The-unknown
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 1,704
- 1,984
Na Watanganyika ni kweli hatuoni,au hata wanaotumika kuimaliza Tanganyika hawaoni?Anataka apewe miaka 5 ili achote fedha zaidi
Watu hawaoni,ila wazanzibari ni wabaguzi na wabinafsi sanaMm nilihangaika hata kupata chumba cha kupanga. Ilinipasa kwenda FUONI (shamba), nikapata kwa mbinde.
Acha stori za vijiweni hakuna alietaka kurithi kiti kwa kuvunja katiba hizo ni stori zenu za AbunuwasiNaamini kuna watu wanammudu hasa wale waliotaka asirithi urais kutoka kwa jiwe ila mabeo mshipa wa shingo ukamtoka kuwakanya wafuate katiba,wale miamba ni kina nani natamani sana kuwajua kuwapa kongole
SawaAcha stori za vijiweni hakuna alietaka kurithi kiti kwa kuvunja katiba hizo ni stori zenu za Abunuwasi
Chuki za wazi wazi.Huyu mama ni mzalendo sana kwa nchi yake ya Zanzibar lkn hana uchungu hata chembe na Tanganyika . Anaipenda sana Zanzibar na anawapenda wazanzibari kiasi kwamba mpk anaonesha upendeleo wa wazi wazi.
1. Angalia jinsi alivyoingilia suala la Fatma Karume kupokwa uwakili.
2. Angalia alivyoingilia mgogoro wa Feisal na Yanga.
Zanzibar kuna ujenzi wa miundombinu usioendana na pato la kisiwa hicho.
1. Ujenzi wa flyovers kwenye kila barabara.
2. Majengo yote ya skuli, zahanati na hospitali kubadilishwa kuwa maghorofa.
3. Ujenzi wa bandari kubwa kuliko zote Afrika Mashariki na kati...bandari ya Mangapwani.
4. Ujenzi wa viwanja vikubwa vya ndege.
5. Ujenzi wa viwanja vikubwa vya michezo.
Kwa makusanyo yapi ya Zanzibar? Kwa shughuli ipi ya kiuchumi ya wazanzibari?
Huku Tanganyika, bandari, mbuga na migodi ya madini vinauzwa kwa waarabu lkn huko Zanzibar mama hajauza hata unyasi.
Ktk kipindi ambacho wazanzibari wamekuwa watulivu kuhusu muungano na wamekuwa wamoja ni kipindi hiki. Kwasabb waliyemtuma kuchuma anachuma kweli kweli. Husikii tena madai ya mamlaka kamili ya Zanzibar wala koti la muungano kubana.
Huku bara kuna utekaji, mauaji na vurugu za kisiasa, mama anachojali ni kuwa anachuma. Hana habari na maisha ya watanganyika. Mapadri wanapigwa, makanisa yanafungiwa na wapinzani wanafungiliwa kesi za kubumba yeye ndiyo kwanza anakejeli.
Watanganyika tuendelee kushupaza shingo tu, watoto na wajukuu wetu watakula mawe .
NIMEMALIZA.
Waliotuunganisha na hawa wanyonyaji, hakika walifanya kosa kubwa sana kwa wananchi wa Tanganyika. Siku akipatikana Rais mzalendo wa Tanganyika, nina imani atasaidia kuendesha kura ya maoni ili kila nchi ijitegemee kivyake.Huyu mama ni mzalendo sana kwa nchi yake ya Zanzibar lkn hana uchungu hata chembe na Tanganyika . Anaipenda sana Zanzibar na anawapenda wazanzibari kiasi kwamba mpk anaonesha upendeleo wa wazi wazi.
1. Angalia jinsi alivyoingilia suala la Fatma Karume kupokwa uwakili.
2. Angalia alivyoingilia mgogoro wa Feisal na Yanga.
Zanzibar kuna ujenzi wa miundombinu usioendana na pato la kisiwa hicho.
1. Ujenzi wa flyovers kwenye kila barabara.
2. Majengo yote ya skuli, zahanati na hospitali kubadilishwa kuwa maghorofa.
3. Ujenzi wa bandari kubwa kuliko zote Afrika Mashariki na kati...bandari ya Mangapwani.
4. Ujenzi wa viwanja vikubwa vya ndege.
5. Ujenzi wa viwanja vikubwa vya michezo.
Kwa makusanyo yapi ya Zanzibar? Kwa shughuli ipi ya kiuchumi ya wazanzibari?
Huku Tanganyika, bandari, mbuga na migodi ya madini vinauzwa kwa waarabu lkn huko Zanzibar mama hajauza hata unyasi.
Ktk kipindi ambacho wazanzibari wamekuwa watulivu kuhusu muungano na wamekuwa wamoja ni kipindi hiki. Kwasabb waliyemtuma kuchuma anachuma kweli kweli. Husikii tena madai ya mamlaka kamili ya Zanzibar wala koti la muungano kubana.
Huku bara kuna utekaji, mauaji na vurugu za kisiasa, mama anachojali ni kuwa anachuma. Hana habari na maisha ya watanganyika. Mapadri wanapigwa, makanisa yanafungiwa na wapinzani wanafungiliwa kesi za kubumba yeye ndiyo kwanza anakejeli.
Watanganyika tuendelee kushupaza shingo tu, watoto na wajukuu wetu watakula mawe .
NIMEMALIZA.
Tutajie baadhi ya vitu alivovijenga Chato halafu sehemu zingine akapatelekeza; hilo moja, la pili ni hili; kodi za wana Chato zinajenga hadi Mtwara, Dar, Arusha na hata Zanzibar; kodi za wananchi wa Zanzibar zinajenga wapi huku bara?Magufuli alifanya sifa kujenga chato na kuruhusu makamera yamulike.
Mama enu huko kwao anakujenga vibaya mno,na ole wako uonekane na makamera yako sijui unatengeneza vidocumentary uchwara.
Sisi tuendeleeni kupiga makelele ya no reforms no election tu,ila Tanganyika inapigwa vibaya mno,Tena bila huruma.
Hakuna Kiongozi wa CCM aliyekuwa MzalendoHuyu mama ni mzalendo sana kwa nchi yake ya Zanzibar lkn hana uchungu hata chembe na Tanganyika . Anaipenda sana Zanzibar na anawapenda wazanzibari kiasi kwamba mpk anaonesha upendeleo wa wazi wazi.