Je, safari ya kisiwa ndo itakamilisha jambo la July?

Tupe picha Yake akirejea Toka visiwani!
Hadi matambiko yaishe

Hadi ukataji manina umalizike. Yeye hataki kuwa sehemu ya lawama. Ameacha wa uane kwanza hizi hatua.

Hata yale majina ya mwisho kila kitu kinafanyikia huku. Tunawaangalia tu, orodha ipo tyr with few surprises..

Safari ya huku ipo kimkakati zaidi.😄😄😁
 
Zoom na kapicha tuone alivyovalishwa ngozi ya chui!!

Kweli kimkakati aiseh 😄😄
 
Mpaka wengine wanalia hadharani 😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…