Je, siku ya kwanza kutongoza/kutongozwa ilikuwaje?

Mzee umemkataa sababu anakufilisi sambusa zako
Hamna nimemkataa kwasababu sitaki nataka nyingi alaf wakati namsumbua eet akamwambia bwana ake akanipigia simu eet oya uyo shemeji yako nikawaona wote mbwa tu nikatemana nao ila demu ananitafuta mpaka leo tena ananiita jirani maana tulikuwa tunakaa majirani
 
Nakumbuka mwanzo kabisa wa mwaka wetu wa daraSa la 6 tulitoka kukaa n yumba ya Giza na kuamia kwenye umeme basi home wakanunua pasi ya umeme hapo nikaanza kupasi nguo mixer vile vimikunjo mgongoni na pembeni ya mikono sijuI nan anaikumbuka hii style ya kupasi!!!
basi bwana nilikuwa kila siku Nafua na kupasi kitu kilichokuwa kinafanya naonekana msafi kila siku tena nilikuwa na viatu vyangu vya kufuta vimechongoka mbele hahahahahaa ilikuwa sio kinyonge...
kunasiku mwalimu kaingia darasani katupanga kwenye madawati wasichana wawili mvulana mmoja anakaa kati basi bwana nilipangwa na watoto wawili waliokuwa wanakimbiza darasani nkasema mambo so ndo haya bwana.
Hatukumaliza hata wiki tukaanza kutumiana vizawadi mala tunaandikiana vikaratasi hahahaa apo mwanaume sielewi kitu Kumbe darasa Zima linajua mahusiano yangu ambayo Mimi mwenyewe siyajui hahah
 
Aiseee.....[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Daaaah nakumbuka kitambo icho ndio naanza kubalehe, ebwana kuna demu alikuwa mkali sana mtaani kwetu nilitokea kumpenda sana Ila sikuwahi kumwambia hata siku moja, yule manzi nilikuwa namuota kila siku kwa kumtaja jina mpaka home wakajua..

Sasa siku hiyo nipo kijiweni na washkaji wakanishauri waniitie yule demu nimuimbishe, mchizi nikakubali demu akaitwa , kufika demu akasema " nimeambiwa unaniita unasemaje"
Aisee... nilisikia kama nimepigwa shoti Domo likawa zito, nilishindwa kuongea hata neno moja natetemeka balaaa ikabidi niondoke bila kusema neno lolote wauni walinicheka sana ...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Now days nikiwa mapumziko home tukikutana kitu cha kwanza ni kunikumbusha huu upuuzi wangu na kunipiga mizinga ..
 
Daaa huyo bado anakuelewa
 
Nakumbuka mwanzo kabisa wa mwaka wetu wa daraSa la 6 tulitoka kukaa n yumba ya Giza na kuamia kwenye umeme basi home wakanunua pasi ya umeme hapo nikaanza kupasi nguo mixer vile vimikunjo mgongoni na pembeni ya mikono sijuI nan anaikumbuka hii style ya kupasi!!!
basi bwana nilikuwa kila siku Nafua na kupasi kitu kilichokuwa kinafanya naonekana msafi kila siku tena nilikuwa na viatu vyangu vya kufuta vimechongoka mbele hahahahahaa ilikuwa sio kinyonge...
kunasiku mwalimu kaingia darasani katupanga kwenye madawati wasichana wawili mvulana mmoja anakaa kati basi bwana nilipangwa na watoto wawili waliokuwa wanakimbiza darasani nkasema mambo so ndo haya bwana.
Hatukumaliza hata wiki tukaanza kutumiana vizawadi mala tunaandikiana vikaratasi hahahaa apo mwanaume sielewi kitu Kumbe darasa Zima linajua mahusiano yangu ambayo Mimi mwenyewe siyajui hahah
Bishoo lao zee la kukomesha[emoji23]
 
Ntakuja na riwaya yangu ila ngoja ni sumariez
Nilikuwa kipindi flani ivo class 5 demu alikuwa anasoma shule tofauti na Mimi ila tulikuwa tunakutana maana walikuwa wamepanga nyumban moja na familia ya mshikaji wangu
Nikajikombaa wewe kama miezi 6 ivi wakawa wakiniona wananicheka yeye na rafiki ake ,Dada ake alikuwa form 1 or 2 ivo akaniitaga akaniambia hawa wote ni chakula chako sema nao huoni wanakuchekea?
After one week nkamvuta moja pembeni nkamsemeshaa akanikatalia katu katu et yeye hatoki na primary wenzake
Nkamchunia nkawa naenda hapo daily si mwambii chochote after 5 day akaniuliza mbona kimya au ndio sababu nilikuchomolea?
Nkamjibu ndio
Ananiambia Mimi sikukataa ila wewe ulilegeza kamba tuu
Akaniambia panga sehem alhamis tukafanyie mambo yetu
Mwisho sijawahi ipata hiyo sehem hadi Leo na demu kaolewaga tayari
 
bana ee mm nakumbuka kulikuwa na dada alikuwa anaitwa Hamisa..form 2 shule 1 old mosh kilimanjaro nilikuwa nampenda sana lkn kumtongoza siwez..nikaenda kwenye dawat lake nikaandika"hamisa nakupenda sana basi tu nashindwa kukuambia"..bac kesho yake asubuh dem akasoma ile meseji..akaja mbele ya darasa akauliza n nan kaandika ile meseji..darasa karibia lote kicheko

Basi siku 1 nikamwambia jamaa angu mmoja kuwa namwelewa sana yule demu..jamaa si akaenda kuwaambia washkaj..bac washkaj wakamfata dem wakampanga then wakaja nae kwenye dawati langu..wakamkalisha..then wakazunguka duara wanampamp mtoto anielewe..sasa dem akasema"et simba mteme kwel unanipenda?"...aisee nilitoka nduki brek ya kwanza choon presha juu..yan nikikumbukaga kile kituko huwa nacheka sana
Mzee ulikua darasa la tatu au form 2[emoji23][emoji23]
 
Kitaa kulikua na pisi moja matata sana, lakini alikua mtoto wa geti kali dadeki, mbaya zaidi bro wake tulikua tunakutana maskani tunapiga zetu kaya fresh kiufupi alikua mshikaji wangu na mimi nilimzimia sista ake,

Ile pisi ilikua kuiona kitaa peke yake nadra sana nakumbuka kuna siku nilijitosa nikaenda kwao eti kumuulizia bro wake, manzi kanifungulia geti fresh akasema bro hayupo, najipanga niombe namba nasikia sauti ya maza ake ananikaribisha ndani, damn! Zoezi likafeli,

Kuna mwanangu sana ule mchezo aliuelewa kua namzimia mrembo ila kumwambia shughuli,

Siku hiyo nimekaa zangu home nashangaa ugeni mzito ukanijia, ile pisi kali imefatana na mshikaji, kamfikisha halafu akajifanya kapigiwa simu anatoka one time, akanitumia msg "maliza leo leo, baada ya saa moja namrudisha kwao",
Aisee nilihaha, namwambia nini huyu mrembo, mbona ghafla sana sijajipanga, nikaweka movie mrembo yupo interested na movie, ananiuliza tu maswali kuhusu movie,

Baadae nikajiambia niache kupanic, nikarelax, tukaangalia movie yetu kweli baada ya saa moja mshikaji karudi, manzi kashukuru sana akaahidi kurudi weekend ijayo, nikawa gentleman sana sikumgusia chochote mpaka siku ya siku tukajikuta kitandani mahaba kama yote,

Sijui kutongoza naamini kuhusu chemistry, kama tunaendana tutakua kama hatuendani itaishia juu kwa juu, mimi ni demisexual na sapiosexual napenda kudate sapiosexual women.
 
😀😀😀
 
Maelezo kama mwanaume kweli.
 
Ntakuja na riwaya yangu ila ngoja ni sumariez
Nilikuwa kipindi flani ivo class 5 demu alikuwa anasoma shule tofauti na Mimi ila tulikuwa tunakutana maana walikuwa wamepanga nyumban moja na familia ya mshikaji wangu
Nikajikombaa wewe kama miezi 6 ivi wakawa wakiniona wananicheka yeye na rafiki ake ,Dada ake alikuwa form 1 or 2 ivo akaniitaga akaniambia hawa wote ni chakula chako sema nao huoni wanakuchekea?
After one week nkamvuta moja pembeni nkamsemeshaa akanikatalia katu katu et yeye hatoki na primary wenzake
Nkamchunia nkawa naenda hapo daily si mwambii chochote after 5 day akaniuliza mbona kimya au ndio sababu nilikuchomolea?
Nkamjibu ndio
Ananiambia Mimi sikukataa ila wewe ulilegeza kamba tuu
Akaniambia panga sehem alhamis tukafanyie mambo yetu
Mwisho sijawahi ipata hiyo sehem hadi Leo na demu kaolewaga tayari
[emoji23][emoji23]sehemu ipo sema unalegeza kamba
 
Kitaa kulikua na pisi moja matata sana, lakini alikua mtoto wa geti kali dadeki, mbaya zaidi bro wake tulikua tunakutana maskani tunapiga zetu kaya fresh kiufupi alikua mshikaji wangu na mimi nilimzimia sista ake,

Ile pisi ilikua kuiona kitaa peke yake nadra sana nakumbuka kuna siku nilijitosa nikaenda kwao eti kumuulizia bro wake, manzi kanifungulia geti fresh akasema bro hayupo, najipanga niombe namba nasikia sauti ya maza ake ananikaribisha ndani, damn! Zoezi likafeli,

Kuna mwanangu sana ule mchezo aliuelewa kua namzimia mrembo ila kumwambia shughuli,

Siku hiyo nimekaa zangu home nashangaa ugeni mzito ukanijia, ile pisi kali imefatana na mshikaji, kamfikisha halafu akajifanya kapigiwa simu anatoka one time, akanitumia msg "maliza leo leo, baada ya saa moja namrudisha kwao",
Aisee nilihaha, namwambia nini huyu mrembo, mbona ghafla sana sijajipanga, nikaweka movie mrembo yupo interested na movie, ananiuliza tu maswali kuhusu movie,

Baadae nikajiambia niache kupanic, nikarelax, tukaangalia movie yetu kweli baada ya saa moja mshikaji karudi, manzi kashukuru sana akaahidi kurudi weekend ijayo, nikawa gentleman sana sikumgusia chochote mpaka siku ya siku tukajikuta kitandani mahaba kama yote,

Sijui kutongoza naamini kuhusu chemistry, kama tunaendana tutakua kama hatuendani itaishia juu kwa juu, mimi ni demisexual na sapiosexual napenda kudate sapiosexual women.
Ili ndio lengo kuu la huu uzi tukumbushane kutongoza na kutongozeka haya maswala ya chemistry yamekuja kutokana na hofu za kuambiwa sitaki aisee ni noma sana
 
Wakati niko darasa la tano kuna mtoto wa darasa la nne alinitumia barua ya kunitongoza aisee kwa ufala wangu wakati huo nilimtafuta nikampige makofi nikampiga bit, bas kila akiniona alikuwa ananikimbia, aliniogopa sana mtoto wa watu .

Tulipofika sekondari wakati huo tumeshabalehe aisee nilianza kumulewa mtoto daah ikawashida kumpata ... mpaka nikahama lile eneo kurudi tena nakuta anamtoto tayari
 
Back
Top Bottom