Je, Roma Mkatoliki anaandaliwa kuwa shahidi wa ICC?

Mi nahisi alienda kumwaga upupu kuhusu Makonda ni ROMA mkatoriki.Napo ni poa tu kwa sababu MAKONDA alijiona ana mamlaka makubwa mno.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hili ndo jibu la Jinsi ICC ina-operate????
Aliyeleta huo uharo ndo aseme kilichomfanya atoe hayo maelezo ili sisi great thinkers tumuone kweli anajua kuhusu hicho alichoandika. Kama hajui akiri hapa kwamba amedandia treni kwa mbele tuokoe jahazi hapa, tumuondolee hii aibu!
 
Hao marekani wenyewe hawataki kwenda huko ICC, sasa watampeleka nani wakati wao hawataki kupelekwa?
 
Naona umetia timu, bado Wanaserengeti watatu sijawaona hapa. Salary Slip, The Missle of the Nation na Return of Undertaker.
Huyu mtu akiri kwanza kwamba hajui chochote kuhusu mambo haya na alichokiandika ni upupu wa kiwango Cha SGR, halafu nitawaelekeza na niwaonyesha alivo POPOMA katika uwanja huu wa mambo ya INTERNATIONAL CRIMINAL LAW.
 
Wamesema wana credible information.. Hivyo wakitakiwa kutoa ushahidi hawatasita
Hao marekani wenyewe hawataki kwenda huko ICC, sasa watampeleka nani wakati wao hawataki kupelekwa?

Jr[emoji769]
 
Hakuna mwenye hadhi yako hapo! Wewe umeingilia mada kuivuruga ona sasa badala ya alichokileta mtoa mada kujadiliwa watu wanakujadili upumbavu wako.
Kama umeona Mshana hajui sema ujuacho kaa pembeni watu wakijadili sio unarudia rudia ujinga
 
Chakaza wapuuzi huwa hawajibiwi ukimjibu anapata mzuka... Ukimpotezea anajiona mpumbavu zaidi na kukosa cha kuandika...
Hakuna mwenye hadhi yako hapo! Wewe umeingilia mada kuivuruga ona sasa badala ya alichokileta mtoa mada kujadiliwa watu wanakujadili upumbavu wako.
Kama umeona Mshana hajui sema ujuacho kaa pembeni watu wakijadili sio unarudia rudia ujinga

Jr[emoji769]
 
Acha mboyoyo mingi we dogo wa llb sio chareges ni charges. Afu kama kweli unaielewa ICC tupe modus operandi yake wewe unayeijua kuliko mshana!

Sent using Rocket Propelled Grenade
 
Wamesema wana credible information.. Hivyo wakitakiwa kutoa ushahidi hawatasita

Jr[emoji769]

Hujajibu swali, mbona wao kushitakiwa huko hawataki mpaka wanampiga ban mkuu wa ICC kuingia marekani? Kwa hiyo wao ni miungu wengine shetani sio, wao madhambi wanayofanyia nchi zingine wanaona ni sawasawa,. Waanze kwanza wao washitakiwe kama hawana makosa si watashinda.
 
Asante counsel, ndo atajua hajui ***** zake huyu dogo. Ndo kwanzaa anasoma jurisprudence 3rd year anataka kutuvimbia humu!

Sent using Rocket Propelled Grenade
 
Hapana. Lambda kuwa shahidi wa marekani mbele ya viongozi wa dunia. Marekani sio mwanachama wa ICC na kesi zake hapeleki huko.
 
Acha mboyoyo mingi we dogo wa llb sio chareges ni charges. Afu kama kweli unaielewa ICC tupe modus operandi yake wewe unayeijua kuliko mshana!

Sent using Rocket Propelled Grenade
Kwa sababu ameandika upupu humu ndani na amei offend hii noble profession, nimeshasema kama yupo tayari aseme asaidiwe. Lakini akome kudandia mambo makubwa na magumu ambayo hana uwezo nayo. abaki huko huko kwenye vizizi na matunguli!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…