Je, shetani yupo? Anaishi wapi?

Je, shetani yupo? Anaishi wapi?

Satan has no solid form
Mara nyingi watu tumekuwa tukiaminishwa sana kuwa ANGELIC BEINGS wana exist katika physical form hivyo hujikuta tukiamini kuwa kuna siku tutakuja kutana na kiumbe kinachoitwa shetani. hii inaweza ikawa si sahihi kwani angelic beings wanaishi katika mfumo wa roho. hivyo mwanadamu anapotenda baya ni uthibitisho wa roho ya kishetani kuwa imemtawala. na siyo katenda shetani.
 
Hebu m-quote huyo shetani aje ajibu hapa
Mm hapa, ni shetani ambaye naaminika kuwa nasababisha watu watende maovu wakati sio kweli.

Kila mtu hufanya jambo lake kwa akili timamu na kamilifu na kuhusu kuwa jema au baya huo ni mtazamo wa mtu
 
Mm hapa, ni shetani ambaye naaminika kuwa nasababisha watu watende maovu wakati sio kweli.

Kila mtu hufanya jambo lake kwa akili timamu na kamilifu na kuhusu kuwa jema au baya huo ni mtazamo wa mtu
Unaishi wapi na unafanya nini kama husababishi dhambi kwa watu?
 
Mshana tuache uongo. Hilo swali halijibiki. Hapo ndipo unapokuja kutambua kuwa hakuna kitu kinaitwa mungu
Bora uamini yuko halfu umkute kuliko uamini hayuko kumbe yupo ndo balaa litakapo kukumba ndugu yngu ,usitumie akili za kibinadamu Ku justify kutokuwepo kwa mungu. Just a friendly idvice
 
Tatizo sio imani. Tatizo ni jinsi ya kuokoa muda. Tunatumia muda sana kuabudu na kujifariji wakati wenzetu wanajitengenezea mazingira ya kuishi vizuri
Mkuu

Inakuwaje sasa pale mtu anapokuwa na mapepo na ukisema "kwa Jina la Yesu pepo toka" na pepo anapiga kelele na kutoka.

Je hilo unalizungumziaje?
 
Kinachotuumiza sana sisi ni kuamini kila tunachoambiwa bila kujua lengo la yule anayetuambia kuwa ni nini. Ukitumia muda mwingi kutafakari juu ya hili suala la uwepo wa mungu, hakika utapata majibu. Tatizo letu tulio wengi tunaogopa kwenda in deep
Labda nikuulize swali mfano Leo umekuta mashua baharini half MTU akwambie hiyo mashua imejitengeneza yenyewe,utakubali? Lazima utabisha kwani lazima iwe imetengenezwa na MTU. The same applied na bahari ,mbingu ardhi,sayari ,jua mwezi na binadaamu anatokea kwwnye manii mpk mwili kamili ni nani aliumba hv vitu? Najua utajibu vimetokana na mazingira tunarudi Kule juu utakubali mashua inaweza kujitengeneza yenyewe? Tafakari
 
Kwahiyo kwa mfano wako huo unaniaminisha kuwa mungu naye aliumbwa?
 
Ni dhahiri asilimia kubwa ya wanaofanya makosa huyahusianisha na kitu kisichoonekana na kinachokinzana na Mungu kiitwacho shetani. Je, shetani kweli yupo? Anaishi mazingira yapi na kwa nini Mungu anashindwa kumdhibiti ili binadamu waishi kwa ustaarabu na kutotenda dhambi kabisa? Je, nani anaweza kuzithibitisha theologies za huyo shetani kiumbo, mtazamo, mnyumbuliko na kiakili bila kuhusianisha imani?

Learning has no boundaries......

Shetani ni MTU sio DHANA wala sio HALI ( is a person with no quality of humanity and not a state of being or thought ). Kifupi ni WAZUNGU na WAARABU BANDIA. na wao ndio waliozieneza DINI kana chombo cha kucontrol mind za watu ili wawatawale kiakili daima. Na wanaotawaliwa kiakili kwakupitia hizo DINI ni misukule ama ndondocha (ZOMBIE).
 
Suala la ndugu yetu shetani ni suala mtambuka! na tutaendelea na sintofahamu hadi pale atakapopewa airtime ya kuja kutoa utetezi wake!
 
shetani anaishi kuzimu na duniani ndo ofisini kwake na kitendea kazi chake ni akili mwako
 
Shetani ni MTU sio DHANA wala sio HALI ( is a person with no quality of humanity and not a state of being or thought ). Kifupi ni WAZUNGU na WAARABU BANDIA. na wao ndio waliozieneza DINI kana chombo cha kucontrol mind za watu ili wawatawale kiakili daima. Na wanaotawaliwa kiakili kwakupitia hizo DINI ni misukule ama ndondocha (ZOMBIE).
Vipi kuhusu Afro beliefs, nazo zililetwa na wazungu?
 
Suala la ndugu yetu shetani ni suala mtambuka! na tutaendelea na sintofahamu hadi pale atakapopewa airtime ya kuja kutoa utetezi wake!
Shetani ni "SIFA YA KIUMBE MUOVU ANAEISHI KIFKRA,KIMANENO NA KIMATENDO NI KIUPINZANI NA MUNGU ALIVYOAMRISHA"..
 
Back
Top Bottom