Je, sisi Waafrika hatuna akili?

Je, sisi Waafrika hatuna akili?

Heri ya siku ya Uhuru Watanganyika wote.

Habari za saa wanachama wote natumai ni njema, moja kwa moja niende kwenye dhumuni la mada hii.

Mada hii inazungumzia Muafrika na akili , kama ambavyo kichwa cha mada kiulizavyo. Je, waafrika hatuna akili ?kweli au sikweli jibu langu kama mleta mada ni sikweli.

Sikweli kwamba waafrika hatuna akili, jambo ni kuwa waafrika tuna akili Ila sababu kuu ambayo inatufanya sisi waafrika tuonekana hatuna akili ni “Kukosa uhuru wa kuhoji mambo mbalimbali”.

Hari ya sisi waafrika kukosa uhuru wa kuhoji mambo mbali mbali inaathiri mpaka uwezo wetu wa kufikiri, uwezo wa kufikiri ukiisha athirika usitegemee jamii hiyo kuwaza vitu mbalimbali kitofauti kulingana na jamii inavyo vitafsiri.

Uwezo wa kuhoji wa waafrika waliowengi umeathiriwa na mambo yafuatayo:-
i, Elimu isiyo bora
ii, Dini/ kasumba ya dini
iii, Tamaduni mbalimbali
iv, Mifumo ya Kiutawala

Haya ni baadhi ya mambo makuu yanayo minya uhuru wa kuhoji wa mwafrika kitu ambacho hupelekea kuathiri uwezo wa kufikiri wa mwafrika na kupelekea kuonekana kama ni mtu asiye na akili.

Mpaka sasa waafrika hatujawa tayari kupambana na haya mambo yanayo minya uhuru wetu wa kuhoji kitu ambacho kina athiri uwezo wetu wa kufikiri kwa kiwango kikubwa.

Jamii yoyote inayo kosa uhuru wa kuhoji baadhi ya mambo ni ngumu kutambua baadhi ya mambo kwa kina na kwa ubora zaidi.

Waafrika tuta endelea kutambulika na jamii mbalimbali za duniani kama ni watu tulio kosa akili kama hatuta kubali kubadilika na kubadili misimamo yetu juu ya hayo mambo mbalimbali niliyo orodhesha yanayo minya uhuru wetu wa kuhoji.

Elimu tupatayo imeshindwa kumuweka mwafrika kuwa huru kuhoji mambo, tamaduni nazo zina minya uhuru wa kuhoji uhalali wa baadhi ya mambo, dini ndio kabisa zina tengeneza kizazi cha hofu kuliko kizazi cha kuwa huru kuhoji mambo, tawala nazo zina minya kwa kiwango kikubwa uhuru wa kuhoji.

Tuna safari ndefu sana kujenga kizazi bora cha mwafrika kama hatuta taka mabadiliko kwenye hayo mambo baadhi niliyo orodhesha ambayo ni kikwazo kwetu.

Karibuni kwa maoni yenu wadau.
Waafrica tunatekwa na jamii nyingine duniani kufanya na kuthamini vitu vyao ikifikia hapo vya kwetu tunaviona havina maana. MF majina tu tunapenda kuitwa ya wenzetu kwani sisi hatuna ya kwetu! MTU anaona aibu kutamka jina lake.
Hasa wazungu tunawathamini sana! Utasikia ninafuga ngo'ombe wa kizungu! Agrrrr! Jambo hili limechukua Miongo na miongo ! aaah!

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
 
Asante kwa mchango wako ndugu.
 
Kitu ambacho hatujastukia ni mfumonwa elimu tuliorithi.
Mfumo wakatinwa ukoloni ulikiwa kwa ajili ya kutumika ofisi za mabwana wakubwa.
Baadae tumepata uhuru lkn elimu tunayopata ni kuwaamini mabwana wakubwa kuwa kila jambo linalotokea kwao ndio sahihi na la kisayansi au limefanyiwa utafiti na kufaa kwa binadamu.
Kitendo kicho kimeua vitu vya maana vyetu ambavyo vinafaa, iwe ni tiba au utaalamu au sayansi ya kiafrika.
Kwa kufanya hivyo tumekuwa tegemezi kwa kila kitu, kibaya zaidi hata utamaduni wetu umeonekana haufai au ni duni kuliko wao.
Nchi zinazojitambua kama china, japan waarabu wao pamoja na kuchua mazuri ya wazungu wameendelea na mazuri yao.
 
Ni kweli tunapaswa kuzingatia mabadiliko makubwa katika elimu tutoayo.
 
Heri ya siku ya Uhuru Watanganyika wote.

Habari za saa wanachama wote natumai ni njema, moja kwa moja niende kwenye dhumuni la mada hii.

Mada hii inazungumzia Muafrika na akili , kama ambavyo kichwa cha mada kiulizavyo. Je, waafrika hatuna akili ?kweli au sikweli jibu langu kama mleta mada ni sikweli.

Sikweli kwamba waafrika hatuna akili, jambo ni kuwa waafrika tuna akili Ila sababu kuu ambayo inatufanya sisi waafrika tuonekana hatuna akili ni “Kukosa uhuru wa kuhoji mambo mbalimbali”.

Hari ya sisi waafrika kukosa uhuru wa kuhoji mambo mbali mbali inaathiri mpaka uwezo wetu wa kufikiri, uwezo wa kufikiri ukiisha athirika usitegemee jamii hiyo kuwaza vitu mbalimbali kitofauti kulingana na jamii inavyo vitafsiri.

Uwezo wa kuhoji wa waafrika waliowengi umeathiriwa na mambo yafuatayo:-
i, Elimu isiyo bora
ii, Dini/ kasumba ya dini
iii, Tamaduni mbalimbali
iv, Mifumo ya Kiutawala

Haya ni baadhi ya mambo makuu yanayo minya uhuru wa kuhoji wa mwafrika kitu ambacho hupelekea kuathiri uwezo wa kufikiri wa mwafrika na kupelekea kuonekana kama ni mtu asiye na akili.

Mpaka sasa waafrika hatujawa tayari kupambana na haya mambo yanayo minya uhuru wetu wa kuhoji kitu ambacho kina athiri uwezo wetu wa kufikiri kwa kiwango kikubwa.

Jamii yoyote inayo kosa uhuru wa kuhoji baadhi ya mambo ni ngumu kutambua baadhi ya mambo kwa kina na kwa ubora zaidi.

Waafrika tuta endelea kutambulika na jamii mbalimbali za duniani kama ni watu tulio kosa akili kama hatuta kubali kubadilika na kubadili misimamo yetu juu ya hayo mambo mbalimbali niliyo orodhesha yanayo minya uhuru wetu wa kuhoji.

Elimu tupatayo imeshindwa kumuweka mwafrika kuwa huru kuhoji mambo, tamaduni nazo zina minya uhuru wa kuhoji uhalali wa baadhi ya mambo, dini ndio kabisa zina tengeneza kizazi cha hofu kuliko kizazi cha kuwa huru kuhoji mambo, tawala nazo zina minya kwa kiwango kikubwa uhuru wa kuhoji.

Tuna safari ndefu sana kujenga kizazi bora cha mwafrika kama hatuta taka mabadiliko kwenye hayo mambo baadhi niliyo orodhesha ambayo ni kikwazo kwetu.

Karibuni kwa maoni yenu wadau.
umenena vema !
Hivi kale kaspirit ka kufight back against our oppressor kamepotelea wapi inamaana babu zetu walikuwa smart kuliko sisi? what's going on fam? we need to wake up?
 
Trump alisema tunachojua ni ngono tu!
na kuna ka ukweli maana huu uzi ungekuwa unazungumzia mbususu, mpaka sasa ungekuwa na comments 100 kasoro
kuliko white and Asians?
it's not true?
watu weusi wameanza kutuchafua pindi tu tulipo acha kuwafanyia kazi bure! now days wanatulipa kwa masimango.
wao ndio wametufanya tuwe mafisadi,wapenda ngono wametutenganisha tunabaguana wenyewe kisa dini zao. list inaendelea.........

blacks=gods and goddesses
 
Ukiangalia swala la " the fear of the unknown" Waafrika wanaongoza. Kila kitu namuachia Mungu. Hasa hizi dini zilizoletwa na Wazungu. Tulishindwa kuhoji na kuacha jadi yetu na kufuata yao . Huo ndio uwezo mdogo wa kufikiria. Ila tuna mambo ya asili kama "mda" , hakika hatuendi na mda. Ni uwezo mdogo wa kufikiria, ukiambiwa njoo saa mbili ukija saa tatu unaona ni kawaida. Huo ni uwezo mdogo wa kufikiri..
We are spirtual being we are blacks
God is inside us.

sijui ni nani aliyekuja kutuloga nakutudanganya waafrika eti MUNGU yupo nje yetu!!!
there is no UNI-GOD

WE GOT GODS AND GODDESSES .
Hebu fikiria kila mtanzania akafanya kama yeye NI GOD SECRETARY yaani akawa anamsaidia mungu majukumu yake coz anajua nakusikia shida za wa tz wezake , just go out there and do good just spread love , teach other people some good knowledge. hatuhitaji tena preachers we need teachers. even jesus was teaching?

haya basi sawa hutaki kuwa wewe ni MUNGU.
WHO THE https://jamii.app/JFUserGuide ARE YOU?

hakunaga shetani wala MUNGU
hao wawili wapo ndani yako , unaweza kuwa shetani au kuwa mungu sooo.

AM SORRY KAMA KUNA AMBAYE NIMEMKWAZA AU KUCHEZA NA UGALI WAKE!!!
 
umenena vema !
Hivi kale kaspirit ka kufight back against our oppressor kamepotelea wapi inamaana babu zetu walikuwa smart kuliko sisi? what's going on fam? we need to wake up?
Elimu tunayo pewa kwa kiasi kikubwa inachangia kuzika hiyo spirit, elimu yetu ina mnyima mwanafunzi kufahamu haki zake za msingi.

Ilikuwa rahisi sana sisi kuungana na kupambana na adui yetu mzungu na mwarabu [ weupe wa rangi ] kwa kuwa tuliwa hesabu kama wavamizi wa ardhi yetu leo hii waarabu na wazungu wetu ni viongozi wetu waishio ndani ya jamii zetu ni kaka, dada, shangazi, wajomba, bibi, babu na marafiki wetu wa kila siku.

Hawa wazungu na waarabu wetu wa sasa wana shiriki huo unyang'anyi na sisi wenyewe umoja kati yetu umekufa kabisa unaoza sasa, kila mmoja anajali maslahi yake na ya watu wake wa karibu.

Swali: Je tutaweza kuunga na kupambana na Bibi, babu, shangazi, wajomba, binamu, shemeji, marafiki zetu ambao ndio wazungu na waarabu wetu wa sasa[ wakoloni ] ? Tutafakari na kujijibu wenyewe kama hilo linawezekana na tuchukue hatua.
 
Wafrika ni sahihi hawana akili na inapaswa watawaliwe, maana haiwezekani nchi inatoa madini ya Dhahabu, almasi , tanzanite, nk kwa wingi eti nchi ina baki kuwa masikini, nchi ina mito na mabwawa ya kutosha eti umeme unakuwa wa mgao, nchi ina maziwa, bahari, na mito mingi eti bado inashida ya maji, nchi inamaliasili za kutosha maeneo mengi yasio na watu eti watu bado wanaishi nyumba za kupanga na eti serikali haina majengo eti inapanga, nchi inamaliasili nyingi na rasimali nyingi eti waliosoma hawana ajira cha ajabu nchi utakuta inawekeza mambo ya maendeleo kwa wingi Kama shule na hospitali eti inajenga lakini eti walimu na madaktari hawatoshi , hospitali na mashule yanaupungufu wa walim na madaktari wakati mtaani walimu wapo na madaktari wapo, Hivi Afrika tuna nini? Au lile andiko lisemalo " Enyi wagalatia msio na akili ni nani aliwaloga" Me nahisi hapo ni nchi za Afrika.
KWAN WEWE NIKUULIZE KIGEZO CHA UMASIKINI NI KIPI?
Kuishi kwenye apartment upanga? kumiliki BMW X3 , nakuwa unakula fake foods fake drinks na kudress nguo kutoka italy sio.

kuna watu hayo mambo wala hayawabariki hata kidogo na wala hawana mpangonayo.
hao ambao unahisi wanaishi maisha bora huko ulaya my friend ungejua wala usingeongea.

kuna kijana wa miaka 23 mbeya huko ndan ndani ana ngombe mashamba na nyumba yake safi tu hafikiwi na serikali halipi kodi wala chochote wako soooooo happy ,

kila jamii inamaana na tafsiri yake ya utajiri na mafanikio.
 
Elimu tunayo pewa kwa kiasi kikubwa inachangia kuzika hiyo spirit, elimu yetu ina mnyima mwanafunzi kufahamu haki zake za msingi.

Ilikuwa rahisi sana sisi kuungana na kupambana na adui yetu mzungu na mwarabu [ weupe wa rangi ] kwa kuwa tuliwa hesabu kama wavamizi wa ardhi yetu leo hii waarabu na wazungu wetu ni viongozi wetu waishio ndani ya jamii zetu ni kaka, dada, shangazi, wajomba, bibi babu na marafiki wetu wa kila siku.

Hawa wazungu na waarabu wetu wa sasa wana shiriki huo unyang'anyi na sisi wenyewe umoja kati yetu umekufa kabisa unaoza sasa, kila mmoja anajali maslahi yake na ya watu wake wa karibu.

Swali: Je tutaweza kuunga na kupambana na Bibi, babu, shangazi, wajomba, binamu, shemeji, marafiki zetu ambao ndio wazungu na waarabu wetu wa sasa[ wakoloni ] ? Tutafakari na kujijibu wenyewe kama hilo linawezekana na tuchukue hatua.
bro do you know what happen to black leaders?
Hatuhitaji tena viongozi maana tunajua nini kinawakuta
we need teachers
we need some people ambao watakuwa wanafundisha na kuwaamsha waafrika wote kuanzia ngazi ya familia.
usitegemee watakuacha kusalama kama utaanzisha mvt yoyote yakumkomboa mtu mweusi.
tena kibaya mmatumbi mwezio ndio anakukill.
 
Wazungu ndio waliokosa Akili.
Hama, nenda huko wenzio, wanakusubiri.

Asitake kula walai
Hakuna lako hapa Afrika.
SIO KUKOSA AKILI TU, WAZUNGU WANATUTEGEMEA SANA WATU WEUSI.
ILINICHUKUA MIAKA 20 KUGUNDUA HILI.
 
Ngono na dini 100% 100%

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
Biblia yote is about sex
kama kuna anaebisha aje hapa.
kulikuwa kuna hajagani kuwasimulia watoto habar za usodoma na gomora na upupu mwingi uliofanywa na jews.

kile kitabu cheusi wangekiita 50shades of jews
 
Mababu zetu walichapwa viboko huenda kwa kutotumia akili, mf.nawa kwa sabuni kabla ya kula, mzungu akisogea hunawi, si unachapwa!! Njoo saa nne unakuja Saa Tano, si unachapwa! Nafikiria mzungu ukimhoji kwa kutumia akili hana shida. Unaambiwa kula kwa utaratibu uweke akiba ya kesho, unajibu "nakula tu Mungu atajua nitakula nini kesho, hapo si utachapwa! Hajakusea. Mara nyingi Mwafrika anatumia nguvu ila mzungu anatumia akili ndio maana wapo mbele mpaka Leo.
 
Umaskini ndio unafanya tuonekane wajinga na hata kuhoji, huwezi kwenda kuhoji huku njaa inang’ata Yaani sisi ndio Tatizo lenyewe tushibe kwanza ndo tuhoji mbaya zaidi unayetaka kumuhoji ukiwa na njaa huwezi kuhoji.
 
Back
Top Bottom