Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mengine kama yapi ?
Yale ya kipumbavu
Umesoma andiko na kulielewa ?Hoja hazina mantiki. Nani anaekunyima UHURU wa kuhoji.
Tunaonekana hatuna akili sababu ya
1.Kuwa masikini hali tuna raslimali tele zinazojenga mataifa mengine.
2.Ukosefu wa ustaarabu. Ustaarabu uletwa na dini na elimu.
.Mfano chek tabia za wazulu zina tofauti vipi na tabia za black american.
. Angalia ulimbukeni wetu mtu akipata pesa
Hawa waarabu wamendelea KWA sababu ya dini.
Ujafafanua kivipi dini na elimu ukwamisha uwezo wetu wa kuhoji.Umesoma andiko na kulielewa ?
Dini inasaidia vipi taifa kupata maendeleo ?Hawa waarabu wamendelea KWA sababu ya dini.
Mfumo wao wa dini na uongozi unaondoa matabaka ile dhana ya mtawala na mtawaliwa imepungua.
Kupitia dini inawafundisha ya kwamba Hakuna Mkubwa wala Mdogo wote wapo SAwa kwa mujibu wa dini.
Msingi wa Maendeleo ya Ulaya na uarabuni yametokana na dini.Dini inasaidia vipi taifa kupata maendeleo ?
mzee magu alisema kila kitu ukipeleka bungeni utapingwa mtu mweusi udhani akili yake pekee inatoshaAsante kwa mchango wako.
Mkuu wacha niseme una uongopea umma kwa kiwango kikubwa sana.Msingi wa Maendeleo ya Ulaya na uarabuni yametokana na dini.
Nchi za kiislamu hata zilizopo Afrika angalau wananchi wake awaisomi Sana number.
Dini inakataza rushwa, ubinafsi, uvivu, wizi wa mali za umma.
Dini inafundisha upendo, haki, kuwaongoza watu KWA haki.
Ukiwa na dini huwezi kuwa fisadi, pindisha Sheria KWA maslai, huwezi kwapua kodi za wananchi na kuzificha bank za ulaya, huwezi jinufaisha binafsi utatanguliza upendo kwa wengine kwanza.
Hayo maendeleo ya kisayansi ya nchi hizo yalitokana na ustaarabu. Dini ndiyo iliyoleta ustaarabu ikiwemo kupata uongozi bora, kabla ya ujio wa dini wazungu walikuwa washenzi maprimitive wakiuwana kama wanyama. Dini ndio imewajengea maadili ya kuwa na mfumo wa kiutu.Mkuu wacha niseme una uongopea umma kwa kiwango kikubwa sana.
Msingi wa maendeleo wa mataifa ya ulaya ni mapinduzi ya kisayansi na kiteknolojia pamoja na unyonyaji ulio pitiliza wa kirasiliamali kwa makoloni walio kuwa wana yatawala.
Hivyo hivyo hata baadhi ya nchi za kiarabu kama kuwait, Qatar, Saudi Arabia n.k msingi wa maendeleo vyao ni mapinduzi ya kiteknolojia katika uchimbaji wa mafuta na gesi pamoja na ukuaji wa sekta ya kiutalii, uongozi bora na uwekezaji wa mataifa ya ng'ambo dini hai husiki kwa chochote.
Dini haiku husika popote katika kukuza maendeleo yao bali ilikuwa njia ya kuwatawala watu ndani ya makoloni yao.
Dini haihusiki katika kukuza maendeleo na ndio maana somalia, Afghanistan, Syria mahali penye dini lakini hali ya kimaendeleo ni duni kupitiliza.
Hii ya dini kukuza maendeleo umejifunzia wapi ndugu ?maana umeing'ang'ania sana.
Sijui hata maendeleo ya China na Vietnam utaya elezea vipi ?
Lakini China ilianza kuwa na Wind mills tangu miaka 4000BC, na pia The Great Wall of China imejengwa muda sana. Wenzetu waliendelea kiteknolojia tangu zamani.Hii inataka kufanana na Tanzania na china kuwa miaka ya nyuma tanzania ilikuaga na uchumi sawa na china leo hii umbali wake ni utosi na unyayo ni kweli kabsa jamaa anavyoeleza
Mkuu acha kuchanganya vitu, ukuaji wa kimaendeleo na dini havina uhusiano hata punje. Ukuaji wa kimaendeleo/kiuchumi una kanuni zake zisizo na uhusiano hata punje na dini.Hayo maendeleo ya kisayansi ya nchi hizo yalitokana na ustaarabu. Dini ndiyo iliyoleta ustaarabu ikiwemo kupata uongozi bora, kabla ya ujio wa dini wazungu walikuwa washenzi maprimitive wakiuwana kama wanyama. Dini ndio imewajengea maadili ya kuwa na mfumo wa kiutu.
Afghanistan na somalia kule ni washenzi tu wangekuwa na dini wasingekuwa hovyo walivyo.
SawaMkuu acha kuchanganya vitu, ukuaji wa kimaendeleo na dini havina uhusiano hata punje. Ukuaji wa kimaendeleo/kiuchumi una kanuni zake zisizo na uhusiano hata punje na dini.
Kuendelea kukumbatia hizo fikra za maendeleo yana sababishwa na dini ni kukumbatia ujinga.View attachment 2487755
Dini haina tatizo ni sisi,mbona wao Wana dini.DINI DINI DINI DINI..... shida ilianzia hapa. Tulipodanganywa kuwa sisi hatumjui MUNGU na ila wao Wazungu aka Wapagani NDIO wanamjua Mungu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wakatuambia MAJINA YETU Yamelaaniwa ila Yao ndio yameshuka kutoka MBINGUNI [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. So tuna minyororo ya Utumwa wa AKILI ambao huu ni mgumu kuutoa bora ule WA mijeredi nafuu unaweza kuutoa.
Mtu mweusi mwenzio yuko tayari kuuua kumuokoa mzayuni au mwarabu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]