Je, safari ya kisiwa ndo itakamilisha jambo la July?

Acha uzushi wewe nusu mlingoti😀😀😀

Alianza mposaji Sasa anamalizia mtanganyika alijifanya m-comoro

Yajayo yanafurahisha!!
Lamasakitanipaparipopopotataq😂
 
Mna viherehere sana! Hakuna namna ya wewe kupata taarifa za mipango yeyote ile, zaidi ya assumptions, Mtu pekee alikuwa anajua kuleta nondo ni MAGAMBA MATATU tu, nyie mlio baki ni wapiga ramli chonganishi tu
kama nianze kukuelewa hivi, ila kipindi hicho anaongea hakuna aliekuwa anampa maanani.
 
Hizi lugha za code zinatucha wengine kwenye mataa!
Ngoja tusubiri yajayo, japo hatuyajui.
Mungu tunakuomba uibariki Tanzanaia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…