Je, safari hii CCM hamjakubaliana?

Je, safari hii CCM hamjakubaliana?

kwa kweli hii ccm ya sasa ni dhaifu, wazee wake wapo ila kuna vijana wahuni wamewaamini chamani na kuwapa madaraka ila hao vijana wanakiharibu chama na kuwa dhaifu badala ya kuwa imara
ccm ni chama cha watu wote.

hiyo sijui vijana sijui wazee ni mantiki ya kibaguzi.
haiwezi kufua dafu ccm
 
Uhai wa CCM ndio usalama wa Tanzania

Ndani ya CCM kuna kitu kinaitwa kukubaliana bila hicho hakujawahi kuwa na ustawi. Mfano wana CCM walikubaliana Mzee Mwinyi awe Rais baada ya Nyerere

Kipindi cha Kiba Ben Akiba JK, Salim walikuwa na nguvu ila walikubaloana Ben aongoze. Ben alimpenda sana Sumayi ila wakakaa walikubaliana JK aongoze. JK nae alimpenda sana Membe amwachie kiti lakini walikaa wanakubaliana achukue JPM

Sasa JPM hayupo yuko Samia. Utaratibu wa kukubaliana usizarauliwe kwa kuwa ustawi wa CCM ndio maendeleo ya Tanzania. Kuna vitu vinaendelea inaonesha hamjakubaliana, ndio maana ups and down,

Namshauri Mama Samia akae na wakubwa wenzie wakubaliane amalize 30 kisha awape mtu wanayemtaka

Makundi hayana afya ya muda mrefu

Wewe mnafiki sana. Eti Usalama wa Taifa unategemea CCM . Punguza unafiki na uongo. Amani ya Tanzania inalindwa na raia wa Tanzania sio CCM
 
ukitaka maelezo mazuri zaidi kuhusu CCM ni kumtafuta mzee wa Nazareth...Mzee wa Nimekosa saana mimi..nisamehewe saana mimi...
 
Fuatilia mizizi ya CCM ndio uimara wa usalama na amani Tanzania
Usalama na amani ya Tabzania ni bandia. Huwa hakuna usalama wala amani kwa watu wasio ja uhakika wa maisha.

CCM imewafanya Watanzania walio wengi kuwa na maisha ya kubahatisha, watu wa namna hiyo wanaweza kufanya lolote wakati wowote, na wanaweza kuvutwa na yeyote anayeweza kuwapa matumaini.

Usalama na amani ya Watanzania utategemea sana kwa CCM kukaa pembeni. CCM imeshindwa, imechoka na haina mawazo mapya, imefikia upeo wa mwisho katika mipango na mbinu. Wamebakia na mbinu tu chafu za kubakia madarakani licha Watanzania wengi kutoitaka.
 
"Bila CCM imara nchi itayumba!" Mwl. Julius Kambarage Nyerere (1995).
Mwalimu alikuwa sahihi. CCM imara ni ile inayoongoza kwa kuzingatia haki. Siyo hii CCM matapeli isiyo na ushawishi, iliyobakia kupora kura kama njia ya kubakia madarakani. CCM ya sasa ni mkusanyiko wa wahuni na majambazi.
 
Uhai wa CCM ndio usalama wa Tanzania

Ndani ya CCM kuna kitu kinaitwa kukubaliana bila hicho hakujawahi kuwa na ustawi. Mfano wana CCM walikubaliana Mzee Mwinyi awe Rais baada ya Nyerere

Kipindi cha Kiba Ben Akiba JK, Salim walikuwa na nguvu ila walikubaloana Ben aongoze. Ben alimpenda sana Sumayi ila wakakaa walikubaliana JK aongoze. JK nae alimpenda sana Membe amwachie kiti lakini walikaa wanakubaliana achukue JPM

Sasa JPM hayupo yuko Samia. Utaratibu wa kukubaliana usizarauliwe kwa kuwa ustawi wa CCM ndio maendeleo ya Tanzania. Kuna vitu vinaendelea inaonesha hamjakubaliana, ndio maana ups and down,

Namshauri Mama Samia akae na wakubwa wenzie wakubaliane amalize 30 kisha awape mtu wanayemtaka

Makundi hayana afya ya muda mrefu
Hizo scenario zote ulizoeleza hakukua na makubaliano kabisa!!

Ni ile mamlaka isiyoonekana kirahisi ndio iliamua hata kama hupendi unakubaliana nalo huku roho inauma!!!
 
Back
Top Bottom