Je, safari hii CCM hamjakubaliana?

Ngungenge

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2016
Posts
2,914
Reaction score
3,386
Uhai wa CCM ndio usalama wa Tanzania

Ndani ya CCM kuna kitu kinaitwa kukubaliana bila hicho hakujawahi kuwa na ustawi. Mfano wana CCM walikubaliana Mzee Mwinyi awe Rais baada ya Nyerere

Kipindi cha Kiba Ben Akiba JK, Salim walikuwa na nguvu ila walikubaloana Ben aongoze. Ben alimpenda sana Sumayi ila wakakaa walikubaliana JK aongoze. JK nae alimpenda sana Membe amwachie kiti lakini walikaa wanakubaliana achukue JPM

Sasa JPM hayupo yuko Samia. Utaratibu wa kukubaliana usizarauliwe kwa kuwa ustawi wa CCM ndio maendeleo ya Tanzania. Kuna vitu vinaendelea inaonesha hamjakubaliana, ndio maana ups and down,

Namshauri Mama Samia akae na wakubwa wenzie wakubaliane amalize 30 kisha awape mtu wanayemtaka

Makundi hayana afya ya muda mrefu
 
Ccm hakistahili tena kuongoza nchi hii. Hakutakuwa na mabadiliko ya kweli wakati Bado ccm inalazimisha kubaki madarakani kwa shuruti, maana ccm yenyewe inaogopa mabadiliko ya kweli.
 
Amalize 30 wakati hana uwezo wa kuongoza!!? Huu Ujinga peleka Kizimkazi

Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
 
KINASAMBARATIKA
 
Hoja inaungwa mkojo,nani amekwambia Tanzania inategemea usalama wa mafisi hayo!
 
Wewe jamaa wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…