila kila kilipofanyika njama asiwekwe pale mabeho aliingilia kati.
 
Back
Top Bottom