Je, siku ya kwanza kutongoza/kutongozwa ilikuwaje?

Je, siku ya kwanza kutongoza/kutongozwa ilikuwaje?

Wakati niko darasa la tano kuna mtoto wa darasa la nne alinitumia barua ya kunitongoza aisee kwa ufala wangu wakati huo nilimtafuta nikampige makofi nikampiga bit, bas kila akiniona alikuwa ananikimbia, aliniogopa sana mtoto wa watu .

Tulipofika sekondari wakati huo tumeshabalehe aisee nilianza kumulewa mtoto daah ikawashida kumpata ... mpaka nikahama lile eneo kurudi tena nakuta anamtoto tayari
Haha huna wa kumlaumu mzeiya
 
Nilijisikia Raha kinoma noma ..
..alikuwa rafiki yangu namfeel kinoma noma wakati tupo primary alikuwa anajua Sana hesabu Basi akawa ananifundisha wakati mwingine anaondoka na daftari zangu ..akirudisha anaweka na vikaratasi vya kopa kopa😂😂😂 Basi kamoyo kangu burudaani.. 😍tukamaliza shule yeye akaenda Soma mkoa Mimi nikabaki dar....formone ikapita akarudi likizo..siku hiyo akamtuma Dada wa kazi wetu ambaye alikuwa Kama Rafi kwangu na rafiki kwake ..akammwagia mahisia yake..nikajikuta navuungaa mwenyewe kumbe kamoyo kanasema alhamdulilah..😂😂😂 Basi ikawa ivyo tukawa wapenzi
 
Nilijisikia Raha kinoma noma ..
..alikuwa rafiki yangu namfeel kinoma noma wakati tupo primary alikuwa anajua Sana hesabu Basi akawa ananifundisha wakati mwingine anaondoka na daftari zangu ..akirudisha anaweka na vikaratasi vya kopa kopa[emoji23][emoji23][emoji23] Basi kamoyo kangu burudaani.. [emoji7]tukamaliza shule yeye akaenda Soma mkoa Mimi nikabaki dar....formone ikapita akarudi likizo..siku hiyo akamtuma Dada wa kazi wetu ambaye alikuwa Kama Rafi kwangu na rafiki kwake ..akammwagia mahisia yake..nikajikuta navuungaa mwenyewe kumbe kamoyo kanasema alhamdulilah..[emoji23][emoji23][emoji23] Basi ikawa ivyo tukawa wapenzi
So sweetie yan really love ..uli enjoy kiukweli
 
Nilifika form 4 sijawahi kufanya hiyo kitu. Jamaa zangu wakawa wananicheka.
Hadi nikaamini siwezi kabisa kushawishi mtoto wa like anipe tunda.

Siku nikamlia mingo dada tuliyrkuwa tunaachwa naye home. Nikamuomba tunda akasema hapana hayuko tayari hadi miaka 20 ijayo. Nikajua kumbe ni kapumbavu maana kametaja muda ambao sio practical. Akaniongezea spidi.
Nikamuambia baada ya kula nakuja hakuongea kitu. Baada ya msosi nikazama chumbani alipokuwa amejilaza. Nikaforce akaonyesha ushirikiano nikala tunda.

Matokeo.
1: nilidharau sana ile kitu maana expectation ya utamu kichwani na uhalisia vilikuwa magharibi na mashariki.

2: Niliwaona jamaa wanaojisifia tunda kama wajingaeajinga flani maana niliona kwanza kulila ni simple alafu sio tamu kihivyo kama linavuvumishwa.

3: Kwa hasira nikachoma moto kondom zilizokuwa zimebaki na nikawa nataka nimuombe msamaha yule Dada kwa kumla tundra.

Cha ajabu nilijikuta namla tena hadi nikajuta kwa nini nilichoma zana. Nikagundua kile kidude sio cha kudharau au kukikasirikia. Maana ni muda tu Kiu inarudi kama kikohozi.

Ila cha ajabu mai waifu ni tofauti kabisa. Kila nikimkumbuka kitu inasimama. Hajawahi nichosha kiasi cha kutamani mwingine. Standard hailingani kabisa na Ke yoyote niliyewahi kumuonja ujanani. Hadi nashangaa mtu anaanzaje kuchrpuka?Miaka minne nakunywa Maji ya Kisima changu tu bila kukifiwa.
Asante mkuu , kwa mchango wako lakini tafadhali tukae kwenye ulichokiona siku yako ya kwanza kutongoza au kutongozwa ili uzi huu usije pigwa lock kwasababu wanazozijua moderators @matundizi umetisha bro [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nilikuwa nimekaa na rafiki zangu halafu mmoja wa rafiki yangu alikuwa na mdogo wake wakike tena hakuwa mbali na tulipo alikuwa anacheza huko na rafikizake.. mi nikaanza mtania jamaa namtaka dada yako,nampenda hivi na vile kumbe kulikuwa na kadogo kanasikia kajinga kale kakaondoka Kama kapo!,si kakaenda kumwaga umbea kwa yule mtoto!.. bandugu yule mtoto wa kike sijui alikuwa na ujasiri gani hakumuyeshimu hata kaka yake akaja pale mbele yetu jicho lote kwangu mtoto akashika kiuno mguu mmoja mbele mwengine nyuma mixer kunesanesa na ile kanga ya rede kiununi.. nilichambwa mimi! Yani nilichambwa Sana lile neno unikome sikuhiyo nililipatapata vilivyo!.. niliaibika mbele ya rafiki zangu mimi.. komamanga la watu sikutia hata neno uso ulinishuka ule mtaa niliacha kwenda takribani wiki kadhaa!.. kale kamanzi kalinitesa kisaikolojia nikawa naogopa hata kuaproach! Kajinga Sana kale.
 
Mimi hata sikumbuki kama nilitongoza , ni vile tu tulikuwa tunacheza kwenye bembea tukawa tunakutana kati kati (bembea zilikuwa mbili) basi tunakutana kati kati ananibana miguu yake kiunoni kwangu mwishowe tukaacha kubembea tukaanza kupigana show ndo akawa mpenzi wangu mazima 😁😁😁
Ko nje na huyo hujawai kupata dem mwingine....?
Au wote unawapata kwa mfumo huohuo....?
 
Nakumbuka nikiwa standard six kuna kamkaka sijui nikaite katoto maana wote tulikua na miaka 11, yaan alikua kila nikimuangalia ananikonyeza bas mimi nikawa sipendi yan.

Siku akajiloga akaniandikia barua ya kunitongoza yaan nliipeleka moja kwa moja kwa mama angu huku nalia kilio kama kuna msiba[emoji1][emoji1].. naulizwa shida nini apo siwez hata kuongea, nkaelezea hadi ya kukonyezwa darasani.. basi mama angu akaniambia twende tumfuate kwao maana alikua ni jirani tu..

Aisee yule mtoto alipigwa na kaka ake hatari, na ndio ilikua mara yake ya mwisho kunisemesha... Ht nikikutana nae leo hii huwa hawez hata kunisalimia, mimi nikimuona huwa natamani kucheka[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
ukionana nae mkae umuombe msamaha[emoji16][emoji16] ikiwezekana mfariji kwa pole....ulimuumiza san mshkaji asee...
Najua nnachoongea..kilinikuta[emoji23]
 
Wanasema hata uwe kauzu vipi huwezi kujamba wakati unatongoza,, ila mimi nilijamba aiseh Nashukuru ilikua in silence mode halafu haikunuka kabisa [emoji23][emoji28][emoji1]

Tupo school hapo, kuna demu ana asili ya kiarabu jina lake Latifa. Huyu mtoto tulikutana kwenye mchezo wa volleyball. Yeye na wenzake walikua hawajui so wakawa wananyanyasika sana. Mzee mzima nikawa nawatetea lakini sababu kubwa ni huyu Latifa.
Katika kujali kwangu mtoto akatokea kunielewa. Lakini mzee mzima nilikua mgumu (hip hop) sana. Kitu pekee nilikua nawaza wakati huo ni kupiga chetezo kanisani na kuishabikia Man u ya Sir Alex.

Washkaji wananiambia dogo anakuelewa lakini me sina habari domo lote limejaa gundi. Kiukweli nilikua nampenda lakini nikitaka niende nafikiria hadhi yangu na uzuri wake + mabishoo wa shule wanaomtongoza basi naishia kukata tamaa, kifupi nilijidharau sababu she was so hot shule nzima.

Wanangu wakaona isiwe tabu maana wameni push wapi nimegoma wakaamua wanisakizie. Siku moja mapindi yameisha tupo free, jamaa angu mmoja akamfuata mtoto akaja nae mimi nilikua sina habari. Ghafla nikashangaa mtoto huyu hapa, jamaa nae alivyo na mbwembwe akamwambia Latifa naomba umsikilize kwa makini ndugu yangu huyu mpe nafasi usije ukamuua bure halafu akasepa.

Huku nyuma akaacha kivumbi na hapo sasa ndo ilikua balaa, mapigo ya moyo yakaanza kwenda faster, kiswahili kikageuka kingereza [emoji23] kikawa hakipandi kabisa ni kama nacho kilikuja na meli. Na mtoto alivyokua anajiamini muda wote ananiangalia usoni, ukicheki macho meupe kama Selena Gomez, basi mimi nguvu ndo zikawa zinaniisha kabisa kilichofuatia hapo mpaka leo nikikumbuka hua nacheka sana

[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
malizia mkuu[emoji23]
 
Nimekumbuka mbali sana [emoji23][emoji23] shule za jinsia moja ziliniaribu sana ,
Tulikua tukifunga shule basi tunaenda kusoma tuition na washkaji angalau ata kubadilishana mawazo na watoto wa kike sasa kuna siku tuko pale tunasoma io tuition kuna madem tukaamua tuwafate ili tujuane walikua kama wanne ivi alaf sisi wa tatu tukagawana kila mtu ata mfata wa mwake ila tutaenda ki group maana na wao walikua marafiki pia , mda ukafika tukakumbushana kuwafata duh! Kufika pale tukawaambia kuwa sisi wote watatu tunawapenda na tumetoka kuwaelewa walichekaa sito sahau[emoji23][emoji23]
Ila mwisho wa siku kila mtu alipewa namba maana tulikua wachesh sana wakapenda kutembea na sisi ili wapate mawili matatu nakuwafurasisha
 
bana ee mm nakumbuka kulikuwa na dada alikuwa anaitwa Hamisa..form 2 shule 1 old mosh kilimanjaro nilikuwa nampenda sana lkn kumtongoza siwez..nikaenda kwenye dawat lake nikaandika"hamisa nakupenda sana basi tu nashindwa kukuambia"..bac kesho yake asubuh dem akasoma ile meseji..akaja mbele ya darasa akauliza n nan kaandika ile meseji..darasa karibia lote kicheko

Basi siku 1 nikamwambia jamaa angu mmoja kuwa namwelewa sana yule demu..jamaa si akaenda kuwaambia washkaj..bac washkaj wakamfata dem wakampanga then wakaja nae kwenye dawati langu..wakamkalisha..then wakazunguka duara wanampamp mtoto anielewe..sasa dem akasema"et simba mteme kwel unanipenda?"...aisee nilitoka nduki brek ya kwanza choon presha juu..yan nikikumbukaga kile kituko huwa nacheka sana
[emoji23][emoji23][emoji23]ulifanikiwa?
 
Ko nje na huyo hujawai kupata dem mwingine....?
Au wote unawapata kwa mfumo huohuo....?
😂😂😂 mkuu siyo wote nawapatia kwa mtindo huo, lakini by the way mimi mademu niliowamega kwa kutongoza kwa mdomo wangu na sound zangu aisee hawazidi watano ila mademu wengi niliowamega huwa si kwa kuwatongoza, huwa tu nawafanya marafiki tunazoeana alafu mwisho siku tunajikuta tu tushakuwa wapenzi bila hata kutongozana 😁😁😁 nyie huwa mnaita kumega kimasiara, mfano ani unakutana na demu unamfanya rafiki tu vzuri mnadumu kwenye urafiki wenu baada ya mda kidogo unashangaa anaanza kukuita my, mara usipompigia siku ama kum txt kwa siku moja tu unashangaa kuzira anatuma txt kumbe hata hunipendi hunikumbuki siku nzima, sasa na mimi hapo najiuliza sasa huyu demu kwani nani kamwambia nampenda, mwisho wa siku naanza kutimiza anayotaka mfano kumkumbuka kumpigia sim hata mara 3 kwa siku, siku ingine namwita geto kimasiara na yeye anakuja kimasiara then naanza kumchezea mwili wake kimasiara na yeye analegea kimasiara na mm nakula game kimasiara then anarud kwao akiwa ameliwa kimasiara hivo hvo alafu kesho yake anamkaa na txt umeamkaje mme wangu na mimi naitikia kimasiara hvo hvo ndo ivo tunakuwa na mahusiano ya kimasiara masiara tu mwisho wa siku tunachaana kimasiara hivo hivo 😂😂😂
 
Nakumbuka kitambo..
Rafiki yangu wa muda mrefu Sana tumekua wote udogoni mpaka ukubwani nikasikia story wanataka kuhama dar-es-salaam wahamie Tanga mzee ikanibidi wiki hiyo nivunje ukimya nikampange kua nampenda .kufika kwa bibie sasa kila nikimpanga wapi anachomoa nikaondoka na hasira zangu mishale ya usiku Sana akanitumia text kua kwao anabaki mwenyewe wazazi na madogo wanatangulia kesho yake asubuhi. Palipo kucha tu nikaenda bhana nikajilia honey moon swafi uku tukiandaa usafirishaji wa mizigo.
ilikuwa mwaka gani mkuu?swali lina maana sana hili nijibu
 
Back
Top Bottom