Digging deeper
JF-Expert Member
- Jul 15, 2020
- 787
- 512
nilazima uhakiki ,unapohakiki hicho cheti unapata mhuri ,huo mhuri unakusaidi kuendelea na process zengine za kuomba mkopoSijaelewa jibu lako mkuu nipe mchanganuo..Nimeuliza zaidi ya swali moja na yote yanaweza kujibiwa kwa jibu la ndio
1st yrUpo mwaka wa ngapi
Vumilia,wanachelewa lakini wanatuma.Jaman hivi system ya rita ikoje, ni siku ya 17 sasa sijapata majkbu yoyote , hawajarudisha cheti,, nikiwapigia simu zao mda wote busy na siku ndo ivo zinaisha.. Kuna ambao waliocheleweshewa majibu kama mimi??
Ahsante mkuu.. Ngoja nivute subiraVumilia,wanachelewa lakini wanatuma.
Naomba kuuliza wakuu, in case kama ikitokea umepata ripoti kuwa hukuambatanisha cheti chako cha kuzaliwa Rita, utahitajika kuanza zile process upya, au unaweza ingia tu sehemu ya certificate verification kwa kisha kwenye sehemu ya paid application nabonyeza sehemu ya upload document kisha naiweka tena?
Naomba kufahamishwa hapo
Jaman hivi system ya rita ikoje, ni siku ya 17 sasa sijapata majkbu yoyote , hawajarudisha cheti,, nikiwapigia simu zao mda wote busy na siku ndo ivo zinaisha.. Kuna ambao waliocheleweshewa majibu kama mimi??
Ndio mkuu.. Nilituma cheti tarehe 29 mwez wa 7 leo tarehe 14 mwez wa 8 bado hawajaleta majibu mkuu.. Nashindwa kuelewa na deadline ya mkopo inakaribiaHai
Siku 17 ?? Umecheki fresh kweli??
Hapo ni kubiria tu,watakujibu kwa kukutumia cheti ambacho ni verified kama uliambatanisha documents zote walizo zihitaji...!wakuu...kwaio hii steg ndio ya mwisho? niendeleee kusubir tuView attachment 1536895
Ndio mkuu.. Nilituma cheti tarehe 29 mwez wa 7 leo tarehe 14 mwez wa 8 bado hawajaleta majibu mkuu.. Nashindwa kuelewa na deadline ya mkopo inakaribia
mimi nimelipia lakini hakuna tick pale kwenye ile akaunti ya E-Huduma.....Je inaweza kuwa inafanyiwa kazi kweli??Mimi siamini .. nitumie username Na password yako DM nikuchekie
Hiyo inatokea sana,rudi tena kwenye website ya Rita,e huduma alafu ingia kwenye link ya registration na login kwenye account yako kama umeisha fungua.Hii nayo nini tena[emoji24]View attachment 1539686