Je, safari ya kisiwa ndo itakamilisha jambo la July?

Ilikuwa ziara ya siku moja na alirejea salama, siku inayofuata alipokea tuzo na pia alipokea ujumbe maalum toka Congo Brazzaville, tembelea page za KUILU uone picha
Hii tabia ya uzushi ni mbaya sana. Halafu unawezaje kuombea nchi mabaya? Asante sana kwa taarifa hii ndugu yangu.πŸ™πŸ™πŸ™
 
Muombee aione Pepo maana oktoba ni mbali kiroho
 
Tukinunue tu hicho kisiwa kama headofstate anaweza kukaa zaidi ya siku 5 na wananchi wasiambiwa anafanya nini huko basi ni vyema kabisa hicho kisiwa kiwe sehemu ya tz
 
Ilikuwa ziara ya siku moja na alirejea salama, siku inayofuata alipokea tuzo na pia alipokea ujumbe maalum toka Congo Brazzaville, tembelea page za KUILU uone picha
Admini wa whatsapp ambavyo haishiwi bando yupo kimyaaa
 
Ukiwa kwa forum za wanaojihisi majiniazi , wateke kwa thread za kufikirika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…