Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lakini China ilianza kuwa na Wind mills tangu miaka 4000BC, na pia The Great Wall of China imejengwa muda sana. Wenzetu waliendelea kiteknolojia tangu zamani.
Yes si kweli tulimjua kabla Yao. Tatizo walivyokuja Wakatuambia kuwa sisi ni mashetani mababu zetu ni mashetani pia ila wao ndo WA mbinguni. Kosa Kubwa ni TULIWAAMINI.Dini haina tatizo ni sisi,mbona wao Wana dini.
Si kweli kwamba Mwafrika hakumjua Mungu kabla ya ujio wa dini.
Wanatutegemea sisi kwasababu sisi ni wajinga na ni masikini,, Masikini ndie mtu pekee anaweza kukupa utajiri ukimtumia vizuri,,.SIO KUKOSA AKILI TU, WAZUNGU WANATUTEGEMEA SANA WATU WEUSI.
ILINICHUKUA MIAKA 20 KUGUNDUA HILI.
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]ni haki yao kuwa hapo walipo. Kwanza waliendelea kiteknolojia tangu zamani, mfumo wao wa elimu ni mzuri, wapo wengi pia hawa jamaa ninahisi wana uwezo wa ziada wa kufikiri tofauti na binadamu wengine[emoji23][emoji23]Hata Kwa vigezo hivyo sio wa kutuacha umbali huu wa sasa chief, wajanja wengi sana wanatuketea uzushi uongozini ilitakiwa wawe wametupita kimaendeleo/kiuchumi lakini sio Kwa ukubwa huu wa sasa, tofauti ya late nikubwa sana chief
Sishangai mawazo yako na mentality yako ni product ya system ya kibeberu na kinyonyaji.Wanatutegemea sisi kwasababu sisi ni wajinga na ni masikini,, Masikini ndie mtu pekee anaweza kukupa utajiri ukimtumia vizuri,,.
okayAkili hatuna! Mtu anaetaka kuleta maendeleo ni adui
Ni sahihi kwa kiasi fulani anachokisema but Tatizo la Africa si watawala tu hata watawaliwa ni tatizo pia. Nikimuona Mwigulu, kibajaji, musukuma etc ninajiona mimi, nakuona wewe utofauti ni mdogo sana kati yetu. Mambo aliyoyataja mleta mada ndiyo msingi wa matatizo yetu kwa kiasi kikubwa.