Je, sisi Waafrika hatuna akili?

Ni sahihi kwa kiasi fulani anachokisema but Tatizo la Africa si watawala tu hata watawaliwa ni tatizo pia. Nikimuona Mwigulu, kibajaji, musukuma etc ninajiona mimi, nakuona wewe utofauti ni mdogo sana kati yetu. Mambo aliyoyataja mleta mada ndiyo msingi wa matatizo yetu kwa kiasi kikubwa.
 
Akili zetu ni kuwaneemesha mataifa mengine si sisi
 
Mifumo inatugandamiza tuonekane hatuwezi au hatuna uwezo...
 
Nakuunga mikono na miguu
Nasisitiza hapa "Tatizo la Africa si watawala tu hata watawaliwa ni tatizo pia."
 
Kwa akili mmm tunazo zakuvukia barabara si vinginevyo, na mara nyingi huwa tunategemea anayenda shule akija atatutoa sehemu moja kwenda sehemu nyingine lakini uwiii[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] ni afadhali hata waliishia kidato cha nne nakuanza kujitafutia riziki
 
Ahsante mkuu kwa madini mazuri.
 
Wafrika ni sahihi hawana akili na inapaswa watawaliwe, maana haiwezekani nchi inatoa madini ya Dhahabu, almasi , tanzanite, nk kwa wingi eti nchi ina baki kuwa masikini, nchi ina mito na mabwawa ya kutosha eti umeme unakuwa wa mgao, nchi ina maziwa, bahari, na mito mingi eti bado inashida ya maji, nchi inamaliasili za kutosha maeneo mengi yasio na watu eti watu bado wanaishi nyumba za kupanga na eti serikali haina majengo eti inapanga, nchi inamaliasili nyingi na rasimali nyingi eti waliosoma hawana ajira cha ajabu nchi utakuta inawekeza mambo ya maendeleo kwa wingi Kama shule na hospitali eti inajenga lakini eti walimu na madaktari hawatoshi , hospitali na mashule yanaupungufu wa walim na madaktari wakati mtaani walimu wapo na madaktari wapo, Hivi Afrika tuna nini? Au lile andiko lisemalo " Enyi wagalatia msio na akili ni nani aliwaloga" Me nahisi hapo ni nchi za Afrika.
 
Asante kwa mchango wako.
 
Uhuru wa kuhoji ni jambo la msingi linalo paswa kutiliwa mkazo katika jamii zetu zilizo tuzunguka.
 
Wazungu ndio waliokosa Akili.
Hama, nenda huko wenzio, wanakusubiri.

Asitake kula walai
Hakuna lako hapa Afrika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…