Smokey D
JF-Expert Member
- Jan 30, 2013
- 2,632
- 2,108
Shetani yupo anakaa wap..shetani yuko kila mahal kama upeo wa munguJe umeme upo na unakaa wapi? oxygen je ipo? inakaa wapi? gravity nayo je ipo? inakaa wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shetani yupo anakaa wap..shetani yuko kila mahal kama upeo wa munguJe umeme upo na unakaa wapi? oxygen je ipo? inakaa wapi? gravity nayo je ipo? inakaa wapi?
Mara nyingi watu tumekuwa tukiaminishwa sana kuwa ANGELIC BEINGS wana exist katika physical form hivyo hujikuta tukiamini kuwa kuna siku tutakuja kutana na kiumbe kinachoitwa shetani. hii inaweza ikawa si sahihi kwani angelic beings wanaishi katika mfumo wa roho. hivyo mwanadamu anapotenda baya ni uthibitisho wa roho ya kishetani kuwa imemtawala. na siyo katenda shetani.Satan has no solid form
Mm hapa, ni shetani ambaye naaminika kuwa nasababisha watu watende maovu wakati sio kweli.Hebu m-quote huyo shetani aje ajibu hapa
Unaishi wapi na unafanya nini kama husababishi dhambi kwa watu?Mm hapa, ni shetani ambaye naaminika kuwa nasababisha watu watende maovu wakati sio kweli.
Kila mtu hufanya jambo lake kwa akili timamu na kamilifu na kuhusu kuwa jema au baya huo ni mtazamo wa mtu
Duuh!! Umetisha but kila m2 na iman yake!Kwani mungu alitokana na nini? Hayo ni maswali ya kitoto sana kwa mtu mwenye uelewa kama mm
Tatizo sio imani. Tatizo ni jinsi ya kuokoa muda. Tunatumia muda sana kuabudu na kujifariji wakati wenzetu wanajitengenezea mazingira ya kuishi vizuriDuuh!! Umetisha but kila m2 na iman yake!
Bora uamini yuko halfu umkute kuliko uamini hayuko kumbe yupo ndo balaa litakapo kukumba ndugu yngu ,usitumie akili za kibinadamu Ku justify kutokuwepo kwa mungu. Just a friendly idviceMshana tuache uongo. Hilo swali halijibiki. Hapo ndipo unapokuja kutambua kuwa hakuna kitu kinaitwa mungu
MkuuTatizo sio imani. Tatizo ni jinsi ya kuokoa muda. Tunatumia muda sana kuabudu na kujifariji wakati wenzetu wanajitengenezea mazingira ya kuishi vizuri
Labda nikuulize swali mfano Leo umekuta mashua baharini half MTU akwambie hiyo mashua imejitengeneza yenyewe,utakubali? Lazima utabisha kwani lazima iwe imetengenezwa na MTU. The same applied na bahari ,mbingu ardhi,sayari ,jua mwezi na binadaamu anatokea kwwnye manii mpk mwili kamili ni nani aliumba hv vitu? Najua utajibu vimetokana na mazingira tunarudi Kule juu utakubali mashua inaweza kujitengeneza yenyewe? TafakariKinachotuumiza sana sisi ni kuamini kila tunachoambiwa bila kujua lengo la yule anayetuambia kuwa ni nini. Ukitumia muda mwingi kutafakari juu ya hili suala la uwepo wa mungu, hakika utapata majibu. Tatizo letu tulio wengi tunaogopa kwenda in deep
Nenda kasome ktu kinachoitwa Hysterical disorderMkuu
Inakuwaje sasa pale mtu anapokuwa na mapepo na ukisema "kwa Jina la Yesu pepo toka" na pepo anapiga kelele na kutoka.
Je hilo unalizungumziaje?
Kwahiyo kwa mfano wako huo unaniaminisha kuwa mungu naye aliumbwa?Labda nikuulize swali mfano Leo umekuta mashua baharini half MTU akwambie hiyo mashua imejitengeneza yenyewe,utakubali? Lazima utabisha kwani lazima iwe imetengenezwa na MTU. The same applied na bahari ,mbingu ardhi,sayari ,jua mwezi na binadaamu anatokea kwwnye manii mpk mwili kamili ni nani aliumba hv vitu? Najua utajibu vimetokana na mazingira tunarudi Kule juu utakubali mashua inaweza kujitengeneza yenyewe? Tafakari
Ni dhahiri asilimia kubwa ya wanaofanya makosa huyahusianisha na kitu kisichoonekana na kinachokinzana na Mungu kiitwacho shetani. Je, shetani kweli yupo? Anaishi mazingira yapi na kwa nini Mungu anashindwa kumdhibiti ili binadamu waishi kwa ustaarabu na kutotenda dhambi kabisa? Je, nani anaweza kuzithibitisha theologies za huyo shetani kiumbo, mtazamo, mnyumbuliko na kiakili bila kuhusianisha imani?
Learning has no boundaries......
Vipi kuhusu Afro beliefs, nazo zililetwa na wazungu?Shetani ni MTU sio DHANA wala sio HALI ( is a person with no quality of humanity and not a state of being or thought ). Kifupi ni WAZUNGU na WAARABU BANDIA. na wao ndio waliozieneza DINI kana chombo cha kucontrol mind za watu ili wawatawale kiakili daima. Na wanaotawaliwa kiakili kwakupitia hizo DINI ni misukule ama ndondocha (ZOMBIE).
Shetani ni "SIFA YA KIUMBE MUOVU ANAEISHI KIFKRA,KIMANENO NA KIMATENDO NI KIUPINZANI NA MUNGU ALIVYOAMRISHA"..Suala la ndugu yetu shetani ni suala mtambuka! na tutaendelea na sintofahamu hadi pale atakapopewa airtime ya kuja kutoa utetezi wake!
Shetani ni "SIFA YA KIUMBE MUOVU ANAEISHI KIFKRA,KIMANENO NA KIMATENDO NI KIUPINZANI NA MUNGU ALIVYOAMRISHA"..