Kitimoto
JF-Expert Member
- Aug 25, 2012
- 8,198
- 9,911
Ni muhimu kufahamu kwamba Rais Samia Suluhu Hassan hakuingia madarakani kwa kuchaguliwa kupitia uchaguzi mkuu, bali alirithi madaraka baada ya kifo cha Rais John Pombe Magufuli mwaka 2021, ili kumalizia kipindi cha awamu ya tano ya uongozi.
Hadi sasa, bado tupo katika awamu ya tano. Awamu ya sita itaanza rasmi baada ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2025, ambapo Rais mpya atachaguliwa kwa kura.
Kwa mujibu wa taratibu za chama, inapaswa kupendekezwa majina matatu (3) ya wanachama wanaogombea urais, yafanyiwe kura za maoni, kisha chama kimpitishe mgombea mmoja kwa ajili ya uchaguzi huo. Hivyo ni muhimu kufuata mchakato huu kwa haki na uwazi.