Je, sheria inaruhusu kumuua mtuhumiwa wa ujambazi asiye na silaha anayewakimbia Polisi?

Je, sheria inaruhusu kumuua mtuhumiwa wa ujambazi asiye na silaha anayewakimbia Polisi?

Too deep [emoji1666]
Mkuu kisheria ni kwamba polisi anaweza kutumia deadly force anapoona maisha ya raia au yake yapo hatarini,sasa kama mtuhumiwa anakimbia away from crime scene polisi HARUHUSIWI KUTUMIA SILAHA YA MOTO bcs hasababishi raia ya yeyote kuwa hatarini,ni jukumu la polisi(ndio maana wamepewa nyenzo nyingi amkamate mtuhumiwa )sio kumpiga risasi za mgongoni,but elewa tumo ndani ya shithole country haya yanatokea na hakuna kitakachotokea unless umo ndani ya ile 2%ya wateule,nkuu wa usalama wa taifa,anapigwa risasi na kuuliwa akidhaniwa ni jambazi !!!,dada yetu Akwilina anapigwa risasi hakuna kinachofanyika(hata ballistic test haikufanywa) na maisha yanaendelea kama kawaida.tusubirie next generations zitakazo weza kurudisha jinsi ya kuishi kwa mujibu wa kisheria.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeuliza maana kuna taarifa nimeisima humu leo eti mtuhumiwa wa ujambazi katandikwa risasi za mgongoni na kuuwawa kisa kakimbia na hakuwa na silaha yeyote mkononi..., sasa nikashangaa..., huyo mtu hana ndugu wakafungue kesi wadai fidia ya walau bilioni hata 2, maana kukimbia sio kosa la kusababisha mtu auwawe...
sasa unaifungulia mahakama ipi ama fhe hague.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwahiyo mtuhumiwa ameshageuka jambazi tena? Hivi maana ya mtuhumiwa ni nini? Na hata kama ni jambazi, adhabu ya kukimbia ni kifo? kwa hukumu ya mahakama ipi?
Ndugu yangu siku hizi kudai haki hakuna tena
Kesi ya mwisho ni ile ya wale Ndugu ya Madini kule Mahenge waliopelekwa Mabwepande na kina Bageni, Zombe akatoka.
Hawa jamaa wakishakutoa Kituoni uende ukawaoneshe ulipoficha mali wewe sali na aga Nduguzo kwani hurudi, na wakikushusha usiwaachie eti ukimbie wewe lala na mmojawao tu
 
Hase acha kabisa usisems hivyo, unaweza fuatwa asubuhi na mapema kwako ukiwa hata bado hujanawa uso ukaambiwa unatuhumiwa kufanya tukio la mauaji usiku, na hata kuua mbu ulishindwa usiku huo lakin unatuhumiwa kuua mtu

Sent using Jamii Forums mobile app
Siku hizi hakuna hivyo vitu mzee, nkikuulza last time umeona mtu kashikwa kiivo utarefer story za nyuma. Mazingira yako na kampan yako ndo vtaelezea tabia yko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kukimbia kwake, ndio kumemfanya agongwe risasi


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kuna nchi 1 hapo jirani wao ukizingua na ukibaka wako wanakugonga risasi chap chap.

Majuzi kuna dada wa kibanda cha simu(mawakala wa pesa) alikua anarudisha mwavuli wake na stuli yake pale ambapo hua anauhifadhi siku zote baada ya kazi,vibaka wawili wakamlia timingi kwenye uchochoro wakambamiza kichwa ukutani na kumpiga mateke ya tumboni(kumbuka huyo dada ana mtoto wa miezi 10) then wakachukua simu zake 2 na hela zote.

Kumbe walipokua wanafanyia hilo tukio kuna cctv camera ina rekodi,mwandishi wa habari mmoja akaituma hio video kwenye a/c yake ya twitter akawatag police na wengine wanaohusika na mambo hayo.

Baada ya siku 1 police wakasema wamefanya uchunguzi wao katika hao wawili kuna mmoja hua ana matukio ya kuwekwa jela na kutoka na kurudia ushenzi wake,mwingine ni mpya anafundishwa kazi na huyo kibaka mkongwe.

Walichokifanya police wakawalia timing hao vibaka wawili wakawakamata ,then wakawapeleka kwenye shamba la migomba wakampigisha magoti yule kibaka mzoefu then wakam miminia risasi za kutosha huku wakisema (ali resist arrest) ingawa police wanasema ukweli ni kwamba kibaka huyo ha fit kuishi kwenye jamii ya waastarabu na angetaka hayo mambo za haki za binadamu asingemuumiza yule dada na kutaka kumpora haki yake ya kuishi,huyu kibaka mpya ndio wamemuonyesha kwny vyombo vya habari na atapelekwa mahakamani soon.

Hivi ndivyo namna ambavyo hua wana solve inshu za ujambazi au vibaka,na matukio hayo nchini mwao ni machache sana au kama hayapo kabisaa.

Kibaka mpya ndio huyo hapo chini:
IMG_6482.JPG
 
Polisi ashindwe kumkimbiza mtuhumiwa mwenye pingu mikononi kwa nyuma?
Anaweza asishindwe ila hajamua kumkimbiza na hata ninge kuwa mm nitoke jasho wakati nimeshika manati ya mzungu chap unakula ya mguu mengine tutajua huko mbele kwa mbele, je kama mtuhimiwa anawavunta kwenye mtego watajuaje? Tusitetee upande mmoja tuangalie na upande wa pili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
F
Ni kosa kubwa kumuuwa
Kama ni mtuhumiwa kwanini asifungwe pingu?
Hili wanalijua kabisa kuwa pingu ni moja ya zana walizopewa kuzitumia sasa iweje hazitumiwi? Au kama ile staili ya USA
Mtu mweusi anaulizwa kitambulisho akiingiza mkono mfukoni wanamuwasha risasi
Kesi: He was reaching for a gun


Sent from my iPhone using Tapatalk
Serviceman unajikuta unajua kuongea enh!
Piga tukio kisha wakutie mikononi, wakuchukue ukawaoneshe ulipoficha mazaga afu ujaribu kuwakimbia uone!
Wakiacha kupambana na majambazi muwaseme vibaya kuwa mnawapigia simu kuhusu tukio la ujambazi kisha wanadelay kuja au hawaji kabisa, wakiua jambazi mlilokuwa mnalilalamikia mnaanza tena kuwasema vibaya!
F*ck u niggers
 
Back
Top Bottom