Saint_Mwakyoma
JF-Expert Member
- Jun 8, 2019
- 865
- 1,208
- Thread starter
- #61
Hapo ndipo watu huingia barabarani na sticker za learnerWazo la kwanza kunijia kichwani na lilikuwa likinitia hofu ni "akinikataa je"
mengine wala haikuwa shida.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo ndipo watu huingia barabarani na sticker za learnerWazo la kwanza kunijia kichwani na lilikuwa likinitia hofu ni "akinikataa je"
mengine wala haikuwa shida.
Mwamba una nyota kali basi
Kwani ulikuwa unahisi maumivu labda mpaka ukaanza kulia, unaweza ukasema ni sehemu gani ya mwili wako ilihisi maumivu makali sana baada ya kupokea barua ya kutongozwa hadi ikapelekea utoe machozi kwa maumivu uliyokuwa unayapata😁😁😁We nilikua naogopa mimi[emoji1]
Utakwama Sana kitaalamu chagua pisi mbili moja nyeupe nyengine nyeusi ruka nao kwanza uangalie rangi gani wanavutiwa na wewe alafu anza kupita naoDaaah sijawah up to now naogopa kutongoza ....ngoja nitafute pesa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2960] elite killerMimi nilikuwa natambaa vzr sn kwenye mistari,,
Mfano nakupenda sana,,
Nikinywa chai nakuona kwenye kisahani..
Nikinywa maji nakuona kwenye glass.
Usiku silali nakuwaza wewe,,
Nilikuwa mkali sn ktk uandishi wa barua,,tatizo demu akiiabuka gheto pakuanzia sijuwi..
Basi demu atakaa geto ,,,hata siku nzima,,Mara nimeweka cassets za Michael Jackson,,Mara nimeweka Music wa loketo,,hadi jua linazama kuanzisha mgegedo siwezi,,domo zege ,,limi zito kilo kumi..
Kweli maisha yanakwenda kwa kasi..
Now mwanamke akinionyesha jino tu ,,sehemu zake siri zipo mashakani
😂😂😂 Mkuu usichoke hiyo ilikuwa tongoza ya kitoto , sasaivi itakuwa ushakuwa mkubwa madem hawa ni warahic mno piga voko utapata wengi sanaNakumbuka niliandika barua nikaiweka kwenye begi lake, nikaishia kupigwa kibuti asee. Ndo maana sipendi mademu mpaka saivi nimeishiwaga confidence ya kutongoza.
Sad storyNakumbuka niliandika barua nikaiweka kwenye begi lake, nikaishia kupigwa kibuti asee. Ndo maana sipendi mademu mpaka saivi nimeishiwaga confidence ya kutongoza.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]bana ee mm nakumbuka kulikuwa na dada alikuwa anaitwa Hamisa..form 2 shule 1 old mosh kilimanjaro nilikuwa nampenda sana lkn kumtongoza siwez..nikaenda kwenye dawat lake nikaandika"hamisa nakupenda sana basi tu nashindwa kukuambia"..bac kesho yake asubuh dem akasoma ile meseji..akaja mbele ya darasa akauliza n nan kaandika ile meseji..darasa karibia lote kicheko
Basi siku 1 nikamwambia jamaa angu mmoja kuwa namwelewa sana yule demu..jamaa si akaenda kuwaambia washkaj..bac washkaj wakamfata dem wakampanga then wakaja nae kwenye dawati langu..wakamkalisha..then wakazunguka duara wanampamp mtoto anielewe..sasa dem akasema"et simba mteme kwel unanipenda?"...aisee nilitoka nduki brek ya kwanza choon presha juu..yan nikikumbukaga kile kituko huwa nacheka sana
🤣🤣🤣🤣 "nilitoka nduki break ya kwanza chooni" mkuu umeniacha hoi xanabana ee mm nakumbuka kulikuwa na dada alikuwa anaitwa Hamisa..form 2 shule 1 old mosh kilimanjaro nilikuwa nampenda sana lkn kumtongoza siwez..nikaenda kwenye dawat lake nikaandika"hamisa nakupenda sana basi tu nashindwa kukuambia"..bac kesho yake asubuh dem akasoma ile meseji..akaja mbele ya darasa akauliza n nan kaandika ile meseji..darasa karibia lote kicheko
Basi siku 1 nikamwambia jamaa angu mmoja kuwa namwelewa sana yule demu..jamaa si akaenda kuwaambia washkaj..bac washkaj wakamfata dem wakampanga then wakaja nae kwenye dawati langu..wakamkalisha..then wakazunguka duara wanampamp mtoto anielewe..sasa dem akasema"et simba mteme kwel unanipenda?"...aisee nilitoka nduki brek ya kwanza choon presha juu..yan nikikumbukaga kile kituko huwa nacheka sana
Kudadadeki wallahibana ee mm nakumbuka kulikuwa na dada alikuwa anaitwa Hamisa..form 2 shule 1 old mosh kilimanjaro nilikuwa nampenda sana lkn kumtongoza siwez..nikaenda kwenye dawat lake nikaandika"hamisa nakupenda sana basi tu nashindwa kukuambia"..bac kesho yake asubuh dem akasoma ile meseji..akaja mbele ya darasa akauliza n nan kaandika ile meseji..darasa karibia lote kicheko
Basi siku 1 nikamwambia jamaa angu mmoja kuwa namwelewa sana yule demu..jamaa si akaenda kuwaambia washkaj..bac washkaj wakamfata dem wakampanga then wakaja nae kwenye dawati langu..wakamkalisha..then wakazunguka duara wanampamp mtoto anielewe..sasa dem akasema"et simba mteme kwel unanipenda?"...aisee nilitoka nduki brek ya kwanza choon presha juu..yan nikikumbukaga kile kituko huwa nacheka sana
Ukute ulikimbia mkuu🤣🤣🤣Wanasema hata uwe kauzu vipi huwezi kujamba wakati unatongoza,, ila mimi nilijamba aiseh Nashukuru ilikua in silence mode halafu haikunuka kabisa [emoji23][emoji28][emoji1]
Tupo school hapo, kuna demu ana asili ya kiarabu jina lake Latifa. Huyu mtoto tulikutana kwenye mchezo wa volleyball. Yeye na wenzake walikua hawajui so wakawa wananyanyasika sana. Mzee mzima nikawa nawatetea lakini sababu kubwa ni huyu Latifa.
Katika kujali kwangu mtoto akatokea kunielewa. Lakini mzee mzima nilikua mgumu (hip hop) sana. Kitu pekee nilikua nawaza wakati huo ni kupiga chetezo kanisani na kuishabikia Man u ya Sir Alex.
Washkaji wananiambia dogo anakuelewa lakini me sina habari domo lote limejaa gundi. Kiukweli nilikua nampenda lakini nikitaka niende nafikiria hadhi yangu na uzuri wake + mabishoo wa shule wanaomtongoza basi naishia kukata tamaa, kifupi nilijidharau sababu she was so hot shule nzima.
Wanangu wakaona isiwe tabu maana wameni push wapi nimegoma wakaamua wanisakizie. Siku moja mapindi yameisha tupo free, jamaa angu mmoja akamfuata mtoto akaja nae mimi nilikua sina habari. Ghafla nikashangaa mtoto huyu hapa, jamaa nae alivyo na mbwembwe akamwambia Latifa naomba umsikilize kwa makini ndugu yangu huyu mpe nafasi usije ukamuua bure halafu akasepa.
Huku nyuma akaacha kivumbi na hapo sasa ndo ilikua balaa, mapigo ya moyo yakaanza kwenda faster, kiswahili kikageuka kingereza [emoji23] kikawa hakipandi kabisa ni kama nacho kilikuja na meli. Na mtoto alivyokua anajiamini muda wote ananiangalia usoni, ukicheki macho meupe kama Selena Gomez, basi mimi nguvu ndo zikawa zinaniisha kabisa kilichofuatia hapo mpaka leo nikikumbuka hua nacheka sana
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Mzee umemkataa sababu anakufilisi sambusa zakoNilitongoza demu baada ya mda mrefu kula sambusa zangu shuleni jinga lile likaja kunikataa kumbe analiwa na jamaa yangu mjinga mjinga tu alaf nashangaa mpka leo bado ananitafuta
ha haaa hawa viumbe ni hatareUtakwama Sana kitaalamu chagua pisi mbili moja nyeupe nyengine nyeusi ruka nao kwanza uangalie rangi gani wanavutiwa na wewe alafu anza kupita nao
Poa mkuu ngoja nikitoka leo kwenda kucheki mechi nitajaribu kutongoza mmoja😂😂😂 Mkuu usichoke hiyo ilikuwa tongoza ya kitoto , sasaivi itakuwa ushakuwa mkubwa madem hawa ni warahic mno piga voko utapata wengi sana
Unge mshushia tenzi za rohoniWanasema hata uwe kauzu vipi huwezi kujamba wakati unatongoza,, ila mimi nilijamba aiseh Nashukuru ilikua in silence mode halafu haikunuka kabisa [emoji23][emoji28][emoji1]