Wewe ndo unajioona wewe ni ndugu zako ila wao hawakuoni hivyoUchochezi huu sisi ni ndugu.Zanzibar ikiendelea, Tanganyika inaendelea.Hili jambo ni mtambuka.
Adui wa mtanganyika ni mtanganyika mwenzake. Hao wanaopiga kuua na kufanya ghasia kuvunja makanisa kushambulia mikutano ya siasa kusaliti wanachama wenzao kuteka na kufanya uchawa ni wazanzibari? Tujilaumu sisi wenyewe samia hana kosa hata ingekuwa wewe ungefanya kama yeye maana wananchi wenyewe hawajielewi. Mfano mzuri angalia hoja za bunge la tanzania linganisha na hoja za bunge la zanzibaHuyu mama ni mzalendo sana kwa nchi yake ya Zanzibar lkn hana uchungu hata chembe na Tanganyika . Anaipenda sana Zanzibar na anawapenda wazanzibari kiasi kwamba mpk anaonesha upendeleo wa wazi wazi.
1. Angalia jinsi alivyoingilia suala la Fatma Karume kupokwa uwakili.
2. Angalia alivyoingilia mgogoro wa Feisal na Yanga.
Zanzibar kuna ujenzi wa miundombinu usioendana na pato la kisiwa hicho.
1. Ujenzi wa flyovers kwenye kila barabara.
2. Majengo yote ya skuli, zahanati na hospitali kubadilishwa kuwa maghorofa.
3. Ujenzi wa bandari kubwa kuliko zote Afrika Mashariki na kati...bandari ya Mangapwani.
4. Ujenzi wa viwanja vikubwa vya ndege.
5. Ujenzi wa viwanja vikubwa vya michezo.
Kwa makusanyo yapi ya Zanzibar? Kwa shughuli ipi ya kiuchumi ya wazanzibari?
Huku Tanganyika, bandari, mbuga na migodi ya madini vinauzwa kwa waarabu lkn huko Zanzibar mama hajauza hata unyasi.
Ktk kipindi ambacho wazanzibari wamekuwa watulivu kuhusu muungano na wamekuwa wamoja ni kipindi hiki. Kwasabb waliyemtuma kuchuma anachuma kweli kweli. Husikii tena madai ya mamlaka kamili ya Zanzibar wala koti la muungano kubana.
Huku bara kuna utekaji, mauaji na vurugu za kisiasa, mama anachojali ni kuwa anachuma. Hana habari na maisha ya watanganyika. Mapadri wanapigwa, makanisa yanafungiwa na wapinzani wanafungiliwa kesi za kubumba yeye ndiyo kwanza anakejeli.
Watanganyika tuendelee kushupaza shingo tu, watoto na wajukuu wetu watakula mawe .
NIMEMALIZA.
Adui wa mtanganyika ni mtanganyika mwenzake. Hao wanaopiga kuua na kufanya ghasia kuvunja makanisa kushambulia mikutano ya siasa kusaliti wanachama wenzao kuteka na kufanya uchawa ni wazanzibari? Tujilaumu sisi wenyewe samia hana kosa hata ingekuwa wewe ungefanya kama yeye maana wananchi wenyewe hawajielewi. Mfano mzuri angalia hoja za bunge la tanzania linganisha na hoja za bunge la ZanzibarHuyu mama ni mzalendo sana kwa nchi yake ya Zanzibar lkn hana uchungu hata chembe na Tanganyika . Anaipenda sana Zanzibar na anawapenda wazanzibari kiasi kwamba mpk anaonesha upendeleo wa wazi wazi.
1. Angalia jinsi alivyoingilia suala la Fatma Karume kupokwa uwakili.
2. Angalia alivyoingilia mgogoro wa Feisal na Yanga.
Zanzibar kuna ujenzi wa miundombinu usioendana na pato la kisiwa hicho.
1. Ujenzi wa flyovers kwenye kila barabara.
2. Majengo yote ya skuli, zahanati na hospitali kubadilishwa kuwa maghorofa.
3. Ujenzi wa bandari kubwa kuliko zote Afrika Mashariki na kati...bandari ya Mangapwani.
4. Ujenzi wa viwanja vikubwa vya ndege.
5. Ujenzi wa viwanja vikubwa vya michezo.
Kwa makusanyo yapi ya Zanzibar? Kwa shughuli ipi ya kiuchumi ya wazanzibari?
Huku Tanganyika, bandari, mbuga na migodi ya madini vinauzwa kwa waarabu lkn huko Zanzibar mama hajauza hata unyasi.
Ktk kipindi ambacho wazanzibari wamekuwa watulivu kuhusu muungano na wamekuwa wamoja ni kipindi hiki. Kwasabb waliyemtuma kuchuma anachuma kweli kweli. Husikii tena madai ya mamlaka kamili ya Zanzibar wala koti la muungano kubana.
Huku bara kuna utekaji, mauaji na vurugu za kisiasa, mama anachojali ni kuwa anachuma. Hana habari na maisha ya watanganyika. Mapadri wanapigwa, makanisa yanafungiwa na wapinzani wanafungiliwa kesi za kubumba yeye ndiyo kwanza anakejeli.
Watanganyika tuendelee kushupaza shingo tu, watoto na wajukuu wetu watakula mawe .
NIMEMALIZA.
Si mlisema magufuli anajenga chato, sasa mnalalamika nini mama kujenga zanzibarHuyu mama ni mzalendo sana kwa nchi yake ya Zanzibar lkn hana uchungu hata chembe na Tanganyika . Anaipenda sana Zanzibar na anawapenda wazanzibari kiasi kwamba mpk anaonesha upendeleo wa wazi wazi.
1. Angalia jinsi alivyoingilia suala la Fatma Karume kupokwa uwakili.
2. Angalia alivyoingilia mgogoro wa Feisal na Yanga.
Zanzibar kuna ujenzi wa miundombinu usioendana na pato la kisiwa hicho.
1. Ujenzi wa flyovers kwenye kila barabara.
2. Majengo yote ya skuli, zahanati na hospitali kubadilishwa kuwa maghorofa.
3. Ujenzi wa bandari kubwa kuliko zote Afrika Mashariki na kati...bandari ya Mangapwani.
4. Ujenzi wa viwanja vikubwa vya ndege.
5. Ujenzi wa viwanja vikubwa vya michezo.
Kwa makusanyo yapi ya Zanzibar? Kwa shughuli ipi ya kiuchumi ya wazanzibari?
Huku Tanganyika, bandari, mbuga na migodi ya madini vinauzwa kwa waarabu lkn huko Zanzibar mama hajauza hata unyasi.
Ktk kipindi ambacho wazanzibari wamekuwa watulivu kuhusu muungano na wamekuwa wamoja ni kipindi hiki. Kwasabb waliyemtuma kuchuma anachuma kweli kweli. Husikii tena madai ya mamlaka kamili ya Zanzibar wala koti la muungano kubana.
Huku bara kuna utekaji, mauaji na vurugu za kisiasa, mama anachojali ni kuwa anachuma. Hana habari na maisha ya watanganyika. Mapadri wanapigwa, makanisa yanafungiwa na wapinzani wanafungiliwa kesi za kubumba yeye ndiyo kwanza anakejeli.
Watanganyika tuendelee kushupaza shingo tu, watoto na wajukuu wetu watakula mawe .
NIMEMALIZA.
Hahahhaha hizo ni akili zakoUchochezi huu sisi ni ndugu.Zanzibar ikiendelea, Tanganyika inaendelea.Hili jambo ni mtambuka.
Anataka apewe miaka 5 ili achote fedha zaidiFa ndo mana lazima ng'we ya pili iwepo ili kufikia lengo
Hicho ndio kinafanyika haswaa...tumelalaHuyu mama ni mzalendo sana kwa nchi yake ya Zanzibar lkn hana uchungu hata chembe na Tanganyika . Anaipenda sana Zanzibar na anawapenda wazanzibari kiasi kwamba mpk anaonesha upendeleo wa wazi wazi.
1. Angalia jinsi alivyoingilia suala la Fatma Karume kupokwa uwakili.
2. Angalia alivyoingilia mgogoro wa Feisal na Yanga.
Zanzibar kuna ujenzi wa miundombinu usioendana na pato la kisiwa hicho.
1. Ujenzi wa flyovers kwenye kila barabara.
2. Majengo yote ya skuli, zahanati na hospitali kubadilishwa kuwa maghorofa.
3. Ujenzi wa bandari kubwa kuliko zote Afrika Mashariki na kati...bandari ya Mangapwani.
4. Ujenzi wa viwanja vikubwa vya ndege.
5. Ujenzi wa viwanja vikubwa vya michezo.
Kwa makusanyo yapi ya Zanzibar? Kwa shughuli ipi ya kiuchumi ya wazanzibari?
Huku Tanganyika, bandari, mbuga na migodi ya madini vinauzwa kwa waarabu lkn huko Zanzibar mama hajauza hata unyasi.
Ktk kipindi ambacho wazanzibari wamekuwa watulivu kuhusu muungano na wamekuwa wamoja ni kipindi hiki. Kwasabb waliyemtuma kuchuma anachuma kweli kweli. Husikii tena madai ya mamlaka kamili ya Zanzibar wala koti la muungano kubana.
Huku bara kuna utekaji, mauaji na vurugu za kisiasa, mama anachojali ni kuwa anachuma. Hana habari na maisha ya watanganyika. Mapadri wanapigwa, makanisa yanafungiwa na wapinzani wanafungiliwa kesi za kubumba yeye ndiyo kwanza anakejeli.
Watanganyika tuendelee kushupaza shingo tu, watoto na wajukuu wetu watakula mawe .
NIMEMALIZA.
Mimi sina undugu na wazanzibar,Uchochezi huu sisi ni ndugu.Zanzibar ikiendelea, Tanganyika inaendelea.Hili jambo ni mtambuka.
Mm nilihangaika hata kupata chumba cha kupanga. Ilinipasa kwenda FUONI (shamba), nikapata kwa mbinde.Mimi sina undugu na wazanzibar,
Ushafika zanzibar ukaona treatment za huko?
Barabarani mpaka maisha ya kijamii ukiwa kama Mtanganyika?