Je, Rais Samia anaineemesha Zanzibar na kuiangamiza Tanganyika?

Kuna mtu aliweka traffic light punda wakawa wanapita
Bank ya bila wateja na maisha mkayaona murua kabisa

Ubinafsi na ukwetu upo sana Africa hata Mobutu alifanya ila yako wapi
Najua haya ni tofauti kidogo ila yanafanana kwa mbali

Acha tuone
 
Huyu mama ni mzalendo sana kwa nchi yake ya Zanzibar lkn hana uchungu hata chembe na Tanganyika . Anaipenda sana Zanzibar na anawapenda wazanzibari kiasi kwamba mpk anaonesha upendeleo wa wazi wazi.

1. Angalia jinsi alivyoingilia suala la Fatma Karume kupokwa uwakili.
2. Angalia alivyoingilia mgogoro wa Feisal na Yanga.

Zanzibar kuna ujenzi wa miundombinu usioendana na pato la kisiwa hicho.
1. Ujenzi wa flyovers kwenye kila barabara.
2. Majengo yote ya skuli, zahanati na hospitali kubadilishwa kuwa maghorofa.
3. Ujenzi wa bandari kubwa kuliko zote Afrika Mashariki na kati...bandari ya Mangapwani.
4. Ujenzi wa viwanja vikubwa vya ndege.
5. Ujenzi wa viwanja vikubwa vya michezo.

Kwa makusanyo yapi ya Zanzibar? Kwa shughuli ipi ya kiuchumi ya wazanzibari?

Huku Tanganyika, bandari, mbuga na migodi ya madini vinauzwa kwa waarabu lkn huko Zanzibar mama hajauza hata unyasi.

Ktk kipindi ambacho wazanzibari wamekuwa watulivu kuhusu muungano na wamekuwa wamoja ni kipindi hiki. Kwasabb waliyemtuma kuchuma anachuma kweli kweli. Husikii tena madai ya mamlaka kamili ya Zanzibar wala koti la muungano kubana.

Huku bara kuna utekaji, mauaji na vurugu za kisiasa, mama anachojali ni kuwa anachuma. Hana habari na maisha ya watanganyika. Mapadri wanapigwa, makanisa yanafungiwa na wapinzani wanafungiliwa kesi za kubumba yeye ndiyo kwanza anakejeli.

Watanganyika tuendelee kushupaza shingo tu, watoto na wajukuu wetu watakula mawe .

NIMEMALIZA.
Mabwege sana Machogo, yaani Tanganyika inapigwa live mijitu inachekelea tu. Jiulize kwa nini haka kabibi hakauzi Zenji lakini Tanganyika kanauza mbuga, bandari na resources zote kadri kanavyofanikisha na mahitaji ya hao 'wanunuzi' wake yalivyo.
Sasa mpaka kufunga midomo upinzani wametumia Wazanzibari pia, hapo ndiyo ujue hii program imepangwa kwa ustadi mkubwa na imepangwa muda mrefu sana but because it was being done one step at a time hivyo wengi hawakuistukia mapema.
Wazanzibari walikuwa wakilifahamu hili muda mrefu, U-turn ya Fatuma Karume kwenye harakati ilikuwa ni moja ya red flags, hawa Wazanzibari wa CHADEMA it's part and parcel of the project.
Kinachomrahisishia program hii bibi Chura Kiziwi ni chawa ambao sadly wanasikilizwa sana na pia wanasiasa wa bara wanaonufaika na huu upigaji na dhulma inayoendelea, wao Tanganyika hata iibiwe kiasi gani so long as nao wanafaidika kwa namna moja au nyingine hilo hawalijali kabisa.
Binafsi huwa napenda sana demokrasia(demokrasia ya kweli with total transparency katika uendeshaji wa nchi) lakini imefika point natamani kufanyike coup d'État wajeda waongoze nchi hata kwa miaka mitano na viongozi wote wa serikali pamoja na wanufaika wengine wa kuhujumu mali za nchi wawe scrutinized ili wataopaswa kufikishwa mahakamani basi wafikishwe mahakamani.
 
Si mlisema magufuli anajenga chato, sasa mnalalamika nini mama kujenga zanzibar
Ya Magu yalikuwa mabaya sana ila ya huyu bibi ubaya wake umezidi zaidi ya mara milioni ya yale ya Mwendakuzimu, yule alibagua maeneo lakini uwekezaji ulibaki ndani ya Tanganyika ila huyu anahamisha mali na fedha za Tanganyika kuneemesha Zanzibar ambayo ina serikali yake na rais wake. Muuangano wenyewe majority hawakubali muundo wake so just imagine mmeshakamuliwa kila kitu huku wao infrastructures zinajengwa kwa revenues za Tanganyika sasa mkitengana au ikifika point muuangano ikawa ni serikali tatu si Tanganyika inakuwa imeliwa kiboya. Resources zinakuwa zimetumika kwa wengine nyinyi mnabaki kupiga miayo so you'll have to start from the scratch.
Kwa ujinga wa majority ya Watanganyika, acha nchi iendelee kupigwa tu.
Kalabaho.
 
Si mlimuua jembe? Acha Maza awanyooshe na Bado hamjasema mpk msemeee!
The fanny fact ni kwamba hao waliomuua huyo unayemuita Jembe ndiyo hao wanaofaidika, wanaofaidi na wanaowanyoosha majority ya Watanganyika ambao baadhi yao(baadhi ya Watanganyika wanaonyooshwa) walikuwa ni mashabiki kindakindaki wa huyo unayemuita Jembe.
 
Huyu mama ni mzalendo sana kwa nchi yake ya Zanzibar lkn hana uchungu hata chembe na Tanganyika . Anaipenda sana Zanzibar na anawapenda wazanzibari kiasi kwamba mpk anaonesha upendeleo wa wazi wazi.

1. Angalia jinsi alivyoingilia suala la Fatma Karume kupokwa uwakili.
2. Angalia alivyoingilia mgogoro wa Feisal na Yanga.

Zanzibar kuna ujenzi wa miundombinu usioendana na pato la kisiwa hicho.
1. Ujenzi wa flyovers kwenye kila barabara.
2. Majengo yote ya skuli, zahanati na hospitali kubadilishwa kuwa maghorofa.
3. Ujenzi wa bandari kubwa kuliko zote Afrika Mashariki na kati...bandari ya Mangapwani.
4. Ujenzi wa viwanja vikubwa vya ndege.
5. Ujenzi wa viwanja vikubwa vya michezo.

Kwa makusanyo yapi ya Zanzibar? Kwa shughuli ipi ya kiuchumi ya wazanzibari?

Huku Tanganyika, bandari, mbuga na migodi ya madini vinauzwa kwa waarabu lkn huko Zanzibar mama hajauza hata unyasi.

Ktk kipindi ambacho wazanzibari wamekuwa watulivu kuhusu muungano na wamekuwa wamoja ni kipindi hiki. Kwasabb waliyemtuma kuchuma anachuma kweli kweli. Husikii tena madai ya mamlaka kamili ya Zanzibar wala koti la muungano kubana.

Huku bara kuna utekaji, mauaji na vurugu za kisiasa, mama anachojali ni kuwa anachuma. Hana habari na maisha ya watanganyika. Mapadri wanapigwa, makanisa yanafungiwa na wapinzani wanafungiliwa kesi za kubumba yeye ndiyo kwanza anakejeli.

Watanganyika tuendelee kushupaza shingo tu, watoto na wajukuu wetu watakula mawe .

NIMEMALIZA.
we nae ebu kua na akili basi, kwan zenj ni uganda ama? zanzibar ndo inaongoza kwa watalii wa visiwani kipi kibaya apo kupata mapato ya urukaji?
 
Zanzibar ni nchi na ina rais wake, mali za Tanganyika zinaibiwa sana kuneemesha nchi ya Zanzibar.
 
Mama amwekeza muda wake mwingi kwenye kuvutia uwekezaji na kuimarisha utalii, miundombinu, kilimo, usafiri n.k. haya yote yameonesha matokea mazuri bara na visiwani.
Bara na visiwani wamekua na bajeti zao tangu zamani.
Zanzibar imeweka juhudi kubwa kwenye uchumi wa buluu naimepata matokeo mazuri sana, mapato yaneongezeka sana
Sasa inataka kuanzisha shirika la ndege.
Says one irrelevant chawa👆.
 
Huyu mama ni mzalendo sana kwa nchi yake ya Zanzibar lkn hana uchungu hata chembe na Tanganyika . Anaipenda sana Zanzibar na anawapenda wazanzibari kiasi kwamba mpk anaonesha upendeleo wa wazi wazi.

1. Angalia jinsi alivyoingilia suala la Fatma Karume kupokwa uwakili.
2. Angalia alivyoingilia mgogoro wa Feisal na Yanga.

Zanzibar kuna ujenzi wa miundombinu usioendana na pato la kisiwa hicho.
1. Ujenzi wa flyovers kwenye kila barabara.
2. Majengo yote ya skuli, zahanati na hospitali kubadilishwa kuwa maghorofa.
3. Ujenzi wa bandari kubwa kuliko zote Afrika Mashariki na kati...bandari ya Mangapwani.
4. Ujenzi wa viwanja vikubwa vya ndege.
5. Ujenzi wa viwanja vikubwa vya michezo.

Kwa makusanyo yapi ya Zanzibar? Kwa shughuli ipi ya kiuchumi ya wazanzibari?

Huku Tanganyika, bandari, mbuga na migodi ya madini vinauzwa kwa waarabu lkn huko Zanzibar mama hajauza hata unyasi.

Ktk kipindi ambacho wazanzibari wamekuwa watulivu kuhusu muungano na wamekuwa wamoja ni kipindi hiki. Kwasabb waliyemtuma kuchuma anachuma kweli kweli. Husikii tena madai ya mamlaka kamili ya Zanzibar wala koti la muungano kubana.

Huku bara kuna utekaji, mauaji na vurugu za kisiasa, mama anachojali ni kuwa anachuma. Hana habari na maisha ya watanganyika. Mapadri wanapigwa, makanisa yanafungiwa na wapinzani wanafungiliwa kesi za kubumba yeye ndiyo kwanza anakejeli.

Watanganyika tuendelee kushupaza shingo tu, watoto na wajukuu wetu watakula mawe .

NIMEMALIZA.
Hivi TISS inaweza kumdhibiti RAIS?
kwa sababu kama ni kweli basi TISS ina shida.
au wanaojaribu kumdhibiti ndo wanatimuliwa kama alivyotueleza Gwajiboy.
 
mali gan zmeibiwa ebu tafuta ela bana izo ni cheap politics
Chawa at your most pathetic level, mbuga zimeuzwa, bandandari imemilikishwa kwa maponjoro wa Dubai, Wamasai wanadhulumiwa maeneo yao ambayo yaliuzwa nao wakiwa huko huko and they’d to be forced outta there and you pretending to be blind to see it.
Kama wewe ni Mzanzibari I’ll definitely understand you, we ain’t on the same book currently. Watanganyika wale ambao survival yao inategemea uchawa they don’t mind.
Kuhusu kutafuta hela I’m by far beyond that level.
 
bandari amepewa kampuni ya kuendesha bandari, yeye ndo kaamua kuleta vifaa vya kisasa zaidi na ripoti ya mwisho nadhan uliskia ufanisi wake

mbuga imeuzwa kiasi gan? ukishindwa siasa unaanza uongo au vp? BTW tupandishe kodi serikali ipate fedha zaidi kuendesha miradi hamtaki, wakifanya ubia wa biashara mnasema imeuzwa 🤣 🤣 🤣
ebu deal na frustrations zako kwanza
 
Back
Top Bottom