Je, Rais Samia anaineemesha Zanzibar na kuiangamiza Tanganyika?

Anataka apewe miaka 5 ili achote fedha zaidi
Na Watanganyika ni kweli hatuoni,au hata wanaotumika kuimaliza Tanganyika hawaoni?
Tukikubali achukue nchi kwa awamu nyingine nachelea kusema TUMEKWISHA ,yani tutabakia kapi anapoachia nchi
 
PIGIA MSTARI, hio heading uloandika ndio jibu, na wanashirikiana na serikali yao ya zanzbar, kila kinachofanywa ni well calculated kama hamjui.
 
Naamini kuna watu wanammudu hasa wale waliotaka asirithi urais kutoka kwa jiwe ila mabeo mshipa wa shingo ukamtoka kuwakanya wafuate katiba,wale miamba ni kina nani natamani sana kuwajua kuwapa kongole
 
Mbona magufuli alijenga miradi mfu ya gharama kwao Chato
 
Naamini kuna watu wanammudu hasa wale waliotaka asirithi urais kutoka kwa jiwe ila mabeo mshipa wa shingo ukamtoka kuwakanya wafuate katiba,wale miamba ni kina nani natamani sana kuwajua kuwapa kongole
Acha stori za vijiweni hakuna alietaka kurithi kiti kwa kuvunja katiba hizo ni stori zenu za Abunuwasi
 
Kuna siku nilimsikia Maza akisema mikopo ikija tugawe nusu bara nusu zanziber daa nilishtuka sana,nadhani ndicho kinachoendelea.kulipa tunalipa sisi.Wajinga ndio waliwao
 
Huyu mama ni mzalendo sana kwa nchi yake ya Zanzibar lkn hana uchungu hata chembe na Tanganyika . Anaipenda sana Zanzibar na anawapenda wazanzibari kiasi kwamba mpk anaonesha upendeleo wa wazi wazi.

1. Angalia jinsi alivyoingilia suala la Fatma Karume kupokwa uwakili.
2. Angalia alivyoingilia mgogoro wa Feisal na Yanga.

Zanzibar kuna ujenzi wa miundombinu usioendana na pato la kisiwa hicho.
1. Ujenzi wa flyovers kwenye kila barabara.
2. Majengo yote ya skuli, zahanati na hospitali kubadilishwa kuwa maghorofa.
3. Ujenzi wa bandari kubwa kuliko zote Afrika Mashariki na kati...bandari ya Mangapwani.
4. Ujenzi wa viwanja vikubwa vya ndege.
5. Ujenzi wa viwanja vikubwa vya michezo.

Kwa makusanyo yapi ya Zanzibar? Kwa shughuli ipi ya kiuchumi ya wazanzibari?

Huku Tanganyika, bandari, mbuga na migodi ya madini vinauzwa kwa waarabu lkn huko Zanzibar mama hajauza hata unyasi.

Ktk kipindi ambacho wazanzibari wamekuwa watulivu kuhusu muungano na wamekuwa wamoja ni kipindi hiki. Kwasabb waliyemtuma kuchuma anachuma kweli kweli. Husikii tena madai ya mamlaka kamili ya Zanzibar wala koti la muungano kubana.

Huku bara kuna utekaji, mauaji na vurugu za kisiasa, mama anachojali ni kuwa anachuma. Hana habari na maisha ya watanganyika. Mapadri wanapigwa, makanisa yanafungiwa na wapinzani wanafungiliwa kesi za kubumba yeye ndiyo kwanza anakejeli.

Watanganyika tuendelee kushupaza shingo tu, watoto na wajukuu wetu watakula mawe .

NIMEMALIZA.
Chuki za wazi wazi.
 
Waliotuunganisha na hawa wanyonyaji, hakika walifanya kosa kubwa sana kwa wananchi wa Tanganyika. Siku akipatikana Rais mzalendo wa Tanganyika, nina imani atasaidia kuendesha kura ya maoni ili kila nchi ijitegemee kivyake.
 
Mama amwekeza muda wake mwingi kwenye kuvutia uwekezaji na kuimarisha utalii, miundombinu, kilimo, usafiri n.k. haya yote yameonesha matokea mazuri bara na visiwani.
Bara na visiwani wamekua na bajeti zao tangu zamani.
Zanzibar imeweka juhudi kubwa kwenye uchumi wa buluu naimepata matokeo mazuri sana, mapato yaneongezeka sana
Sasa inataka kuanzisha shirika la ndege.
 
Magufuli alifanya sifa kujenga chato na kuruhusu makamera yamulike.

Mama enu huko kwao anakujenga vibaya mno,na ole wako uonekane na makamera yako sijui unatengeneza vidocumentary uchwara.

Sisi tuendeleeni kupiga makelele ya no reforms no election tu,ila Tanganyika inapigwa vibaya mno,Tena bila huruma.
Tutajie baadhi ya vitu alivovijenga Chato halafu sehemu zingine akapatelekeza; hilo moja, la pili ni hili; kodi za wana Chato zinajenga hadi Mtwara, Dar, Arusha na hata Zanzibar; kodi za wananchi wa Zanzibar zinajenga wapi huku bara?
 
M
Huyu mama ni mzalendo sana kwa nchi yake ya Zanzibar lkn hana uchungu hata chembe na Tanganyika . Anaipenda sana Zanzibar na anawapenda wazanzibari kiasi kwamba mpk anaonesha upendeleo wa wazi wazi.

1. Angalia jinsi alivyoingilia suala la Fatma Karume kupokwa uwakili.
2. Angalia alivyoingilia mgogoro wa Feisal na Yanga.

Zanzibar kuna ujenzi wa miundombinu usioendana na pato la kisiwa hicho.
1. Ujenzi wa flyovers kwenye kila barabara.
2. Majengo yote ya skuli, zahanati na hospitali kubadilishwa kuwa maghorofa.
3. Ujenzi wa bandari kubwa kuliko zote Afrika Mashariki na kati...bandari ya Mangapwani.
4. Ujenzi wa viwanja vikubwa vya ndege.
5. Ujenzi wa viwanja vikubwa vya michezo.

Kwa makusanyo yapi ya Zanzibar? Kwa shughuli ipi ya kiuchumi ya wazanzibari?

Huku Tanganyika, bandari, mbuga na migodi ya madini vinauzwa kwa waarabu lkn huko Zanzibar mama hajauza hata unyasi.

Ktk kipindi ambacho wazanzibari wamekuwa watulivu kuhusu muungano na wamekuwa wamoja ni kipindi hiki. Kwasabb waliyemtuma kuchuma anachuma kweli kweli. Husikii tena madai ya mamlaka kamili ya Zanzibar wala koti la muungano kubana.

Huku bara kuna utekaji, mauaji na vurugu za kisiasa, mama anachojali ni kuwa anachuma. Hana habari na maisha ya watanganyika. Mapadri wanapigwa, makanisa yanafungiwa na wapinzani wanafungiliwa kesi za kubumba yeye ndiyo kwanza anakejeli.

Watanganyika tuendelee kushupaza shingo tu, watoto na wajukuu wetu watakula mawe .

NIMEMALIZA.
Hakuna Kiongozi wa CCM aliyekuwa Mzalendo

Kwa mbalii Jpm alikuwa…. But he had bad approach

Kama mnaumia sana….. ingieni mtaani
 
Back
Top Bottom