Yaani lile shetani unataka lipumzike?Mpumzishen anko magu Sio kila anachoongea samia kijembe tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani lile shetani unataka lipumzike?Mpumzishen anko magu Sio kila anachoongea samia kijembe tu
Ndio maana jiwe aliwanyoosha kweli kweli 😂😂😂😂😂😂Wa Bongo ni wa Fokonyoko aisee, kila kitu mtafsiri?
Mkuu masuala mengine yapotee! Ikiwa kila suala (hoja) unataka tukutane hapa tulijadili hata lile dogo kama hili "haipendezi". Lete HOJA mzito tuzijadili kwa faida ya Nchi.Rais Samia ametoa kauli yenye utata mkubwa, wakati wa ziara yake huko Usa River, Arusha, hapo majuzi.
Wakati akitoka kwenye semina elekezi ya viongozi waandamizi huko Arusha, alitoa kauli hii wakati anazungumzia ujio wa Godbless Lema, hapa nchini, kuwa "Mwanaume ni yule anayejiamini" na akaendelea keleza kuwa mwanasiasa huyo wa Chama Cha upinzani Cha Chadema, alimwomba kurudi nchini, lakini akaeleza wasiwasi wake kuwa anaogopa kurudi nchini, kutokana na kuhofia usalama wake, pia aliomba afutiwe kesi nyingi alizo ambazo amebambikiwa na Jeshi la Polisi nchini.
Ndipo Rais Samia, alimuhakikishia mwanasiasa huyo wa upinzani, kuwa aondoe wasiwasi na akamuhakikishia usalama wake na kumweleza kuwa anaweza kurudi nchini na kesi zote zilizoko mahalamani atazifuta.
Akeleza zaidi kuwa baada ya kurudi Mwanasiasa huyo wa upinzani, hakuna baya lolote lililomkuta.
Ndipo akatumbukiza kibwagizo hicho Cha "Mwanaume ni yule anayejiamini"
Ndipo hapo ninapojiuliza, je hiyo kauli ni kijembe kwa Mwendazake?
Kwa kuwa ni katika utawala wake, Hayati Magufuli, ndipo wanasiasa wengi wa vyama vya upinzani, waliomba ukimbizi, nje ya nchi hii, wakiwemo, nikiwataja wachache, Tundu Lissu na Ezekia Wenje.
Kwa kuwa huyo mwanasiasa Lema, aliikimbia nchini mwaka 2020, wakati wa utawala wa Rais wa awamu ya 5, Hayati John Pombe Magufuli, ambaye aliiendesha nchi kibabe Sana, bila kufuata Katiba ya nchi na ndiye aliyepiga marufuku mikutano yote ya vyama vya kisiasa ya vyama vya upinzani nchini.,na alikwenda mbele zaidi, Kwa kuliagiza Jeshi la Polisi, liwabambikie kesi viongozi hao wa upinzani, pale alipojisikia!
Ndipo hapo nimewaza Sana kuhusu kauli hiyo ya "Mwanaume ni yule anayejiamini"
Je alimlenga nani, kama siyo, Hayati Magufuli?
Kwa kuwa ndiye aliyekuwa akiyafanya hayo maovu yote, Kwa kutojiamini kwenye siasa.
MAGUFULI alikuwa masihi wa bwana yule!Zee lile lilikuwa balaa kwa Taifa, bila Mungu sijui nchi ingekuwa wapi?
Sema alikuwa shujaa wakoMAGUFULI alikuwa masihi wa bwana yule!
Kwani magufuli ndo alihamia huko kanadaRais Samia ametoa kauli yenye utata mkubwa, wakati wa ziara yake huko Usa River, Arusha, hapo majuzi.
Wakati akitoka kwenye semina elekezi ya viongozi waandamizi huko Arusha, alitoa kauli hii wakati anazungumzia ujio wa Godbless Lema, hapa nchini, kuwa "Mwanaume ni yule anayejiamini" na akaendelea keleza kuwa mwanasiasa huyo wa Chama Cha upinzani Cha Chadema, alimwomba kurudi nchini, lakini akaeleza wasiwasi wake kuwa anaogopa kurudi nchini, kutokana na kuhofia usalama wake, pia aliomba afutiwe kesi nyingi alizo ambazo amebambikiwa na Jeshi la Polisi nchini.
Ndipo Rais Samia, alimuhakikishia mwanasiasa huyo wa upinzani, kuwa aondoe wasiwasi na akamuhakikishia usalama wake na kumweleza kuwa anaweza kurudi nchini na kesi zote zilizoko mahalamani atazifuta.
Akeleza zaidi kuwa baada ya kurudi Mwanasiasa huyo wa upinzani, hakuna baya lolote lililomkuta.
Ndipo akatumbukiza kibwagizo hicho Cha "Mwanaume ni yule anayejiamini"
Ndipo hapo ninapojiuliza, je hiyo kauli ni kijembe kwa Mwendazake?
Kwa kuwa ni katika utawala wake, Hayati Magufuli, ndipo wanasiasa wengi wa vyama vya upinzani, waliomba ukimbizi, nje ya nchi hii, wakiwemo, nikiwataja wachache, Tundu Lissu na Ezekia Wenje.
Kwa kuwa huyo mwanasiasa Lema, aliikimbia nchini mwaka 2020, wakati wa utawala wa Rais wa awamu ya 5, Hayati John Pombe Magufuli, ambaye aliiendesha nchi kibabe Sana, bila kufuata Katiba ya nchi na ndiye aliyepiga marufuku mikutano yote ya vyama vya kisiasa ya vyama vya upinzani nchini.,na alikwenda mbele zaidi, Kwa kuliagiza Jeshi la Polisi, liwabambikie kesi viongozi hao wa upinzani, pale alipojisikia!
Ndipo hapo nimewaza Sana kuhusu kauli hiyo ya "Mwanaume ni yule anayejiamini"
Je alimlenga nani, kama siyo, Hayati Magufuli?
Kwa kuwa ndiye aliyekuwa akiyafanya hayo maovu yote, Kwa kutojiamini kwenye siasa.
Mwanaume aliyeogopa mikutano ya siasa ni mwanaume wa ajabu sana.Rais Samia ametoa kauli yenye utata mkubwa, wakati wa ziara yake huko Usa River, Arusha, hapo majuzi.

Kwani alijiamini kwa kipiEti Magufuli hajiamini!!!,hivi hivyo vichwa vyenu zimejaa vumbi!?
Mwamba aliyesimama kidete dhidi ya makampuni ya madini yaliyokuwa yakituibia mchana kweupe utasema alikuwa hajiamini?
Mabeberu waliposema tujifungie wakati wa covid19 mwamba akagoma; hivi unataka kujiamini gani kuzidi hapo? Wewe unaweza kuwagomea mabeberu kweli?
Ila jpm woga ulizidi kiwango. Akajikuta anataka vyombo vyote vimsaidieLinapokuja swala la kulinda madaraka hakuna anayejiamini.
Hata yeye alimpa za uso Ndugai ,pole pole, lukuvi na prof. Kabudi.
Kalemani nae akala buyu.
Wote hao ni woga tu.
Sisi wenyewe hapa tunaandika tu lakini tunasali yasije tukuta siku moja.
Kufuru aliyofanya jpm itabaki kwenye historiaLakini Kuna tofauti kubwa kati ya kuisigina Katiba, alikokuwa anafanya Mwendazake na anakofanya Rais Samia.
Hayati Magufuli aliisigina Katiba, Kwa kulielekeza Jeshi la Polisi, liwabambikie kesi viongozi wa vyama vya upinzani nchini na Rais Samia, anachofanya ni kurekebisha makosa ya mtangulizi wake Kwa kuwaondolea kesi zote walizokuwa, wamebambikiziwa nazo
Ukiacha tu kujiamini alikuwa na msimamo kitu ambacho wengi hawanaMwamba aliyesimama kidete dhidi ya makampuni ya madini yaliyokuwa yakituibia mchana kweupe utasema alikuwa hajiamini?
Mabeberu waliposema tujifungie wakati wa covid19 mwamba akagoma; hivi unataka kujiamini gani kuzidi hapo? Wewe unaweza kuwagomea mabeberu kweli?
Mkuu wewe nikisoma mada zako ambazo hazina mlengo wa kisiasa huwa uko vizuri sana na wajua mambo mengi, lakini unapomzungumzia jiwe yani nikama wajizima data. Hivi unajua kweli ujinga aliofanya kwenye nchi hii??Watu wasiojiamini ni wale wanaotoa maamuzi halafu wanasikilizia maamuzi yao yatapokelewaje, lakini jiwe alikuwa anaota uamuzi anaouamini na alikuwa anausimamia.
View attachment 2546640
Jiwe hakubahatika, kwani alikuwa ni msomi mwenye nafasi zake: B.Sc, M.Sc, Ph.D. Digrii zake hazikuwa za mgawo bali ni zile zinazotambulika duniani kote; angeweza kwenda kufanya kazi sehemu yoyote duniani bila shaka yoyote. Kabla ya kugombea urais alikuwa waziri kwa zaidi ya miaka 20. Hiyo siyo bahati kwani aligombea dhidi ya wengine na tayari alikuwa anajulikana ni mtu wa namna gani. Wenye bahati ni wale ambao wanapata madaraka from nowehere bila kutegemea wakiwa hata hawajulikani.