Je, sifa anazopewa Kafulila zina ukweli wowote?

Nani kapewa sumu CCM?
Ni wengi, Mwakyembe, Mangula, Thadei Ole Mushi na Marehamu JPM alisema aliwahi kupewa sumu na wengine nimesahau. Na JK aliwahi kusema kuwa sasa hivi CCM hawaachiani maji mezani kwa kuogopa kuwekeana sumu.
 
Humu wamejaa chawa pro max mijitu imekaa kusifia mwanaume mwenzenu kwani aliwafilimba nn 🤣🤣🤣kafulila kafulila toeni ujinga wenu hapa.Hamuoni hata aibu kwa lipi sasa huyo Muha kafanya hapa tz ndo awe wimbo achen ujinga nyie.Mama zenu walipata shida sana kuwazaa harafu nyie mnakuja kuwa mafala na chawa dah...
Na kuna uhusiano mkubwa sana kati ya uchawa na ushoga.
 
Ni wengi, Mwakyembe, Mangula, Thadei Ole Mushi na Marehamu JPM alisema aliwahi kupewa sumu na wengine nimesahau. Na JK aliwahi kusema kuwa sasa hivi CCM hawaachiani maji mezani kwa kuogopa kuwekeana sumu.
Huo ni ugomvi wa mtu mmoja mmoja ila sio ugomvi wa chama,
Hata kwenye vigodoro pia wanalishana sumu
 
Unajua ushabiki wa Siasa ni kama ushabiki wa Michezo
Utakuta watu wanamshabikia Aziz au Mayele bila kujali jinsia zao

Kama watu wanafurahishwa na mienendo ya Kafulila sioni kosa kama wanamsema na kumsemea vizuri.
Hapana wamezidi sasa na cha ajabu hakuna jambo la maana huyo jamaa amefanya awe wimbo wa taifa..Na huyo ni yy mwenyewe kafulila anajipromoti Yaaan hapo ndo naamini waha wanamatatizo huku baba levo ukienda huku mwijaku tabu tupu.
 
Na kuna uhusiano mkubwa sana kati ya uchawa na ushoga.
Na Kunatofauti kati ya Chawa na Mzalendo,

Chawa anasifia magari,nyumba,Pesa,Uzuri,Kupendeza etc

Wakati Mzalendo anasifia record za Mtu au watu
Mfano wa hizo record ni kama , Ushujaa wa mtu kwenye kupinga rushwa,Uonevu,Ufisadi, Uzembe na Matendo mengine mabovu.

Chawa anatafuta faida yake Mzalendo anatafuta faida ya Taifa au nchi
 
Hapana wamezidi sasa na cha ajabu hakuna jambo la maana huyo jamaa amefanya awe wimbo wa taifa..Na huyo ni yy mwenyewe kafulila anajipromoti Yaaan hapo ndo naamini waha wanamatatizo huku baba levo ukienda huku mwijaku tabu tupu.
Kwani wewe unaweza kukataa 3bn?
 
😂😂😂 Nchi yote hii ukimuacha Mhe Rais ni sisi wote machawa tu kwake.
Una akili za kitumwa sana.

Kupewa vijisenti kumpost kafulila basi unafikiri dunia nzima ni chawa kama wewe.

Na unaona labda kuwa chawa ndio njia sahihi ya maisha.

Una safari ndefu mno, na nakihurumia kizazi chako.
 
Bahati mbaya ukiacha kumsoma hapa Kafulila sijawahi ata kukaa nae karibu,

Kwa pesa niliyonayo Mimi ndio wakumpa pesa Kafulila nadhani.
 
amani iwe kwenu,

Kwa wale wote mliowahi kuwa karibu na David Kafulila Kwa nyakati na sehemu tofauti tofauti nje na ndani ya siasa mtusaidie kujibu maswali haya,

1. Je, ni kweli kwamba huyu Kafulila anachukia rushwa kwa moyo na kwa nguvu zake zote kama tunavyoambiwa?

2. Je, ni kweli kwamba Kafulila hajawahi kupiga dili lolote la pesa tangu akiwa Mbunge, RAS, RC na sasa PPP-Center kama tunavyoambiwa?

3. Je, ni kweli kwamba Kafulila alikataa zaidi ya TZS 3bilioni za Escrow mwaka 2014 kama tunavyoambiwa?

4. Je, ni kweli kwamba Kafulila anachukia Ufisadi na Mafisadi toka ndani ya moyo wake kama tunavyoambiwa?

5. Je, ni kweli kwamba huyu jamaa hajawahi kuhusishwa na Kashfa za rushwa au ufisadi kipindi chote Cha utumishi wake Serikalini kama tunavyoambiwa?

6. Je, ni kweli kwamba Kafulila alirudisha chenji ya TZS 2bil kutoka katika TZS 6bil alizopewa kujenga Makao Makuu ya Mkoa wa Songwe kama tunavyoambiwa?

7. Je, ni kweli Kafulila alipoteza ndoa kwa sababu ya maisha duni anayoishi kama tunavyoambiwa?

Comment ziwe fupifupi
Msaliti yoyote muogope kama ukoma period
 
Naona wewe ni KAFULILA MWENYEWE, au CHAWA MAMLUKI,umekuja /Mmekuja kwa ID FAKE,kwa lengo la kujifanyi/kumfanyia self assessment kuelekea kwenye TAMAA ZAKE za kutaka madaraka ya juu siku za usoni.

Mikakati huu hatafaulu, TUMBILI sio mtu wa kuaminiwa, TUMBILI WEWE uraia wako una mashaka.

Jifunze kuridhika na ukamishina wa PPP.

Karibu kwa POVU NA MATUSI maana mkiguswa habari ya ID FAKE mnakuwa wakali hatari.

Narudia this is one of multiple ID's za TUMBLI za kupima upepo, ndo maana kila week nyuzi zinazomuhusu TUMBILI ni nyingi Toka watu tofauti tofauti.

Pole SANA TUMBILI/TUMBILI chawa.😅😅
 
Kama ni mtihani wewe umepata 0%

Badala ya kujibu maswali wewe unamshambulia Mwalimu.

😁😁
 
Una akili za kitumwa sana.

Kupewa vijisenti kumpost kafulila basi unafikiri dunia nzima ni chawa kama wewe.

Na unaona labda kuwa chawa ndio njia sahihi ya maisha.

Una safari ndefu mno, na nakihurumia kizazi chako.
Mpe za USO mtumia ID FAKE za TUMBILI 🤣😅🤣😅

TUMBILI atapata taabu sana hapa JF.
 
Hapana wamezidi sasa na cha ajabu hakuna jambo la maana huyo jamaa amefanya awe wimbo wa taifa..Na huyo ni yy mwenyewe kafulila anajipromoti Yaaan hapo ndo naamini waha wanamatatizo huku baba levo ukienda huku mwijaku tabu tupu.
Kweli kweli KABISA TUMBILI yupo na self project promotion!
 
I don't care, muhimu ni kuwa kilichoandikwa ni MBWEMBWE tu, lengo la Uzi ni kumjenga Kafulila over!
Unadhani Mbowe angekataa 3bn in terms of $?

Eti hizi ni mbwembwe,

CHADRMA Mnavyotafuna ruzuku kweli mnaweza mrudishe chenji ya 2bn😂
 
Back
Top Bottom