Nauliza ALIYE fanya vetting ya RAIS kuwa Rais ni nani?
Je aliyefanya vetting aliona kabisa ana sifa za kuwa Rais?
Je alimfanyia akiwa tayari u RAIS?
Vetting ya mama wanu irudiwe Mimi naona kama anasifa za ziada ambazo hazikubainika wakati anafanyiwa vetting,
Rais ni mwema mnoooo