Zanzibar 2020 Je, sheria kweli ni msumeno? Dkt. Mwinyi awataka Wazanzibari wajitokeze wengi wakampigie kura za ndio tarehe 27 Oktoba

Zanzibar 2020 Je, sheria kweli ni msumeno? Dkt. Mwinyi awataka Wazanzibari wajitokeze wengi wakampigie kura za ndio tarehe 27 Oktoba

Walioenda shule kutafuta vyeti wana namna ya kuandika Insha wanachotakiwa ni kutambaa ndani ya ile heading waliyopewa, walioenda kupata elimu wanaelewa kuwa una ruhusa ya kutoka nje ya heading kwa namna ambayo mtafuta vyeti atakuona upo off point
Uzi unasema
Maalim alisema watu wapiga kura tarehe 27 akaadhibiwa
Kulikoni mwinyi kasema hayo hayo maneno haadhibiwi?
 
Hivi kuna watu kweli wakikaa wanaamini kwa dhati ya mioyo yao kuwa Seif atapata kura nyingi kuliko Hussein Mwinyi?

Daaah kweli kuna watu wanapenda kuishi kwa matumaini hewa
Unazungumzia kura au Unazungumzia kutangazwa? Kwa taarifa yako kura atapewa Maalim lakini kutangazwa ni Mwinyi. Ndiyo sababu mamluki wote watapiga kura tarehe 27 nakurudia tena tarehe 28. Njama hii imegundulika hivyo wote watapiga kura tarehe 27, sasa CCM wasuke au wanyoe!
 
Tarehe 27 ni kura ya kulinda Mapinduzi na Muungano, kama huamini katika hayo usisogeze kwato yako kwny kituo cha kupigia kura
Unazungumzia kura au Unazungumzia kutangazwa? Kwa taarifa yako kura atapewa Maalim lakini kutangazwa ni Mwinyi. Ndiyo sababu mamluki wote watapiga kura tarehe 27 nakurudia tena tarehe 28. Njama hii imegundulika hivyo wote watapiga kura tarehe 27, sasa CCM wasuke au wanyoe!
 
Hussein Kazaliwa Znz, Mama Yake Mzazi na Bibi na Babu zake wote wamezaliwa Znz

Baba Yake Mzazi yupo Znz tangu 1928 eti anaitwa Mtanganyika

Lakin Kina Jusa na Seif Sharif kizazi cha kiarabu wanaitwa wa Znz

Akili muflisi
Huyo Siti Mwinyi( mama yake Hussein ) yenes si kizazi cha kiarabu?
 
Hivi kuna watu kweli wakikaa wanaamini kwa dhati ya mioyo yao kuwa Seif atapata kura nyingi kuliko Hussein Mwinyi?

Daaah kweli kuna watu wanapenda kuishi kwa matumaini hewa
Seif atapata kura nyingi halisi zaidi ya Mwinyi, lakini matokeo hayatokuwa hivyo...
 
Hussein Kazaliwa Znz, Mama Yake Mzazi na Bibi na Babu zake wote wamezaliwa Znz

Baba Yake Mzazi yupo Znz tangu 1928 eti anaitwa Mtanganyika

Lakin Kina Jusa na Seif Sharif kizazi cha kiarabu wanaitwa wa Znz

Akili muflisi

Ulimzaa wewe Zanzibar huyo Mtalii ?? kwa sababu ulimzaa wewe ndio asishitakiwe na ZEC ?
 
Wazanzibari tangu 1995 CCM haijawahi kushinda lakini Ndio ipo madarakani
Je mmeajifunza nini?
 
Maswali haya huuliza Watoto wa Kiume wanaovaa chupi!!!

Wewe mtoto wa kike usiyevaa chupi sasa tuambie Tume inasemaje kuhusu tarehe 27 , Mwinyi atapewa adhabu kama Maalim Seif kwa kosa hilo hilo ??
Maswali haya huuliza Watoto wa Kiume wanaovaa chu

Hivi huyo Mtalii kumbe ulimzaa wewe hapo Zanzibar
 
Back
Top Bottom