Mkuu kisheria ni kwamba polisi anaweza kutumia deadly force anapoona maisha ya raia au yake yapo hatarini,sasa kama mtuhumiwa anakimbia away from crime scene polisi HARUHUSIWI KUTUMIA SILAHA YA MOTO bcs hasababishi raia ya yeyote kuwa hatarini,ni jukumu la polisi(ndio maana wamepewa nyenzo nyingi amkamate mtuhumiwa )sio kumpiga risasi za mgongoni,but elewa tumo ndani ya shithole country haya yanatokea na hakuna kitakachotokea unless umo ndani ya ile 2%ya wateule,nkuu wa usalama wa taifa,anapigwa risasi na kuuliwa akidhaniwa ni jambazi !!!,dada yetu Akwilina anapigwa risasi hakuna kinachofanyika(hata ballistic test haikufanywa) na maisha yanaendelea kama kawaida.tusubirie next generations zitakazo weza kurudisha jinsi ya kuishi kwa mujibu wa kisheria.