Afande Tanzania
JF-Expert Member
- May 3, 2020
- 460
- 1,169
Hii ngedere ichukuliwe hatua kali za kisheria! Ifungiwe siku zilizobaki isionekane hata uraiani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Out of point, kumbe na we mzee akili huna.
Uzi unasema
Maalim alisema watu wapiga kura tarehe 27 akaadhibiwa
Kulikoni mwinyi kasema hayo hayo maneno haadhibiwi?
Kwa mawazo haya, huna tofauti na tumbili.....ni hasara kuwa nawe ni MTU lkn ndio huna utu..
Sent from my TECNO W4 using JamiiForums mobile app
Wazanzibari wameamua kusafiri na mwinyi
Unazungumzia kura au Unazungumzia kutangazwa? Kwa taarifa yako kura atapewa Maalim lakini kutangazwa ni Mwinyi. Ndiyo sababu mamluki wote watapiga kura tarehe 27 nakurudia tena tarehe 28. Njama hii imegundulika hivyo wote watapiga kura tarehe 27, sasa CCM wasuke au wanyoe!Hivi kuna watu kweli wakikaa wanaamini kwa dhati ya mioyo yao kuwa Seif atapata kura nyingi kuliko Hussein Mwinyi?
Daaah kweli kuna watu wanapenda kuishi kwa matumaini hewa
Unazungumzia kura au Unazungumzia kutangazwa? Kwa taarifa yako kura atapewa Maalim lakini kutangazwa ni Mwinyi. Ndiyo sababu mamluki wote watapiga kura tarehe 27 nakurudia tena tarehe 28. Njama hii imegundulika hivyo wote watapiga kura tarehe 27, sasa CCM wasuke au wanyoe!
Zanzibar sio arusha wala Mtwara wale wanaweza kuliamshaTarehe 27 ni kura ya kulinda Mapinduzi na Muungano, kama huamini katika hayo usisogeze kwato yako kwny kituo cha kupigia kura
Alipata stroke huyo baada ya jamaa yake kuondoka nyumba nyeupe.Out of point, kumbe na we mzee akili huna.
Huyo Siti Mwinyi( mama yake Hussein ) yenes si kizazi cha kiarabu?Hussein Kazaliwa Znz, Mama Yake Mzazi na Bibi na Babu zake wote wamezaliwa Znz
Baba Yake Mzazi yupo Znz tangu 1928 eti anaitwa Mtanganyika
Lakin Kina Jusa na Seif Sharif kizazi cha kiarabu wanaitwa wa Znz
Akili muflisi
Seif atapata kura nyingi halisi zaidi ya Mwinyi, lakini matokeo hayatokuwa hivyo...Hivi kuna watu kweli wakikaa wanaamini kwa dhati ya mioyo yao kuwa Seif atapata kura nyingi kuliko Hussein Mwinyi?
Daaah kweli kuna watu wanapenda kuishi kwa matumaini hewa
Ni mtoto wa mama huyo, suruba atazijulia wapiNitashangaa sana Wazanzibar wakimchagua.
Huyo hajui chochote.
Nilikuwa yuko kimya wizara ya ulinzi sababu hainaga mbwembwe kumbe hajui chochote...poor
Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
Hussein Kazaliwa Znz, Mama Yake Mzazi na Bibi na Babu zake wote wamezaliwa Znz
Baba Yake Mzazi yupo Znz tangu 1928 eti anaitwa Mtanganyika
Lakin Kina Jusa na Seif Sharif kizazi cha kiarabu wanaitwa wa Znz
Akili muflisi
Ulimzaa wewe Zanzibar huyo Mtalii !
Maswali haya huuliza Watoto wa Kiume wanaovaa chupi!!!
Maswali haya huuliza Watoto wa Kiume wanaovaa chu
Wazanzibari kura kwenu haina thamani
Tafuteni tiba mbadala