Je, Serikali ya CCM itaweza kumuwajibisha GSM endapo akikosea kwa mchango aliowapa kipindi hiki cha uchaguzi?

OLS

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2019
Posts
457
Reaction score
773
Miaka kadhaa iliyopita Mwigulu Nchemba alitamba sana kwa maneno ya TRAB na TRAT ambayo wengi waliona kuwa waziri hajui maana ya maneno hayo huku wengi wakishindwa kuzungumzia zaidi ya Tsh trilioni 300 ambazo halisema hazipo huko. Okay TRAB ni Tax Revenue Appeals Board na TRAT ni Tax Revenue Appeals Tribunal, au kwa kiswahili ni mashauri ya kodi. Ambapo mtu akipata shida ya kikodi anaenda kuwasilisha malalamiko TRAB kama wakishindwana anapeleka TRAT wakishindwana ndio anaweza kwenda mahakamani.

Kwa hiyo Mwigulu aliwaambia watanzania kuwa zaidi ya Trilioni 300 hazionekani kwenye mashauri ya kodi, yaani kuna hela nyingi zinapotea, ila story ikawa suala la TRAB na TRAT badala ya hela. Hiyo sio mada yangu kwa leo. Jana, August 12 kulikuwa na gala dinner ya CCM ambao wamepokea michango kutoka sehemu mbalimbali na kupata takriban bilioni 86. Katika hela hiyo bilioni 10 sawa na takriban 12% imetolewa na mtu mmoja, ndugu GSM.

CCM ambayo kwa sasa ni chama tawala, ikiendelea kutawala Tanzania, GSM akiwa na makosa ya kikodi je anaweza kushughulikiwa? Au ndio hapo amenunua hisa za kuweza kujipa misamaha ya kikodi au kuomba tax haven ambazo hastahili?

Moja ya study iliyofanywa na ActionAid (Sealing gaps) ilionesha kuwa mwaka 2019, 2020 na 2021 kulikuwa na takriban bilioni 50 zilikuwa ziko kwenye mashauri ya kodi ambayo hayajaamuriwa. Na hata sasa ukiangalia case za mashauri ya kodi utakuta hela nyingi sana zimeshikiliwa.

Swali ni je, kwa michango hii mikubwa, CCM itaweza kumuwajibisha litakapotokea kosa. Ikumbukwe mtu mmoja aliyetoa fedha nyingi ni GSM huku wengine wakiwa ni jumuiya na vikundi.

Nawasilisha.
 
Kaa ukijua GSM sio yule mwarabu anaitwa Gharibu Said Mohamed, ni msoga kama unabisha nenda pale salamander top ya management ni familia na watu wa karibu wa msoga.

Kwa mfano yupo Kiwadihno mdogo wake jk, yule Kibakuli,na wengine wengi tu.
 
Miaka kadhaa iliyopita Mwigulu Nchemba alitamba sana kwa maneno ya TRAB na TRAT ambayo wengi waliona kuwa waziri hajui maana ya maneno hayo huku wengi wakishindwa kuzungumzia zaidi ya Tsh trilioni 300 ambazo halisema hazipo huko. Okay TRAB ni Tax Revenue Appeals Board na TRAT ni Tax Revenue Appeals Tribunal, au kwa kiswahili ni mashauri ya kodi. Ambapo mtu akipata shida ya kikodi anaenda kuwasilisha malalamiko TRAB kama wakishindwana anapeleka TRAT wakishindwana ndio anaweza kwenda mahakamani.

Kwa hiyo Mwigulu aliwaambia watanzania kuwa zaidi ya Trilioni 300 hazionekani kwenye mashauri ya kodi, yaani kuna hela nyingi zinapotea, ila story ikawa suala la TRAB na TRAT badala ya hela. Hiyo sio mada yangu kwa leo. Jana, August 12 kulikuwa na gala dinner ya CCM ambao wamepokea michango kutoka sehemu mbalimbali na kupata takriban bilioni 86. Katika hela hiyo bilioni 10 sawa na takriban 12% imetolewa na mtu mmoja, ndugu GSM.

CCM ambayo kwa sasa ni chama tawala, ikiendelea kutawala Tanzania, GSM akiwa na makosa ya kikodi je anaweza kushughulikiwa? Au ndio hapo amenunua hisa za kuweza kujipa misamaha ya kikodi au kuomba tax haven ambazo hastahili?

Moja ya study iliyofanywa na ActionAid (Sealing gaps) ilionesha kuwa mwaka 2019, 2020 na 2021 kulikuwa na takriban bilioni 50 zilikuwa ziko kwenye mashauri ya kodi ambayo hayajaamuriwa. Na hata sasa ukiangalia case za mashauri ya kodi utakuta hela nyingi sana zimeshikiliwa.

Swali ni je, kwa michango hii mikubwa, CCM itaweza kumuwajibisha litakapotokea kosa. Ikumbukwe mtu mmoja aliyetoa fedha nyingi ni GSM huku wengine wakiwa ni jumuiya na vikundi.

Nawasilisha.
Kwani ukitoa mchango ndio unakuwa Nje ya sheria?
 
Ikumbuke ishu ya 'home shopping center'........hapo pesa itarudi kwenye ukwepaji wa kodi
 
Msoga gang preparedness’s for …………. Ritz moko ??!
Muda utaongea 😳🙌😱😀🎶💯⏰🤷🏾‍♂️ !
 
Back
Top Bottom