FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
- Thread starter
-
- #61
Walitoka nae kituoni, pingu kazi yake nn?Imeambiwa simamaa hataki,so wamuache atokomee?,nia ilikua kumzuia kwa kumpiga risasi mguuni,hata huko mbele haya yanatokea sana tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kisheria ni kwamba polisi anaweza kutumia deadly force anapoona maisha ya raia au yake yapo hatarini,sasa kama mtuhumiwa anakimbia away from crime scene polisi HARUHUSIWI KUTUMIA SILAHA YA MOTO bcs hasababishi raia ya yeyote kuwa hatarini,ni jukumu la polisi(ndio maana wamepewa nyenzo nyingi amkamate mtuhumiwa )sio kumpiga risasi za mgongoni,but elewa tumo ndani ya shithole country haya yanatokea na hakuna kitakachotokea unless umo ndani ya ile 2%ya wateule,nkuu wa usalama wa taifa,anapigwa risasi na kuuliwa akidhaniwa ni jambazi !!!,dada yetu Akwilina anapigwa risasi hakuna kinachofanyika(hata ballistic test haikufanywa) na maisha yanaendelea kama kawaida.tusubirie next generations zitakazo weza kurudisha jinsi ya kuishi kwa mujibu wa kisheria.
Kazi ya pingu ni nini?Jambazi atakutorokaje na ww unasilaha alisikika mjwaji gongo katka kituo cha mashua huko nchi ya danganyika
Sent using Jamii Forums mobile app
Hase acha kabisa usisems hivyo, unaweza fuatwa asubuhi na mapema kwako ukiwa hata bado hujanawa uso ukaambiwa unatuhumiwa kufanya tukio la mauaji usiku, na hata kuua mbu ulishindwa usiku huo lakin unatuhumiwa kuua mtu
Kazi ya pingu ni nini, maana walitoka nae kituoni
sasa unaifungulia mahakama ipi ama fhe hague.Nimeuliza maana kuna taarifa nimeisima humu leo eti mtuhumiwa wa ujambazi katandikwa risasi za mgongoni na kuuwawa kisa kakimbia na hakuwa na silaha yeyote mkononi..., sasa nikashangaa..., huyo mtu hana ndugu wakafungue kesi wadai fidia ya walau bilioni hata 2, maana kukimbia sio kosa la kusababisha mtu auwawe...
MIGA 😅
Ndugu yangu siku hizi kudai haki hakuna tenaKwahiyo mtuhumiwa ameshageuka jambazi tena? Hivi maana ya mtuhumiwa ni nini? Na hata kama ni jambazi, adhabu ya kukimbia ni kifo? kwa hukumu ya mahakama ipi?
Pingu haijafungwa miguuni na kuna watu ambao wanamazoezi ya kutosha kiasi kwamba hata kama mikono imefungwa pingu anaweza kuamsha mbaya na police wenyewe si unawajua vitambi mpaka kiatu haoni sasa ajisumbue kwanini?Kazi ya pingu ni nini, maana walitoka nae kituoni
Polisi ashindwe kumkimbiza mtuhumiwa mwenye pingu mikononi kwa nyuma?Pingu haijafungwa miguuni na kuna watu ambao wanamazoezi ya kutosha kiasi kwamba hata kama mikono imefungwa pingu anaweza kuamsha mbaya na police wenyewe si unawajua vitambi mpaka kiatu haoni sasa ajisumbue kwanini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Siku hizi hakuna hivyo vitu mzee, nkikuulza last time umeona mtu kashikwa kiivo utarefer story za nyuma. Mazingira yako na kampan yako ndo vtaelezea tabia ykoHase acha kabisa usisems hivyo, unaweza fuatwa asubuhi na mapema kwako ukiwa hata bado hujanawa uso ukaambiwa unatuhumiwa kufanya tukio la mauaji usiku, na hata kuua mbu ulishindwa usiku huo lakin unatuhumiwa kuua mtu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kazi ya pingu ni nini?
Kumbuka kuna kukosa target mzeeMiguu imehamia mgongoni..
Hata sahiv ukienda maabusu wapo wengi sana mkuu hii dunia ni Mungu tu ndo anaelewaSiku hizi hakuna hivyo vitu mzee, nkikuulza last time umeona mtu kashikwa kiivo utarefer story za nyuma. Mazingira yako na kampan yako ndo vtaelezea tabia yko
Sent using Jamii Forums mobile app
Anaweza asishindwe ila hajamua kumkimbiza na hata ninge kuwa mm nitoke jasho wakati nimeshika manati ya mzungu chap unakula ya mguu mengine tutajua huko mbele kwa mbele, je kama mtuhimiwa anawavunta kwenye mtego watajuaje? Tusitetee upande mmoja tuangalie na upande wa piliPolisi ashindwe kumkimbiza mtuhumiwa mwenye pingu mikononi kwa nyuma?
Serviceman unajikuta unajua kuongea enh!Ni kosa kubwa kumuuwa
Kama ni mtuhumiwa kwanini asifungwe pingu?
Hili wanalijua kabisa kuwa pingu ni moja ya zana walizopewa kuzitumia sasa iweje hazitumiwi? Au kama ile staili ya USA
Mtu mweusi anaulizwa kitambulisho akiingiza mkono mfukoni wanamuwasha risasi
Kesi: He was reaching for a gun
Sent from my iPhone using Tapatalk